johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kenya majority ni Christian muslim ni only 10% sasa unashangaa nini?Mimi sioni tatizoTangu zoezi la uhakiki lianze hadi leo pale Bomas tumeshuhudia Kwaya mbalimbali zikiinjilisha ikiwemo Kwaya ya Mtakatifu Kizito kutoka Tanzania.
Lakini hatukuwaona waimbaji wa Kaswida.
Nadhani next time IEBC waliangalie Hili ili kupata Baraka za kutosha kama taifa
cc: Msaga Sumu - Nairobi Kenya
Duh.....!Kenya majority ni Christian muslim ni only 10% sasa unashangaa nini?Mimi sioni tatizo
Hiyo ni Kenya na siyo Zanzibar na kijakazi wake ambaye sithubutu kumtaja!!Tangu zoezi la uhakiki lianze hadi leo pale Bomas tumeshuhudia Kwaya mbalimbali zikiinjilisha ikiwemo Kwaya ya Mtakatifu Kizito kutoka Tanzania...
Kwaya ya Mtakatifu Kizito wanaomba nyimbo gani?kwani hizo choirs zinaimba nyimbo za kidini mpaka ulalamike?
nitajia nyimbo iliyotaja Yesu! na nitajie Qasida inayoimba Kiswahili! Kiufupi maudhui yanayohitajika ni ya Kiswahili sasa Kiarabu itaendana vipi na tukio?Kwaya ya Mtakatifu Kizito wanaomba nyimbo gani?
cc: Msaga Sumu
Aise kweli hatujasikia yesu yesunitajia nyimbo iliyotaja Yesu!
Wimbo wa Ebenezer na Watu wote waliombwa wasimame na yule mwimbajinitajia nyimbo iliyotaja Yesu! na nitajie Qasida inayoimba Kiswahili! Kiufupi maudhui yanayohitajika ni ya Kiswahili sasa Kiarabu itaendana vipi na tukio?