Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,891
Prove god exists.
Bottom line.
What if i can't?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Prove god exists.
Bottom line.
Yaani Mimi cjui ni ushamba wangu au ndo uafrika wangu cpende kabsa kuzungumzia mungu in your altitude.., jamani mungu siyo mnyika,au slaa au nape mnauye tukamchambua kiasi hicho. Kuna vitu hutakiwi kuvifatilia sana kihivyo mana utakufulu.,u don't need to be expert sana Kwa kumdadavua the power of god., wats important 2 m god is ma saviour, my security,.my everything na cwez kufankiwa bila yeye., I love you god., I need you Jesus
First of all, it is not "Let me assume your right".
What you want to write here is "Let me assume you are right".
The first has a totally different meaning from what you want to convey.
If you can't get this simple level of communication correct, how can I have any confidence that you can carry a sophisticated exchange involving the verisimilitude of the philosophy of religion and the nature of the supposed godhead?
What if i can't?
Hahahahaaaa .....
The immanent critique has been thrown away this time .....
Naanza kukubaliana na wale waliosema unajichanganya kwenye maelezo yako
Leo unasema Mungu hayupo
Kesho unasema huna uhakika kama yupo au hayupo ndio maana unauliza
Ni mtu wa aina gani wewe?
Then this existence of a godhead becomes a fable that cannot be proven, at least in the context of one prominent theist.
Badilisha maandishi nitasoma past that mistake.
Why not? Huwezi kusema tu kwa maneno matupu bila ya findings kusaidia notions zako.Huwezi kamwe ku disprove kwamba bia ya Safari inatibu UKIMWI.
Hata ukifanya experiments from now to the end of time.
Ila una weza ku prove kwamba bia ya Safari inatibu UKIMWI.
Kwa.experiments chache zinazoweza kurudiwa with consistent positive duplication.
Then this existence of a godhead becomes a fable that cannot be proven, at least in the context of one prominent theist.
Why not? Huwezi kusema tu kwa maneno matupu bila ya findings kusaidia notions zako.
Maneno matupu huwa hayasaidi kitu just because kubisha kupo basi na wewe unabisha tu.
Lete ushaidi wa bia ya Safari inatibu Ukimwi.
Mimi nasema kamwe huto weza.
SASA jamaa yenu anazungmzia Godhead. Huyu Godhead umemtowa wapi? Maana Mungu hujui kama yupo, sasa umerukia Godhead.
I mean, huku kuchanganyikiwa kutakuisha lini?
PROVE YOUR EXISTENCE
Prove god exists.
Bottom line.
Jamaa anachekesha sana
Akishindwa kujibu anakagua makosa ya uandishi basi anaona diiiili!!
Mtumishi hii iko hivi;
Kama unakana uwepo wa Mungu huhitakiji kujadili uwepo wake kwakuwa hayupo
Kama utatumia uwepo wake kumkana unakuwa unaonesha udhaifu mkubwa sana kwani bila kutumia uwepo wake huna namna ya kukana uwepo wake
Hiyo inakuwa inathibitisha kuwa yupo
Bila kumtumia Mungu huwezi kujenga hoja ya kupinga uwepo wake
Kwakuwa unakana uwepo wake inakuwa na maana kuwa huna cha kukitumia kumpinga!
Muonyeshe hilo kosa lake la kiandishi. Halafu watu hawajali kosa la kiandishi, watu wanaangalia point. NDIO MAANA YEYE HUWA NAMWITA MPENZI WA LIGI.
Watu wana MaPhD yao huko Uchina na wala hawajui na hawataki Kiingereza.
Mtumishi hii iko hivi;
Kama unakana uwepo wa Mungu huhitakiji kujadili uwepo wake kwakuwa hayupo
Kama utatumia uwepo wake kumkana unakuwa unaonesha udhaifu mkubwa sana kwani bila kutumia uwepo wake huna namna ya kukana uwepo wake
Hiyo inakuwa inathibitisha kuwa yupo
Bila kumtumia Mungu huwezi kujenga hoja ya kupinga uwepo wake
Kwakuwa unakana uwepo wake inakuwa na maana kuwa huna cha kukitumia kumpinga!
Mara zote huwa anaanzsiah "opinions zake" NOTE that word.Huyu jamaa ni wa ajabu sana
Ukiona hajaangalia makosa jua ameona pa kujaribu kujibu
Akikosa anatafuta mahali ulipokosea
Akikosa anaipotezea hiyo post
Jamaa ni noma kwa ligi!
Kabisa mukulu
Kama kuna anaeweza aje hapa na hoja zake za kupinga uwepo wa Mungu bila kumtumia Mungu
Mukulu nasikia raha sana kwenye mada kama hizi maana tunapata nafasi ya kuutangaza ukuu wake wa ajabu!
Ya that's Right mkuu kumfurahisha binadamu wenzako hata km ni wakristo wenzako no kazi kubwa., but nafikl mungu alitaka usiwe wa visasi1. Kumpendezesha mwanadamu si rahisi. Kule Middle East sie hatutakiwi, sasa kama naishi kule, na kumfuata Elohim, kivipi nitaweza wapendezesha wale Wapinga Yesu ambaye ni Mungu wangu? Kumbe ndio maana Yesu alifanya mapenzi ya Baba yake na hakuwa pendezesha wale Mafarisayo ma Masadukayo.
2. Cha Muhimu na Cha kwanza ni kumpokea Yesu kama Bwana na Mwokozi wako. PERIOD. That is the KEY. Then the Holy Spirit will enter you na ataanza kukufundisha kuhusu UNLIMITED GOD.
3. Hivi utakatifu unaupataje? Hivi unaweza wewe kwa nguvu zako kujifanya kuwa Mtakatifu? Hili ni swali gumu ingawa ni rahisi kama tutafahamu maana ya Utakatifu na asili yake.
Kabisa mukulu
Kama kuna anaeweza aje hapa na hoja zake za kupinga uwepo wa Mungu bila kumtumia Mungu
Mukulu nasikia raha sana kwenye mada kama hizi maana tunapata nafasi ya kuutangaza ukuu wake wa ajabu!