NAAMINI
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 672
- 235
Ndiyo maana nikakuuliza kwa framework gani na margin of error gani?
Naweza kukuambia kuna falsafa zinazosema kila kitu ni cha kufikirika vike vike, na hakipo, na huna njia ya kuthibitisha kwamba hilo si kweli.
kwa hiyo ww unaamini sana kwenye hizo falsafa sasa mbona ulikuwa ukisumbua watu wakuthibitishie uwepo wa Mungu.....wakati ww umeshindwa kuthibitisha uwepo wako hata kwa kutumia hizo unazodai ni falsafa....poor kiranga
