Ngoja.. yuu viii sisiemu waje!!!Kwenye ukweli basi ukweli uwekwe wazi.
Hakuma mtanzania anyependa uhalifu. Kama jambazi ana silaha na anakiwa mkaidi kutii basi huyo ni halali ya polisi.
Lakini inasikitisha kusikia kuwa mtuhumiwa alikamatwa nyumbani kwake na mpaka binti yake na yeye wakavuliwa nguo ili wafanye mapenzi kisa tu waseme ilipo bunduki. Na baadae mtuhumiwa kuuuawa.
Vipi haya matukiao ya watuhumiwa kujinyonga vituo vya polisi. Ina maana kwa sababu mtu ukiwa mwanaCCm ndio uamini kuwa mtuhumia ataingia na nguo ya kujinyongea selo ya polisi?
Inapofikia suala la haki ya raia tuweke siasa kando.
Good pointViongozi wa dini nao wamezidi woga aisee wapo kimya kama vile hakuna kitu kinaendelea wakumbushe watawala na hawa policcm ile amri ya usiue hivi ni amri ya ngapi ?? inawezekana polisi hawaijuhi amri ya 5.na hawa jamaa wanajiona kama wao sio binadamu.na huyu anayejiita raisi wa watanzania akemee hii ishu.
Polisi wanachukua watuhumiwa 4 lockup saa 8 usiku bila pingu ili wakaonyeshe silaha porini? Haya maigizo nayo yanaungwa mkono na wana CCM?Kwenye ukweli basi ukweli uwekwe wazi.
Hakuma mtanzania anyependa uhalifu. Kama jambazi ana silaha na anakiwa mkaidi kutii basi huyo ni halali ya polisi.
Lakini inasikitisha kusikia kuwa mtuhumiwa alikamatwa nyumbani kwake na mpaka binti yake na yeye wakavuliwa nguo ili wafanye mapenzi kisa tu waseme ilipo bunduki. Na baadae mtuhumiwa kuuuawa.
Vipi haya matukiao ya watuhumiwa kujinyonga vituo vya polisi. Ina maana kwa sababu mtu ukiwa mwanaCCm ndio uamini kuwa mtuhumia ataingia na nguo ya kujinyongea selo ya polisi?
Inapofikia suala la haki ya raia tuweke siasa kando.
Is it criminal justice or natural justice?! Ki-inglish ya shule za Kata ni kichefuchefu mno.Kwenye ukweli basi ukweli uwekwe wazi.
Hakuma mtanzania anyependa uhalifu. Kama jambazi ana silaha na anakiwa mkaidi kutii basi huyo ni halali ya polisi.
Lakini inasikitisha kusikia kuwa mtuhumiwa alikamatwa nyumbani kwake na mpaka binti yake na yeye wakavuliwa nguo ili wafanye mapenzi kisa tu waseme ilipo bunduki. Na baadae mtuhumiwa kuuuawa.
Vipi haya matukiao ya watuhumiwa kujinyonga vituo vya polisi. Ina maana kwa sababu mtu ukiwa mwanaCCm ndio uamini kuwa mtuhumia ataingia na nguo ya kujinyongea selo ya polisi?
Inapofikia suala la haki ya raia tuweke siasa kando.
CCM wanaunga mkono ukatali wowote unaofanywa na polisi, maana wanajua watu wakiwa na hofu na vyombo vya dola, ni uhakika wa wao kuendelea kukaa madarakani kwa shuruti. Kwahiyo huwezi kuona CCM yoyote kuhoji ukatali wa polisi kwani wanajua ukaaji wao madarakani wa kutumia vyombo vya dola, ndio umepelekea vyombo vya dola kufanya ukatali bila kuhojiwa.Polisi wanachukua watuhumiwa 4 lockup saa 8 usiku bila pingu ili wakaonyeshe silaha porini? Haya maigizo nayo yanaungwa mkono na wana CCM?
Vipi haya matukiao ya watuhumiwa kujinyonga vituo vya polisi. Ina maana kwa sababu mtu ukiwa mwanaCCm ndio uamini kuwa mtuhumia ataingia na nguo ya kujinyongea selo ya polisi?Kwenye ukweli basi ukweli uwekwe wazi.
Hakuma mtanzania anyependa uhalifu. Kama jambazi ana silaha na anakiwa mkaidi kutii basi huyo ni halali ya polisi.
Lakini inasikitisha kusikia kuwa mtuhumiwa alikamatwa nyumbani kwake na mpaka binti yake na yeye wakavuliwa nguo ili wafanye mapenzi kisa tu waseme ilipo bunduki. Na baadae mtuhumiwa kuuuawa.
Vipi haya matukiao ya watuhumiwa kujinyonga vituo vya polisi. Ina maana kwa sababu mtu ukiwa mwanaCCm ndio uamini kuwa mtuhumia ataingia na nguo ya kujinyongea selo ya polisi?
Inapofikia suala la haki ya raia tuweke siasa kando.
Kwenye ukweli basi ukweli uwekwe wazi.

