If God knows the future (omniscient), can you change your destiny?

If God knows the future (omniscient), can you change your destiny?

I didn't ask you to prove anything,re read my question

By the way,if you know can not prove your claim,what make you say he does not exist?
Or you just assuming?

I seriously doubt your ability to think logically or reveal the weaknesses of your positions honestly.
 
Kwa nini mungu amuandikie kiumbe kupotea?Wakati ana uwezo wa kumuandikia kutopotea?Si tunaambiwa mungu huyu ni "the most merciful"?Sasa inakuwaje "the most merciful" amuandikie kiumbe wake kupotea kwa namna ambayo huyo kiumbe hawezi kuibadikisha? Wakati mungu huyu sna uwezo wa kumuandikia kiumbe ssipotee bila kupungukiwa kitu? Mungu gani mwenye roho mbaya ya kubania viumbe wake kama huyu?Sasa kiumbe akipotea, kwa sababu kandikiwa kupotea na mungu kwa.namna.ambayo kiumbe huyo hawezi kuibadilisha, sikunya.hukumu.mungu atamhukumu kiumbe.huyu kwa kupotea?Na kumpeleka motoni?Hata kama mungu mqenyewe ndiye aliyemuandikia kupotea kwa namna ambayo kiumbe hawezi kuibadikisha?Fikra hizi zina mantiki kweli?
Au ni fikra za kufikirika tu za kuhusu mungu asiyekuwepo?
Sisi tumeumbwa kwa physica l body inaonyehsa hatuwezi ng'amua fyucha. Hivyo kwa vyovyote vile kama hatuwezi gundua fyucha basi hatuwezi ku-change our future as well.
Hata knowledge tunayotumia kuelewa hizi complex scenario ni knowlege based on physical world. Knowledge iliyotokana na Adam na Hawa. Bongo zetu zikichakaa hatuna room ya kuwaza haya. pengine ndio maana tunastahili msamaha katika mwili huu. Lakini hatuna masamaha katika mbingu ijayo ambapo tutakuwa na knowledge kamili ya kile tunachokiwaza
 
I seriously doubt your ability to think logically or reveal the weaknesses of your positions honestly.

Here is the logic.
quote_icon.png
By Kiranga
viewpost-right.png

Hujaelewa/ unakwepa swali, siulizi mungu wangu, nauliza mungu wako.
 
Madai yake menginie ya hayupo, sijui anafanya utafiti na au hajui ni jibu tosha kuwa yupo, ndio maana anakosa usingizi maana fikra zake zimefika ukingoni na kushindwa kutathmini kuhusu huyo Mungu. Yaani mtu akisema tu kuwa hakuna Mungu, elewa kuwa kuto kuwepo kwa Mungu ndio kukiri kuwa yupo. (1) Kwanini unamwita Mungu? Hivi kitu kisicho kuwepo huwa kinafahamika na kupewa jina? (2) Kwanini wanataka kupewa ushaidi wa kuwepo kwa Mungu? Ni nini hasa kinacho wanyima usingizi na kutaka ushaidi wa Mungu kuwepo? (3) Kama Mungu hayupo, kwanini unatumia time yako kuzungumzia? Ni kwasababu yupo, na hawana jinsi ya kufanya zaidi ya kuendelea kupagawa akili zao.

Yesu ni Mungu
Aanasema anatumia "Immanent critique"
 
Sisi tumeumbwa kwa physica l body inaonyehsa hatuwezi ng'amua fyucha. Hivyo kwa vyovyote vile kama hatuwezi gundua fyucha basi hatuwezi ku-change our future as well.
Hata knowledge tunayotumia kuelewa hizi complex scenario ni knowlege based on physical world. Knowledge iliyotokana na Adam na Hawa. Bongo zetu zikichakaa hatuna room ya kuwaza haya. pengine ndio maana tunastahili msamaha katika mwili huu. Lakini hatuna masamaha katika mbingu ijayo ambapo tutakuwa na knowledge kamili ya kile tunachokiwaza

Kama kufikiri kwetu kuna limitation, na kufikiri kwetu ndiko kunafanya wengi waamini uwepo wa mungu, huni.kwamba kufikiri kwetu, kwa kuwa kuna limitation, kunaweza kabisa.kutupa dhana ya mungu ambaye hayupo?

Kwa sababu ya limitation ya kufikiri kwetu?

After all, utategemeaje perfect knowledge kutoka kwenye kufikiri kwenye limitation?

How does.our limited thinking capacity prove that there is a god and a heaven?
 
