If God knows the future (omniscient), can you change your destiny?

If God knows the future (omniscient), can you change your destiny?

I have discussed this question to death over the years here.

The logical conclusion, when considering this and other conundrums, is that the omnipotent, omniscient, omnibenevolent and omnipresent godhead is but a human fiction.

daaahhh kiranga upo kweli ww.....ebu thibitisha kuwa upo
 
kwa ulivyoelewa kiranga...nithibitishie ww upo

Nimekuuliza maswali hujayajibu.

Uthibitisho unaweza tu kuandaliwa kwa mujibu wa majibu ya maswali niliyokupa.

Ambayo hujayajibu.
 
Nimekuuliza maswali hujayajibu.

Uthibitisho unaweza tu kuandaliwa kwa mujibu wa majibu ya maswali niliyokupa.

Ambayo hujayajibu.
nimekupa wide choice ya kunithibitishia uwepo wako naona unavyomeander....swali simple ila umeshindwa kulielewa then unataka kujua mambo makubwa ambayo hutokaa kuyatambua...think wide
 
nimekupa wide choice ya kunithibitishia uwepo wako naona unavyomeander....swali simple ila umeshindwa kulielewa then unataka kujua mambo makubwa ambayo hutokaa kuyatambua...think wide

Hapana, hujanipa any choice at all.

Nimekuuliza margin of error na framework, hujajibu.

"Think wide" is neither a specific margin of error nor a framework.
 
Nichague nini wakati hujanipa cha kuchagua?
Acha utamaduni wako wa kikumbia kila kitu. Mjibu swali lake la uthibitishe uwepo wako. Period. Eti unataka kufahamu margini error na framework. Chagua unayo taka halafu weka jibu.

Kukimbia kila SWALI na kutumia IGNORE LIST hakukusaidii kitu KIJANA MPINGA MUNGU. Free ideas mimi nilifikiri ni wewe peke yako unaye penda kukimbia maswali, kumbe huu ni utamaduni wenu. JIBUNI SWALI.
 
1. Kumpendezesha mwanadamu si rahisi. Kule Middle East sie hatutakiwi, sasa kama naishi kule, na kumfuata Elohim, kivipi nitaweza wapendezesha wale Wapinga Yesu ambaye ni Mungu wangu? Kumbe ndio maana Yesu alifanya mapenzi ya Baba yake na hakuwa pendezesha wale Mafarisayo ma Masadukayo.

2. Cha Muhimu na Cha kwanza ni kumpokea Yesu kama Bwana na Mwokozi wako. PERIOD. That is the KEY. Then the Holy Spirit will enter you na ataanza kukufundisha kuhusu UNLIMITED GOD.

3. Hivi utakatifu unaupataje? Hivi unaweza wewe kwa nguvu zako kujifanya kuwa Mtakatifu? Hili ni swali gumu ingawa ni rahisi kama tutafahamu maana ya Utakatifu na asili yake.
Mdahalo usionamshiko.... kama huelewi huelewi tu ndio maana mbinguni wataingia Watakatifu tu... inakuwaje usielewe maaana ya Utakatifu... au niandike kwa English? Saints (St.)
 
Acha utamaduni wako wa kikumbia kila kitu. Mjibu swali lake la uthibitishe uwepo wako. Period. Eti unataka kufahamu margini error na framework. Chagua unayo taka halafu weka jibu.

Kukimbia kila SWALI na kutumia IGNORE LIST hakukusaidii kitu KIJANA MPINGA MUNGU. Free ideas mimi nilifikiri ni wewe peke yako unaye penda kukimbia maswali, kumbe huu ni utamaduni wenu. JIBUNI SWALI.

huyu kiranga hana kitu huwa anabisha bila logic.....kashindwa kuthibitisha uwepo wake tu
 
chagua kuthibitisha uwepo wako

Kwa margin of error gani? Framework gani?

Naweza kukuambia tu "Mimi nipo ambaye nipo" nikamaliza kama hatujakubaliana framework na margin of error.
 
Kwa margin of error gani? Framework gani?

Naweza kukuambia tu "Mimi nipo ambaye nipo" nikamaliza kama hatujakubaliana framework na margin of error.

upo wapi....thibitisha mkuu hata upepo upo...
 
Kwa margin of error gani? Framework gani?

Naweza kukuambia tu "Mimi nipo ambaye nipo" nikamaliza kama hatujakubaliana framework na margin of error.

na kwanini useme unaweza so kunamuda huwa uwezi au....na kwann ufikirie framework or margin of error...je unazani ndi njia pekee hizo za kuthibitisha uwepo wako
 
upo wapi....thibitisha mkuu hata upepo upo...

Ndiyo maana nikakuuliza kwa framework gani na margin of error gani?

Naweza kukuambia kuna falsafa zinazosema kila kitu ni cha kufikirika vike vike, na hakipo, na huna njia ya kuthibitisha kwamba hilo si kweli.
 
Back
Top Bottom