Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Kwenye ukweli basi ukweli uwekwe wazi.
Hakuma mtanzania anyependa uhalifu. Kama jambazi ana silaha na anakiwa mkaidi kutii basi huyo ni halali ya polisi.
Lakini inasikitisha kusikia kuwa mtuhumiwa alikamatwa nyumbani kwake na mpaka binti yake na yeye wakavuliwa nguo ili wafanye mapenzi kisa tu waseme ilipo bunduki. Na baadae mtuhumiwa kuuuawa.
Vipi haya matukiao ya watuhumiwa kujinyonga vituo vya polisi. Ina maana kwa sababu mtu ukiwa mwanaCCm ndio uamini kuwa mtuhumia ataingia na nguo ya kujinyongea selo ya polisi?
Inapofikia suala la haki ya raia tuweke siasa kando.