If God knows everything, then you can't really change your future. It's pre-written.
But there's free will. So, you can choose or not to go to hell?
Also, when a man impregnates a woman is he forcing God to produce a new soul?

God, knowing what's going to happen does not mean He's the one who makes it happen. You as a human choose what you want, He only knows the results for your actions. U know sometimes we have to let God be God, there's a lot of questions that need answers, hatuwezi kuelewa kazi zote za Mungu.
 
Kama.kufikiri kwetu kuna limitation, na kufikiri kwetu ndiko.kunafanya wengi waamini uwepo wa mungu, huni.kwamba kufikiri kwetu, kwa kuwa kuna limitation, kunaweza kabisa.kutupa dhana ya mungu ambaye hayupo?
Those are your diabolical opinions

Kwa sababu ya limitation ya kufikiri kwetu?
Hili swali umeleta/tunga kutoka kwenye opinion yako hapo juu. Halina maantiki.

After all, utategemeaje perfect knowledge kutoka kwenye kufikiri kwenye limitation?
Bado unatumia opinion yako ya kwanza kutengeneza fallacy.

How does.our limited thinking capacity prove that there is a god and a heaven?
Again umerudia yale yale ya fallacy.

*************************
1. Yaani unaanzisha opinions zako
2. Unatunga swali kutoka kwenye hizo opinions zako
3. Unataka ujibiwe opinions zako kwa kutumia empirical facts.

MSIBA HUU.
 
I seriously doubt your ability to think logically or reveal the weaknesses of your positions honestly.

Ni kawaida wala hilo sio tatizo

Kama mtu unaweza tu kusema mtu fulani ni mwendawazimu bila kusema sababu wewe ndio utakuwa mwendawazimu

Ulitakiwa na wadau hapa uthibitishe uwezo wako,ukashindwa kwa kupiga piga chenga
Ukaja na kusema,hata kama umeshindwa kuthibitisha uwepo wako,hiyo inathibitishaje uwepo wa Mungu anaejua yote,mwenye upendo wote na aliyepo kila mahali?

Nikakuuliza "je kinyume chake kinathibitishaje kuwa hayupo"?
Ukaja na kuniambia kuwa swali langu ni na kijinga kwakuwa huwezi kuthibitisha kisichokuwepo

Nikakuuuliza "ni wapi nimekuuliza au kukutaka uthibitishe chochote"?
Unakuja na kudai eti unautilia mashaka uwezo wangu wa kufikiri sawasawa

Kwa mtiririko huo hapo juu ni nani hafikiri sawasawa?

Mtu unapouliza kama kushindwa kuthibitisha uwepo wako wewe inakuwaje imethibitisha uwepo wa mungu halafu ukaulizwa kama mtu anashindwa kuthibitisha uwepo wa Mungu inakuwaje ndio uthibitisho wa kutokuwepo kwake,halafu ukaja na kusema huwezi kuthibitisha kisichokuwepo halafu ukaulizwa kama umeambiwa uthibitishe chochote halafu unadai huyo mtu aliyekuuliza hafikirii sawasawa,utakuwa mzima kweli wewe?

Inawezekana wewe uwezo wako ndio una mashaka na ndio maana unatumia njia za ajabu kushindwa kujibu hoja!
 
God, knowing what's going to happen does not mean He's the one who makes it happen. You as a human choose what you want, He only knows the results for your actions. U know sometimes we have to let God be God, there's a lot of questions that need answers, hatuwezi kuelewa kazi zote za Mungu.

F. Wolfgang

Why did god allow evil? Given that he is supposedly omnipotent, omniscient, omni benevolent and omnipresent ( I primarily refer to this godhead as a starting point).

Why would an all loving, all capable godhead allow evil and calamities? Disasters and pestilence? War and suffering? Even to innocent children? In a way seemingly far inferior to some human rights declarations aspirations?

Is this god less godly, in terms of benevolence, than some human standards?

I.haven't seen a satisfactory answer to this question.

I have had the retort "the lord works in mysterious ways", which is really not an answer but another way of evading answering by saying "I don't know jack about this god stuff, I just conform".

I haven't seen a satisfactory answer.
 
Unaweza kuambiwa bia ya Safari inatibu UKIMWI.

Kitu hicho hakipo, kwa maana ya kwamba bia haitibu.

Mtu mwenye akili akiambiwa "bia ya Safari inatibu UKIMWI" atahoji.

Unaweza kuhoji kitu ambacho hakipo, kwa mantiki kabisa. Kwa sababu hakipo.

Unaweza kudhani hapo umesaidia kuelewa lakini umeongeza maswali

Kama unasema kuwa Bia ya Safari haitibu Ukimwi utakuwa na usshahidi wa hilo kwa ku disprove hilo

Pia utatakiwa ueleze kilichokufanya ukasema bia haitibu Ukimwi!
 
