I didn't ask you to prove anything,re read my question
By the way,if you know can not prove your claim,what make you say he does not exist?
Or you just assuming?
Sisi tumeumbwa kwa physica l body inaonyehsa hatuwezi ng'amua fyucha. Hivyo kwa vyovyote vile kama hatuwezi gundua fyucha basi hatuwezi ku-change our future as well.Kwa nini mungu amuandikie kiumbe kupotea?Wakati ana uwezo wa kumuandikia kutopotea?Si tunaambiwa mungu huyu ni "the most merciful"?Sasa inakuwaje "the most merciful" amuandikie kiumbe wake kupotea kwa namna ambayo huyo kiumbe hawezi kuibadikisha? Wakati mungu huyu sna uwezo wa kumuandikia kiumbe ssipotee bila kupungukiwa kitu? Mungu gani mwenye roho mbaya ya kubania viumbe wake kama huyu?Sasa kiumbe akipotea, kwa sababu kandikiwa kupotea na mungu kwa.namna.ambayo kiumbe huyo hawezi kuibadilisha, sikunya.hukumu.mungu atamhukumu kiumbe.huyu kwa kupotea?Na kumpeleka motoni?Hata kama mungu mqenyewe ndiye aliyemuandikia kupotea kwa namna ambayo kiumbe hawezi kuibadikisha?Fikra hizi zina mantiki kweli?
Au ni fikra za kufikirika tu za kuhusu mungu asiyekuwepo?
I seriously doubt your ability to think logically or reveal the weaknesses of your positions honestly.
By Kiranga
Hujaelewa/ unakwepa swali, siulizi mungu wangu, nauliza mungu wako.
Aanasema anatumia "Immanent critique"Madai yake menginie ya hayupo, sijui anafanya utafiti na au hajui ni jibu tosha kuwa yupo, ndio maana anakosa usingizi maana fikra zake zimefika ukingoni na kushindwa kutathmini kuhusu huyo Mungu. Yaani mtu akisema tu kuwa hakuna Mungu, elewa kuwa kuto kuwepo kwa Mungu ndio kukiri kuwa yupo. (1) Kwanini unamwita Mungu? Hivi kitu kisicho kuwepo huwa kinafahamika na kupewa jina? (2) Kwanini wanataka kupewa ushaidi wa kuwepo kwa Mungu? Ni nini hasa kinacho wanyima usingizi na kutaka ushaidi wa Mungu kuwepo? (3) Kama Mungu hayupo, kwanini unatumia time yako kuzungumzia? Ni kwasababu yupo, na hawana jinsi ya kufanya zaidi ya kuendelea kupagawa akili zao.
Yesu ni Mungu
Sisi tumeumbwa kwa physica l body inaonyehsa hatuwezi ng'amua fyucha. Hivyo kwa vyovyote vile kama hatuwezi gundua fyucha basi hatuwezi ku-change our future as well.
Hata knowledge tunayotumia kuelewa hizi complex scenario ni knowlege based on physical world. Knowledge iliyotokana na Adam na Hawa. Bongo zetu zikichakaa hatuna room ya kuwaza haya. pengine ndio maana tunastahili msamaha katika mwili huu. Lakini hatuna masamaha katika mbingu ijayo ambapo tutakuwa na knowledge kamili ya kile tunachokiwaza
If God knows everything, then you can't really change your future. It's pre-written.
But there's free will. So, you can choose or not to go to hell?
Also, when a man impregnates a woman is he forcing God to produce a new soul?
Sasa Mungu anamuingiza kwenye culture. There is more contradictions in proving the negative god. Huyu negative god alitokea wapi?Aanasema anatumia "Immanent critique"
Those are your diabolical opinionsKama.kufikiri kwetu kuna limitation, na kufikiri kwetu ndiko.kunafanya wengi waamini uwepo wa mungu, huni.kwamba kufikiri kwetu, kwa kuwa kuna limitation, kunaweza kabisa.kutupa dhana ya mungu ambaye hayupo?
Hili swali umeleta/tunga kutoka kwenye opinion yako hapo juu. Halina maantiki.Kwa sababu ya limitation ya kufikiri kwetu?
