Kenya 2022 IEBC wamealika Kwaya za Dini lakini Kaswida hawapo, hii siyo sawa warekebishe

Kenya 2022 IEBC wamealika Kwaya za Dini lakini Kaswida hawapo, hii siyo sawa warekebishe

Kenya 2022 General Election

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Tangu zoezi la uhakiki lianze hadi leo pale Bomas tumeshuhudia Kwaya mbalimbali zikiinjilisha ikiwemo Kwaya ya Mtakatifu Kizito kutoka Tanzania.

Lakini hatukuwaona waimbaji wa Kaswida.

Nadhani next time IEBC waliangalie Hili ili kupata Baraka za kutosha kama taifa

cc: Msaga Sumu - Nairobi Kenya
 
Kenya majority ni Christian muslim ni only 10% sasa unashangaa nini?Mimi sioni tatizo
 
Hata hapa bongo kuna vitu ambavyo dini fulani sio tamaduni zao kuvifanya lakini unakuta vinafanywa kwa kulazimisha kwa sababu dini fulani kwao ni la kawaida kufanya. Zamani nilikuwa nasikia watu fulani wakisema kuimba ni haramu bila kujua kuwa kawida ni kwaya na hata adhana na sura zote ni nyimbo zinazoimbwa kwa melody tofauti tofauti na zinaweza kupigwa kwenye kinanda na nota zake zikaandwikwa na kuimbwa na mtu yeyote duniani
 
Hivi kaswida inaelewekaga kweli? Yale madufu au?
 
Bongo wangealikwa wacheza kiduku tu

Ova
 
Kwaya ya Mtakatifu Kizito wanaomba nyimbo gani?

cc: Msaga Sumu
nitajia nyimbo iliyotaja Yesu! na nitajie Qasida inayoimba Kiswahili! Kiufupi maudhui yanayohitajika ni ya Kiswahili sasa Kiarabu itaendana vipi na tukio?
 
Nani Kasema Qaswida ni mfumo wa kuabudu wa waislamu?

Wakiristo wao wameintegrate kwaya na mfumo wao wa kuabudu, kwa hiyo chill out.

Muslims hawahitaji approval kwa wanadamu au kujaribu kufit in bali Allah anatosha.
 
nitajia nyimbo iliyotaja Yesu! na nitajie Qasida inayoimba Kiswahili! Kiufupi maudhui yanayohitajika ni ya Kiswahili sasa Kiarabu itaendana vipi na tukio?
Wimbo wa Ebenezer na Watu wote waliombwa wasimame na yule mwimbaji
 
Back
Top Bottom