Huwezi kamwe ku disprove kwamba bia ya Safari inatibu UKIMWI.

Hata ukifanya experiments from now to the end of time.

Ila una weza ku prove kwamba bia ya Safari inatibu UKIMWI.

Kwa.experiments chache zinazoweza kurudiwa with consistent positive duplication.
 
Is there hell? Will some people go to hell and burn forever? Does God know if you will go to heaven or hell before you were born?

If you answered yes to all of those questions, your God is not a just God, he created people while he knew they will end up burning forever!

Dear,God has granted us with a freedom to choose which way to go,the right way or the wrong one,
 
Ni kawaida wala hilo sio tatizo

Kama mtu unaweza tu kusema mtu fulani ni mwendawazimu bila kusema sababu wewe ndio utakuwa mwendawazimu

Ulitakiwa na wadau hapa uthibitishe uwezo wako,ukashindwa kwa kupiga piga chenga
Ukaja na kusema,hata kama umeshindwa kuthibitisha uwepo wako,hiyo inathibitishaje uwepo wa Mungu anaejua yote,mwenye upendo wote na aliyepo kila mahali?

Nikakuuliza "je kinyume chake kinathibitishaje kuwa hayupo"?
Ukaja na kuniambia kuwa swali langu ni na kijinga kwakuwa huwezi kuthibitisha kisichokuwepo

Nikakuuuliza "ni wapi nimekuuliza au kukutaka uthibitishe chochote"?
Unakuja na kudai eti unautilia mashaka uwezo wangu wa kufikiri sawasawa

Kwa mtiririko huo hapo juu ni nani hafikiri sawasawa?

Mtu unapouliza kama kushindwa kuthibitisha uwepo wako wewe inakuwaje imethibitisha uwepo wa mungu halafu ukaulizwa kama mtu anashindwa kuthibitisha uwepo wa Mungu inakuwaje ndio uthibitisho wa kutokuwepo kwake,halafu ukaja na kusema huwezi kuthibitisha kisichokuwepo halafu ukaulizwa kama umeambiwa uthibitishe chochote halafu unadai huyo mtu aliyekuuliza hafikirii sawasawa,utakuwa mzima kweli wewe?

Inawezekana wewe uwezo wako ndio una mashaka na ndio maana unatumia njia za ajabu kushindwa kujibu hoja!

Jibu la.swali lako liko katika post yako, ume relate the world "prove" in a manner that made my reply logical.

Halafu unakuja kuniuliza ni wapi nimetoa habari ya "prove".

Nikiandika kwamba ama huwezi kufikiri ligically au ni mhadaa tu nitakuwa nimekosea?
 
Huwezi kamwe ku disprove kwamba bia ya Safari inatibu UKIMWI.

Hata ukifanya experiments from now to the end of time.

Ila una weza ku prove kwamba bia ya Safari inatibu UKIMWI.

Kwa.experiments chache zinazoweza kurudiwa with consistent positive duplication.

Ok let assume your right .....

Kama unajua kabisa kuwa huna cha ku back up madai yako,kwanini unakana kuwa bia haitibu ukimwi?
 
Jibu la.swali lako liko katika post yako, ume relate the world "prove" in a manner that made my reply logical.

Halafu unakuja kuniuliza ni wapi nimetoa habari ya "prove".

Nikiandika kwamba ama huwezi kufikiri ligically au ni mhadaa tu nitakuwa nimekosea?

I see ......!!
 
Ok let assume your right .....

Kama unajua kabisa kuwa huna cha ku back up madai yako,kwanini unakana kuwa bia haitibu ukimwi?

First of all, it is not "Let me assume your right".

What you want to write here is "Let me assume you are right".

The first has a totally different meaning from what you want to convey.

If you can't get this simple level of communication correct, how can I have any confidence that you can carry a sophisticated exchange involving the verisimilitude of the philosophy of religion and the nature of the supposed godhead?
 
Yaani Mimi cjui ni ushamba wangu au ndo uafrika wangu cpende kabsa kuzungumzia mungu in your altitude.., jamani mungu siyo mnyika,au slaa au nape mnauye tukamchambua kiasi hicho. Kuna vitu hutakiwi kuvifatilia sana kihivyo mana utakufulu.,u don't need to be expert sana Kwa kumdadavua the power of god., wats important 2 m god is ma saviour, my security,.my everything na cwez kufankiwa bila yeye., I love you god., I need you Jesus
 
Back
Top Bottom