Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Sehem ya 2 ya swali langu haijajibika. Umesema vizuri kua anatakiwa kuthibitisha kwa anaowambia,ili wafanyeje?
Kanuni huwezi kuithibitishia bali unaithibitisha.
Ili waweze kujua kama unalosema ni kweli au hekaya.
Katika habari nzima ya kuheshimu ukweli.
Hata kitabu kimesema ijueni kweli na kweli itawaweka huru.
Sasa kama huwezi kuthibitisha uwepo wa mungu, utajuaje kwamba habari ya kuwepo mungu ni kweli na si hadithi tu?