If God knows the future (omniscient), can you change your destiny?

Una maanisha yule mliemtundika msalabani...nipe maandiko wapi Yesu alisema yeye alimuumba Adam...kitabu chochote kile hata kama kimetungwa na Babu yako....
 
Kumbe majibu unayoyataka ........
Ni kweli majibu unayoyataka unaweza usiyapate hapa lakini unaweza kupata majibu sahihi hapa

Kuna tofauti sana kati ya majibu sahihi na unayoyataka!

Nilimaanisha yajaniridhisha. Kwa mfano wewe umeniambia "...mkubali(Yesu) tu na utaona maisha yako yakibadilika kuanzia sasa na utazijua siri nyingi sana za Mungu ambazo kuna watu wanakesha JF kuzitafuta,na utazipata bila kulipia hata senti moja..". It might be a good answer but not to my satisfaction.
Moja ya mazuri yangu ni kuwa milango yangu ya kujifunza iko wazi. I read everything.
So I will keep asking or die trying
:A S-omg:.
 
Bado majibu sahihi yanaweza yasikuridhishe .....!!
 
If God knows everything, then you can't really change your future. It's pre-written.
But there's free will. So, you can choose or not to go to hell?
Also, when a man impregnates a woman is he forcing God to produce a new soul?

I have discussed this question to death over the years here.

The logical conclusion, when considering this and other conundrums, is that the omnipotent, omniscient, omnibenevolent and omnipresent godhead is but a human fiction.
 
Hujaelewa swali

Sijakuuliza kuthibitisha kwa kiingereza ni nini bali nimekuuliza kama unajua maana ya kuthibitisha

Hujui maana ya maana?

Hili linatoka wapi?
Mungu ni nini/nani?
Nikikupa maana ya kuthibitisha utaniuliza maana ya neno jingine hapohapo. Nimekuuliza kuhusu uwepo wa Mungu makusudi kabisa nikijua huwezi kunithibitishia uwepo wake. Waweza kuja na biblia lakini sio kila mtu anaamini biblia. Naomba usiniulize biblia ni nini. I see it coming he he he
 
Kwanini una assume mambo?

Nimekuuliza maana badala ya kuleta maana una translate,sijui nani amekuambia hivyo
Nikaja kukuelewesha swali,badala ya kujibu unakuja na assumption,sijui ukoje

Haya bana labda hiyo ndio mbinu yako ya kukimbia swali!
 
Hii ni topic ngumu miongoni mwa zile most hard talk.
 
Kwanini una assume mambo?

Nimekuuliza maana badala ya kuleta maana una translate,sijui nani amekuambia hivyo
Nikaja kukuelewesha swali,badala ya kujibu unakuja na assumption,sijui ukoje

Haya bana labda hiyo ndio mbinu yako ya kukimbia swali!

Eiyer mara nyingi ukiulizwa swali moja wewe unajibu kwa kuuliza maswali zaidi ya matano...hiyo siyo assumption.
Mimi nina maswali mengi sana lakini si kila swali inabidi nililete hapa JF. Kuna mengine nayaleta hapa lakini end of the day we agree to disagree.
 
So???????
 
Back
Top Bottom