Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,604
- 5,583
Mkuu mtu akianza kubabaika hawezi toa habari kiweledi...Mkuu ungetuhabarisha na hicho kilichosemwa na hao IDU, Ili tujue kama waliisemea Chadema au Waliwasemea Watanzania wapenda haki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mtu akianza kubabaika hawezi toa habari kiweledi...Mkuu ungetuhabarisha na hicho kilichosemwa na hao IDU, Ili tujue kama waliisemea Chadema au Waliwasemea Watanzania wapenda haki.
Akikujibu unitag MkuuMataga mbona umeme unakatika sana siku hizi?
Unabadili gia angani? Mataga ndio kitu gani?Mataga mbona umeme unakatika sana siku hizi?
Bora ukae kimya.I am sorry to say this but sincerely you are wazzock
Unadhani nani anawasemea Uihgur wa China nani anawasemea Waislamu wa Mynamar na mifano iko mingo
Unadhani nani aliwasemea watu nchi zote kusini mwa Africa zaidi walio nje ya nchi hizo
FaizaFoxy " hivi shule mlienda kujifunza ujinga?
Sina muda kujibishana na wapumbavu.IDU wakawaoe chadema na washabiki wao kisha wawapeleke huko kwao, haki yetu tuaipigania sisi wenyewe na tunayo tayari,
Wakiona huruma saana wawape kazi huko kwao.
Kisu kimegusa mfupa.Sina muda kujibishana na wapumbavu.