Bado unatumia opinion yako ya kwanza kutengeneza fallacy.After all, utategemeaje perfect knowledge kutoka kwenye kufikiri kwenye limitation?
Again umerudia yale yale ya fallacy.How does.our limited thinking capacity prove that there is a god and a heaven?
I seriously doubt your ability to think logically or reveal the weaknesses of your positions honestly.
God, knowing what's going to happen does not mean He's the one who makes it happen. You as a human choose what you want, He only knows the results for your actions. U know sometimes we have to let God be God, there's a lot of questions that need answers, hatuwezi kuelewa kazi zote za Mungu.
Unaweza kuambiwa bia ya Safari inatibu UKIMWI.
Kitu hicho hakipo, kwa maana ya kwamba bia haitibu.
Mtu mwenye akili akiambiwa "bia ya Safari inatibu UKIMWI" atahoji.
Unaweza kuhoji kitu ambacho hakipo, kwa mantiki kabisa. Kwa sababu hakipo.
Unaweza kudhani hapo umesaidia kuelewa lakini umeongeza maswali
Kama unasema kuwa Bia ya Safari haitibu Ukimwi utakuwa na usshahidi wa hilo kwa ku disprove hilo
Pia utatakiwa ueleze kilichokufanya ukasema bia haitibu Ukimwi!
kwa hiyo mungu anapanga huyu ataenda motoni, huyu mbinguni, right?
Is there hell? Will some people go to hell and burn forever? Does God know if you will go to heaven or hell before you were born?
If you answered yes to all of those questions, your God is not a just God, he created people while he knew they will end up burning forever!
Ni kawaida wala hilo sio tatizo
Kama mtu unaweza tu kusema mtu fulani ni mwendawazimu bila kusema sababu wewe ndio utakuwa mwendawazimu
Ulitakiwa na wadau hapa uthibitishe uwezo wako,ukashindwa kwa kupiga piga chenga
Ukaja na kusema,hata kama umeshindwa kuthibitisha uwepo wako,hiyo inathibitishaje uwepo wa Mungu anaejua yote,mwenye upendo wote na aliyepo kila mahali?
Nikakuuliza "je kinyume chake kinathibitishaje kuwa hayupo"?
Ukaja na kuniambia kuwa swali langu ni na kijinga kwakuwa huwezi kuthibitisha kisichokuwepo
Nikakuuuliza "ni wapi nimekuuliza au kukutaka uthibitishe chochote"?
Unakuja na kudai eti unautilia mashaka uwezo wangu wa kufikiri sawasawa
Kwa mtiririko huo hapo juu ni nani hafikiri sawasawa?
Mtu unapouliza kama kushindwa kuthibitisha uwepo wako wewe inakuwaje imethibitisha uwepo wa mungu halafu ukaulizwa kama mtu anashindwa kuthibitisha uwepo wa Mungu inakuwaje ndio uthibitisho wa kutokuwepo kwake,halafu ukaja na kusema huwezi kuthibitisha kisichokuwepo halafu ukaulizwa kama umeambiwa uthibitishe chochote halafu unadai huyo mtu aliyekuuliza hafikirii sawasawa,utakuwa mzima kweli wewe?
Inawezekana wewe uwezo wako ndio una mashaka na ndio maana unatumia njia za ajabu kushindwa kujibu hoja!
Huwezi kamwe ku disprove kwamba bia ya Safari inatibu UKIMWI.
Hata ukifanya experiments from now to the end of time.
Ila una weza ku prove kwamba bia ya Safari inatibu UKIMWI.
Kwa.experiments chache zinazoweza kurudiwa with consistent positive duplication.
Jibu la.swali lako liko katika post yako, ume relate the world "prove" in a manner that made my reply logical.
Halafu unakuja kuniuliza ni wapi nimetoa habari ya "prove".
Nikiandika kwamba ama huwezi kufikiri ligically au ni mhadaa tu nitakuwa nimekosea?
Ok let assume your right .....
Kama unajua kabisa kuwa huna cha ku back up madai yako,kwanini unakana kuwa bia haitibu ukimwi?