Alola
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 476
- 299
Unachoweza kufanya ni kuniombea tu kwa Mungu wako...So???????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unachoweza kufanya ni kuniombea tu kwa Mungu wako...So???????
Unachoweza kufanya ni kuniombea tu kwa Mungu wako...
I have discussed this question to death over the years here.
The logical conclusion, when considering this and other conundrums, is that the omnipotent, omniscient, omnibenevolent and omnipresent godhead is but a human fiction.
Hii ni topic ngumu miongoni mwa zile most hard talk.
daaahhh kiranga upo kweli ww.....ebu thibitisha kuwa upo
Kwa margin of error gani?
Kwa framework gani?
kwa ulivyoelewa kiranga...nithibitishie ww upo
nimekupa wide choice ya kunithibitishia uwepo wako naona unavyomeander....swali simple ila umeshindwa kulielewa then unataka kujua mambo makubwa ambayo hutokaa kuyatambua...think wideNimekuuliza maswali hujayajibu.
Uthibitisho unaweza tu kuandaliwa kwa mujibu wa majibu ya maswali niliyokupa.
Ambayo hujayajibu.
nimekupa wide choice ya kunithibitishia uwepo wako naona unavyomeander....swali simple ila umeshindwa kulielewa then unataka kujua mambo makubwa ambayo hutokaa kuyatambua...think wide
Hapana, hujanipa any choice at all.
Nimekuuliza margin of error na framework, hujajibu.
"Think wide" is neither a specific margin of error nor a framework.
Hapana, hujanipa any choice at all.
Nimekuuliza margin of error na framework, hujajibu.
"Think wide" is neither a specific margin of error nor a framework.
chagua mwenyewe kuthibitisha uwepo wako.......
Acha utamaduni wako wa kikumbia kila kitu. Mjibu swali lake la uthibitishe uwepo wako. Period. Eti unataka kufahamu margini error na framework. Chagua unayo taka halafu weka jibu.Nichague nini wakati hujanipa cha kuchagua?
Mdahalo usionamshiko.... kama huelewi huelewi tu ndio maana mbinguni wataingia Watakatifu tu... inakuwaje usielewe maaana ya Utakatifu... au niandike kwa English? Saints (St.)1. Kumpendezesha mwanadamu si rahisi. Kule Middle East sie hatutakiwi, sasa kama naishi kule, na kumfuata Elohim, kivipi nitaweza wapendezesha wale Wapinga Yesu ambaye ni Mungu wangu? Kumbe ndio maana Yesu alifanya mapenzi ya Baba yake na hakuwa pendezesha wale Mafarisayo ma Masadukayo.
2. Cha Muhimu na Cha kwanza ni kumpokea Yesu kama Bwana na Mwokozi wako. PERIOD. That is the KEY. Then the Holy Spirit will enter you na ataanza kukufundisha kuhusu UNLIMITED GOD.
3. Hivi utakatifu unaupataje? Hivi unaweza wewe kwa nguvu zako kujifanya kuwa Mtakatifu? Hili ni swali gumu ingawa ni rahisi kama tutafahamu maana ya Utakatifu na asili yake.
Acha utamaduni wako wa kikumbia kila kitu. Mjibu swali lake la uthibitishe uwepo wako. Period. Eti unataka kufahamu margini error na framework. Chagua unayo taka halafu weka jibu.
Kukimbia kila SWALI na kutumia IGNORE LIST hakukusaidii kitu KIJANA MPINGA MUNGU. Free ideas mimi nilifikiri ni wewe peke yako unaye penda kukimbia maswali, kumbe huu ni utamaduni wenu. JIBUNI SWALI.
Nichague nini wakati hujanipa cha kuchagua?
chagua kuthibitisha uwepo wako
Kwa margin of error gani? Framework gani?
Naweza kukuambia tu "Mimi nipo ambaye nipo" nikamaliza kama hatujakubaliana framework na margin of error.
Kwa margin of error gani? Framework gani?
Naweza kukuambia tu "Mimi nipo ambaye nipo" nikamaliza kama hatujakubaliana framework na margin of error.
upo wapi....thibitisha mkuu hata upepo upo...