We jamaa unanikwaza sana kumhusisha hayati JPM na uonevu. Lini JPM alipuuza kero za wananchi walionewa? Acha zako.Kwa sasa mtu yoyote anaweza kufanyiwa unyama wowote ndani ya nchi hii, na wapinzani wakihoji ndio hilo suala linatupiliwa mbali kabisa. Hii tabia ya kuhakikisha jambo lolote linalopigiwa kelele na wapinzani linafumbiwa macho na serikali,ilianza kidogo kidogo wakati wa JK, ilipofika wakati wa Magufuli ndio hii tabia ikahalalishwa rasmi. Sababu hasa ya kufumbia madhaifu yote yanayopigiwa kelele na wapinzani hasa CDM, ni kwenye kile kinachoonekana kama kuwapandisha CDM kisiasa kuwa ni watetezi wa wananchi.
Kama CCM itaendelea kukaa madarakani hivi hivi kwa shuruti huku wapinzani wakipigia kelele madhaifu ya serikali, mambo hayo tusitegemee kupatiwa ufumbuzi wowote, maana serikali ya CCM haitakuwa tayari kutekeleza lolote linalopigiwa kelele na wapinzani, kwani itaonekana ni kama sehemu ya kuwapandisha wapinzani, na kuipotezea mvuto CCM. Hivyo vyombo vya dola wakishafanya jambo lolote chafu, wanataka wapinzani walihoji ili lisipatiwe ufumbuzi. Na kwakuwa CCM inakaa madarakani kwa kutumia vyombo vya dola, na vyombo vya dola vinajua ukweli huu, basi wanajua hakuna kiongozi yoyote wa serikali ya CCM atakayethubutu kuwahoji, kwani wanajua pia hao viongozi hawako madarakani kihalali.
Na huu ndiyo ukweli wenyeweKwa sasa mtu yoyote anaweza kufanyiwa unyama wowote ndani ya nchi hii, na wapinzani wakihoji ndio hilo suala linatupiliwa mbali kabisa. Hii tabia ya kuhakikisha jambo lolote linalopigiwa kelele na wapinzani linafumbiwa macho na serikali,ilianza kidogo kidogo wakati wa JK, ilipofika wakati wa Magufuli ndio hii tabia ikahalalishwa rasmi. Sababu hasa ya kufumbia madhaifu yote yanayopigiwa kelele na wapinzani hasa CDM, ni kwenye kile kinachoonekana kama kuwapandisha CDM kisiasa kuwa ni watetezi wa wananchi.
Kama CCM itaendelea kukaa madarakani hivi hivi kwa shuruti huku wapinzani wakipigia kelele madhaifu ya serikali, mambo hayo tusitegemee kupatiwa ufumbuzi wowote, maana serikali ya CCM haitakuwa tayari kutekeleza lolote linalopigiwa kelele na wapinzani, kwani itaonekana ni kama sehemu ya kuwapandisha wapinzani, na kuipotezea mvuto CCM. Hivyo vyombo vya dola wakishafanya jambo lolote chafu, wanataka wapinzani walihoji ili lisipatiwe ufumbuzi. Na kwakuwa CCM inakaa madarakani kwa kutumia vyombo vya dola, na vyombo vya dola vinajua ukweli huu, basi wanajua hakuna kiongozi yoyote wa serikali ya CCM atakayethubutu kuwahoji, kwani wanajua pia hao viongozi hawako madarakani kihalali.
Wewe una ushahidi gani kuwa waliouwawa kule serengeti ni majambazi? Kama mlikuwa na uhakika ni majamnazi kwa nini hawakupelekwa mahakamani kwa mujibu wa sheria?Jambazi hana haki yoyote tuache siasa za majitaka na binafsi ninaposikia jambazi kauawa bila kujalisha mazingira lilivyokufa moyoni napata amani kujua kwamba tatizo limeondolewa.
Hata Osama aliliwa na familia yake alivyouliwa hivyo hakuna kifo kisicho na maumivu kwa wafiwa lakini kifo cha jambazi ni furaha sana kwa wapenda amani.
Tusiwajengee utamaduni wahalifu waamini mahakamani, gerezani au polisi ni mahali salama kwako. Mhalifu akifikishwa polisi akitoka ajute na akatubu na akitoka gerezani vivyo hivyo
Hakika leo umeongea bonge la pointKwenye ukweli basi ukweli uwekwe wazi.
Hakuma mtanzania anyependa uhalifu. Kama jambazi ana silaha na anakiwa mkaidi kutii basi huyo ni halali ya polisi.
Lakini inasikitisha kusikia kuwa mtuhumiwa alikamatwa nyumbani kwake na mpaka binti yake na yeye wakavuliwa nguo ili wafanye mapenzi kisa tu waseme ilipo bunduki. Na baadae mtuhumiwa kuuuawa.
Vipi haya matukiao ya watuhumiwa kujinyonga vituo vya polisi. Ina maana kwa sababu mtu ukiwa mwanaCCm ndio uamini kuwa mtuhumia ataingia na nguo ya kujinyongea selo ya polisi?
Inapofikia suala la haki ya raia tuweke siasa kando.
Tumefika pambaya.Polisi wanachukua watuhumiwa 4 lockup saa 8 usiku bila pingu ili wakaonyeshe silaha porini? Haya maigizo nayo yanaungwa mkono na wana CCM?
Msimamo wangu uko thabiti, acheni kuuwa vijana kwa kisingizio Cha Panyaroad. Mbwa nyie mtakuja kufa midomo waziKwenye ukweli basi ukweli uwekwe wazi.