Ndiyo maana nikakuuliza kwa framework gani na margin of error gani?
Naweza kukuambia kuna falsafa zinazosema kila kitu ni cha kufikirika vike vike, na hakipo, na huna njia ya kuthibitisha kwamba hilo si kweli.
kwa hiyo ww unaamini sana kwenye hizo falsafa sasa mbona ulikuwa ukisumbua watu wakuthibitishie uwepo wa Mungu.....wakati ww umeshindwa kuthibitisha uwepo wako hata kwa kutumia hizo unazodai ni falsafa....poor kiranga
Sitaki kuamini, nataka kujua.
Sijashindwa kuthibitisha uwepo wangu, wewe ndiye umeshindwa kutaja framework na margin of error.
Uthibitisho wowote ambao hauna defined domain/ framework and margin of error ni ubatili.
Jibu swali, umesha ambiwa chagua margin na error. Huwezi kimbia hapa. Lazima ujifunze kujibu maswali na sio kukimbia maswali na kutumia ignore option.Ndiyo maana nikakuuliza kwa framework gani na margin of error gani?
Naweza kukuambia kuna falsafa zinazosema kila kitu ni cha kufikirika vike vike, na hakipo, na huna njia ya kuthibitisha kwamba hilo si kweli.
Sitaki kuamini, nataka kujua.
Sijashindwa kuthibitisha uwepo wangu, wewe ndiye umeshindwa kutaja framework na margin of error.
Uthibitisho wowote ambao hauna defined domain/ framework and margin of error ni ubatili.
HUYOOOOO kesha anza kuonyesha tatizo katika UONGO WAKE WA ALLERGY
By Kiranga
I can barely tolerate it for practical reasons linked to it's current inescapable nature as pointed above. That is, in order to eradicate it, one has to barely accommodate it, and converge towards it's gradual eradication methodically.
Experimentation, peer review and observation in a corrective and critically reflective culture (the opposite of faith) would eventually converge towards less belief and more knowledge.
That is how science advances.
Jibu swali usitake kukimbia. Go ahead NA JIBU MASWALI. HUKIMBII HAPA.Sitaki kuamini, nataka kujua.
Sijashindwa kuthibitisha uwepo wangu, wewe ndiye umeshindwa kutaja framework na margin of error.
Uthibitisho wowote ambao hauna defined domain/ framework and margin of error ni ubatili.
Jifunze kivipi utakatifu unapatikana. Inaonekana hujui.Mdahalo usionamshiko.... kama huelewi huelewi tu ndio maana mbinguni wataingia Watakatifu tu... inakuwaje usielewe maaana ya Utakatifu... au niandike kwa English? Saints (St.)
Hana huo ubavu na wala hakuwai kuwa na huo ubavu. Ndio maana anatumia IGNORE OPTION anapo zidiwa na huwa anakimbia.Kiranga leo hameshindwa kuthibitisha uwepo wake......
Sijui? kha! Ndio Maana nimesema unapenda Midaharo isiyo na mashiko.... Tenda Mema tupu utakuwa Mtakatifu Direct na Utaitwa tu... unaongea na Mtu mwenye kufahamu Mengi na si Mabishano pole Ndugu....Jifunze kivipi utakatifu unapatikana. Inaonekana hujui.
MWAMBIENI HUYO JAAMA AJE NIFANYE NAE DEBATE.
Mwambie huyo atheist, anitoe kwenye IGNORE LIST YAKE na afanye nami debate. I am ready, able, willing kumsambaratisha huku watu mkiangalia. Tell the person for me maana ameniweka kwenye ignore list yake.
CC: Kiranga , Mkuu wa chuo , Ntuzu , Kongosho , Kaunga , Samaritan Ennie CYBERTEQ , Ibambasi Basluma Original na wengine ........
Kuna utam hapa ....
Hahahahahaaaaaaaaaaa!!
Kumbe ligi, tehetehetehe.
Mwambieni kashinda, sina haja na ligi.
Since he is the best and you agree with me right? No need to debate...Kumbe ligi, tehetehetehe.
Mwambieni kashinda, sina haja na ligi.
Usijifanye kukimbia bana. Ligi si ndio utamaduni wako. Fanya debate watu waangalie mtanage.Kumbe ligi, tehetehetehe.
Mwambieni kashinda, sina haja na ligi.
Since he is the best and you agree with me right? No need to debate...
Teyari umesha anza lugha chafu. Haikusaidii kitu. Wewe toa watu kwenye ignore list yako ili mpambane. Just BELIEVING that the earth existed ex nihilo is IDIOCRACY, ZAIDI YA HAPO, kushindwa kusaidia madai ya "negative god" is idiocracy. Don't start your idiocratic arguments.Even the best in idiocracy are also called the best.
Hahahahaaaaa .....
Sasa nani kasema ligi?
Ukishaona mtu anaongelea habari za "kumsambaratisha" ujue ligi hapo.
Focus haipo kwenye kuchunguza ukweli (hoja) bali kumsambaratisha (mtu).
I ain't with that. I should know better.
Kwani mada itakuwa anaongelewa mtu!? au ni hoja zitakazokuwa zinajadiliwa? kumsambaratisha ni pamoja na kusambaratisha hoja zako? au unadhani ni kusambaratishwa kwa namna gani?Ukishaona mtu anaongelea habari za "kumsambaratisha" ujue ligi hapo.
Focus haipo kwenye kuchunguza ukweli (hoja) bali kumsambaratisha (mtu).
I ain't with that. I should know better.