4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Hujaelewa kitu,nini nilimanisha huwa sijibizani na wapuuzi, unaleta mihemuko badala ya kujikita kwenye maudhui ya postKama wewe una mfumo ambao ni bora kuliko huo wa IEBC basi wape wautumie maana,ilikuwa lazima uchaguzi ufanyike.
Kulaumu tu bila kutoa ufumbuzi ni kielelezo cha ujinga