I seriously doubt your ability to think logically or reveal the weaknesses of your positions honestly.
Ni kawaida wala hilo sio tatizo
Kama mtu unaweza tu kusema mtu fulani ni mwendawazimu bila kusema sababu wewe ndio utakuwa mwendawazimu
Ulitakiwa na wadau hapa uthibitishe uwezo wako,ukashindwa kwa kupiga piga chenga
Ukaja na kusema,hata kama umeshindwa kuthibitisha uwepo wako,hiyo inathibitishaje uwepo wa Mungu anaejua yote,mwenye upendo wote na aliyepo kila mahali?
Nikakuuliza "je kinyume chake kinathibitishaje kuwa hayupo"?
Ukaja na kuniambia kuwa swali langu ni na kijinga kwakuwa huwezi kuthibitisha kisichokuwepo
Nikakuuuliza "ni wapi nimekuuliza au kukutaka uthibitishe chochote"?
Unakuja na kudai eti unautilia mashaka uwezo wangu wa kufikiri sawasawa
Kwa mtiririko huo hapo juu ni nani hafikiri sawasawa?
Mtu unapouliza kama kushindwa kuthibitisha uwepo wako wewe inakuwaje imethibitisha uwepo wa mungu halafu ukaulizwa kama mtu anashindwa kuthibitisha uwepo wa Mungu inakuwaje ndio uthibitisho wa kutokuwepo kwake,halafu ukaja na kusema huwezi kuthibitisha kisichokuwepo halafu ukaulizwa kama umeambiwa uthibitishe chochote halafu unadai huyo mtu aliyekuuliza hafikirii sawasawa,utakuwa mzima kweli wewe?
Inawezekana wewe uwezo wako ndio una mashaka na ndio maana unatumia njia za ajabu kushindwa kujibu hoja!