Bold-Ili iweje?
Kwanini unataka nithibitishe?
Kwanini unataka nikuthibitishie mimi?
Hato weza kukujibu kamwe. ZAID ya blah blah zisizo kuwa jibuBold-Ili iweje?
Kwanini unataka nithibitishe?
Kwanini unataka nikuthibitishie mimi?
Lete ushaidi wako tuuone. Miaka yoote huwa unakimbia, sasa leo umejiweka kitanzi.Kwa.sababu tunahambua ukweli na hadithi zisizo na ukweli.
Kwa sababu wewe ndiye uliyejibuzana nami hapa kama mtetezi wa uwepo wa mungu.
Hili ndilo neno.
Kuna mtu humu hata aambiweje , apewe uthibitisho gani anarudia kusema "naomba uthibitisho , sijaona uthibitisho kuwa kweli Mungu yupo" Kisha anaona kuwa anaelewa hata vitu ambavyo wana sayansi makini wameacha kuamini .
Kuna vitabu vilifundisha Hygiene way back ! Kuna vitabu vilisema kuwa dunia ni tufe/duara wakati wanasayansi wakiamini kuwa ni horizontal ahahaaaa imeshikiliwa na tembo wa kubwa.Kuna vitabu vimetabiri matukio yaliyotokea kwa wakati.
Leo wanasayansi wakongwe wanatuambia there are new understanding regarding a lot of knowledge; Gravitational may not be as the way we know or they teach us.New understanding regarding what they call black hole.
Kuna watu hapa hatujawahi ona hata papers zao published ila ni mabingwa wakuona wao ndo founder of some theory wakati ni malimbukeni wa kujua vitu ukubwani kiasi cha kuona wengine hawajui vitu vya shule ya msingi ahahaaa
Kwa.sababu tunahambua ukweli na hadithi zisizo na ukweli.
Kwa sababu wewe ndiye uliyejibuzana nami hapa kama mtetezi wa uwepo wa mungu.
Oh yes, I know that. The kid is scared "WHAT IF THERE IS GOD?"
Hujajibu nilichokuuliza:
Kwanini unahoji ulimwengu kuwa na kifo?
Unanihoji mimi nature ya Mungu?nahoji nature ya muumba....dont his creations reveal his nature?
Tatizo linakujaje?pia nahoji hoja yenu ya kuwa mungu hakuumba kifo. lets no go in circles b'se nilishaelezea my side.
nahoji nature ya muumba....dont his creations reveal his nature?
Unanihoji mimi nature ya Mungu?
Tatizo linakujaje?
Mungu hakuumba kifo,sasa shida iko wapi bibie?
Eiyer, umemfikisha pabaya huyu. Umemtega sasa ameingia kilaini kabisa.Kwa.sababu tunahambua ukweli na hadithi zisizo na ukweli.
Kwa sababu wewe ndiye uliyejibuzana nami hapa kama mtetezi wa uwepo wa mungu.
Uthibitisho gani umetoa?
Hiyo copy paste yako ambayo haina kichwa wala mguu?
Unaniambia First and Second Laws ofThermodynamics zinathibitisha kuwepo kwa mungu.
Nikakuuliza kama unatumia Second Law of Thermodynamics, inasema kila kitu kitakongoroka baada ya muda.
Na mungu wako naye atakongoroka?
Sijaona jibu.
Huwezi kutumia Second Law of Thermodynamics inapo fit matakwa yako, lakini ukiulizwa maswali kuhusu law hiyo hiyo ukakataa kujibu.
Unacheza wewe.
yes wewe. nilikuukiza how can an all loving God create death .
unasema Mungu hakuumba kifo wakati nimeshaonyesha kuwa ni yeye kaumba kifo. see? we have been through this. nilishamake my conclusions though so its ok dont bother
yes wewe. nilikuukiza how can an all loving God create death .
unasema Mungu hakuumba kifo wakati nimeshaonyesha kuwa ni yeye kaumba kifo. see? we have been through this. nilishamake my conclusions though so its ok dont bother
Psalm 19:1 To the chief Musician, A Psalm of David. The heavens declare the glory of God; and the firmament sheweth his handy work.
Since God is the one from whom glory comes, He will not let stand the assertion that glory comes from man or from the idols of man or from nature.
In short, God has attributes and not Natures.
Accordingly, His creations according to Psalm declare His Glory.
Eiyer, umemfikisha pabaya huyu. Umemtega sasa ameingia kilaini kabisa.
Kumbe anao ushaidi kuwa hakuna Mungu!!!! LEO ATULETEE USHAIDI KUWA HAKUNA MUNGU. Hakuna kukimbia mtu hapa.
Tuletee Ukweli unao utambua!!! NATAKA NIWE NON THEIST KAMA WEWE.
Nithibitishie ni wapi Mungu aliumba kifo kisha tuendelee .....!!
Ametoweka ghafla sijui kaenda wapi .....!!
you know what I think? anajua "Mungu yupo", he just doubt God's power, anachukizwa na vita na mauaji halafu anashangaa kuona bado tuna Imani thabit, bado tunaamini Yupo. Tunajua He is not the cause for all of this, but satan is.
Mungu hakuweka dhambi, Mungu aliweka "free will" kwa malaika hata binadamu, na hii ni kwa sababu Anataka tumwabudu kwa moyo mmoja bila kuwa forced. Kwani anashindwa kutu-force? au kutu-command tumwabudu automatically bila sisi kujua? Hapana, hashindwi, Yeye ni wa Haki, ndiyo maana kuna free will, ndiyo maana kuna watu wanadiriki hata kumtukana, lakini asiwafanye chochote. He can even End everything He created in a SINGLE SNAP of his fingers, but no He wont, because He loves us more than we can imagine.
kamwachia satan dunia hii, aitawale atakavyo. Ili sisi tupate kuona kwa macho yetu ni utawala wa nani unafaa? angalia jinsi malaika waishivyo kwa raha huko mbinguni chini ya utawala wa Mungu, tuangalie sisi tulio chini ya huyu nyoka.
Aliye na macho, na aone. Aliye na masikio na asikie.
sasa kaka, ukitaka kuona huyu God hater ni wa ajabu, atakuja kuni-quote na maswali yake wakati nilishasema simjibu. labda aache kwa kuwa nimesema hayo.