If God knows the future (omniscient), can you change your destiny?


Wameshadai humu kuwa kujua ni nyumba ya ujinga

Sasa kama wanataka kujua inakuwa na maana kuwa wanataka kuwa wajinga ....!!
 

it is always more difficult to fight against faith than against knowledge
 
Prove kwamba mungu yupo.
Ni wazi kuwa hakuna mtu anayeweza ku-prove kwamba Mungu yupo na kama yupo hawezi kuaminika kwa asilimia 100% hata akienda mahakama ipi.

Naweza kusema watu huwa wanatoa evidences tu zenye kuelezea uwezekano wa uwepo wa Mungu.kwani Ku-prove(kuthibitisha) ni jambo linalotegemea imani husika ya individual.

japo Bibilia na vitabu vingine vinatumika kama evidence ya uwepo wa Mungu -pia tusisahau kwamba watu wanaweza wasikubaliane na viashiria vya aina yoyote vilivyoainishwa huko kama ni dalili za uwepo wa Mungu na hii ni kutegemeana na thinking perspective ya mtu.

Hivyo basi Kwakuwa jambo la ku-prove lina -rely zaidi kwa watu kuonyeshwa mahala mungu alipo na watu wamwone kwa macho na sio kutumia viashiria tu.

vilevile inaweza kutokea watu wakaonyeshwa huyo Mungu na wakatafsiri ni Alliens, ama ghost ama fiction tu.kwani umbile halisi la mungu ni wazi halijulikani.


Wakristo wamekuwa wakichora picha ya yesu - ku-portray Mungu na ni wazi inawezekana kwakuwa angalau yesu walimwona kwakuwa alikuwa binadamu. (Hali ni tofauti kwa Mungu Baba).

Yesu kristo aliwahi kukataa kuwaonyesha watu ishara isipokuwa ya kufa na kufufuka msalabani tu, na Muammad alisema hawezi kufanya miujiza, yoyote..All in all viashiria ndio vinavyotetea zaidi uwepo wa Mungu.
 
Nice to see you here once again.

Tatizo kubwa ni hili: God is not a "scientific" person with "biological" attributes that can be proven in the lab or using logical findings which are based on assumptions. God said in the Bible that "He is the Spirit".

Hivyobasi, ili kumwelewa Mungu inabidi utumie Vitabu vyake na sio otherwise, kama ilivyo, ili kuelewa Hisabati inabiti utumie vitabu vya Hisabati na sio otherwise. Lakini inashangaza kuwa wanaojiita kuwa na elimu wana kubali kuwa, huwezi soma Psychology kwa kutumia kitabu cha somo la kujifunza Kiswahili, lakini wanataka kusoma kuhusu Mungu kwakutumia kitabu kinacho husu Fizikia. Je, Kitabu cha Fizikia kinaweza kukufundisha lugha ya Kiswahili?

Hivyo basi:
1. Ujuzi hauwezi kumtambua Mungu wala kumpinga Mungu maana hauna uwezo wa kuelewa nini maana ya Roho.
2. Faith "Imani" ambayo ni evidence of things not seen ndio pekee ina hold watertight.
3. Yesu ni Mungu

Watakabahu
 

Imani haina mipaka waweza amini chochote....
 
Kuna imani za "UONGO" ambazo hata non theism is part of it na kuna imani ya kweli "BELIEVING IN JESUS".

Hivyo, basi, kuna imani moja tu ambayo ni ya kweli ambayo ni kupitia Yesu. Zinginze zote ni bayana.

Ha ha ha sawa mkuu

Naona wamekua kimya hawakujibu
 
you can not change your destiny at all, but stop being heartless, challenge your limitation.

What if i challenge my limitation and win it....! Actualy i beliave that i can make my own destiny and even God bless what i plant.
 
What if i challenge my limitation and win it....!
Do you know your limitation yet?.......what benchmark did God set forth to you? . then what strategies have you 'created to surpass the God's Benchmark destiny?
Actually i beliave that i can make my own destiny and even God bless what i plant.
that's right..Your destiny is in your hands
 
Kama kipo nionyeshe basi.
Wewe ndie ulie sema hakipo, halafu unataka mimi nikuonyeshe?


Si kila kilicho na jina kipo! We vipi wewe?
I don't have time with blahing blahing, support your notions.

Ushawahi kumwona Bigfoot wewe? Au Loch Ness monster?
In the movies, yes, I did.

Sasa jibu maswali yangu kwa scientific evidence
 
Wewe ndie ulie sema hakipo, halafu unataka mimi nikuonyeshe?



I don't have time with blahing blahing, support your notions.

In the movies, yes, I did.

Sasa jibu maswali yangu kwa scientific evidence

It's impossible to have a respectful and intelligent discussion with you.

I'm out.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…