IEBC: Jinsi tulivyohakikisha mfumo wetu una ulinzi wa kutodukuliwa

Kama wewe una mfumo ambao ni bora kuliko huo wa IEBC basi wape wautumie maana,ilikuwa lazima uchaguzi ufanyike.

Kulaumu tu bila kutoa ufumbuzi ni kielelezo cha ujinga
Hujaelewa kitu,nini nilimanisha huwa sijibizani na wapuuzi, unaleta mihemuko badala ya kujikita kwenye maudhui ya post
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…