If God knows the future (omniscient), can you change your destiny?

If God knows the future (omniscient), can you change your destiny?

Yaani Mimi cjui ni ushamba wangu au ndo uafrika wangu cpende kabsa kuzungumzia mungu in your altitude.., jamani mungu siyo mnyika,au slaa au nape mnauye tukamchambua kiasi hicho. Kuna vitu hutakiwi kuvifatilia sana kihivyo mana utakufulu.,u don't need to be expert sana Kwa kumdadavua the power of god., wats important 2 m god is ma saviour, my security,.my everything na cwez kufankiwa bila yeye., I love you god., I need you Jesus

Wewe hupendi kumzungumzia mungu wakati ushamzungumzia hapa, wewe vipi?

Wasiopenda kumzungumzia mungu huwezi kuona wamepost hapa.

Na walioposti hawawezi kusema hawapendi kumzungumzia mungu.

Acha unafiki.

Utakuwa kama yule mtu aliyejificha chini ya nyasi vitani na kusema "heri mimi sijalia", na kwa kusema hivyo, adui akamuona na kumuua.
 
First of all, it is not "Let me assume your right".

What you want to write here is "Let me assume you are right".

The first has a totally different meaning from what you want to convey.

If you can't get this simple level of communication correct, how can I have any confidence that you can carry a sophisticated exchange involving the verisimilitude of the philosophy of religion and the nature of the supposed godhead?

Hahahahaaaa .....

The immanent critique has been thrown away this time .....

Naanza kukubaliana na wale waliosema unajichanganya kwenye maelezo yako

Leo unasema Mungu hayupo
Kesho unasema huna uhakika kama yupo au hayupo ndio maana unauliza

Ni mtu wa aina gani wewe?
 
Badilisha maandishi nitasoma past that mistake.
 
Huwezi kamwe ku disprove kwamba bia ya Safari inatibu UKIMWI.

Hata ukifanya experiments from now to the end of time.

Ila una weza ku prove kwamba bia ya Safari inatibu UKIMWI.

Kwa.experiments chache zinazoweza kurudiwa with consistent positive duplication.
Why not? Huwezi kusema tu kwa maneno matupu bila ya findings kusaidia notions zako.

Maneno matupu huwa hayasaidi kitu just because kubisha kupo basi na wewe unabisha tu.

Lete ushaidi wa bia ya Safari inatibu Ukimwi.

Mimi nasema kamwe huto weza.
 
Then this existence of a godhead becomes a fable that cannot be proven, at least in the context of one prominent theist.

SASA jamaa yenu anazungmzia Godhead. Huyu Godhead umemtowa wapi? Maana Mungu hujui kama yupo, sasa umerukia Godhead.

I mean, huku kuchanganyikiwa kutakuisha lini?

PROVE YOUR EXISTENCE
 
Why not? Huwezi kusema tu kwa maneno matupu bila ya findings kusaidia notions zako.

Maneno matupu huwa hayasaidi kitu just because kubisha kupo basi na wewe unabisha tu.

Lete ushaidi wa bia ya Safari inatibu Ukimwi.

Mimi nasema kamwe huto weza.

Jamaa anachekesha sana

Akishindwa kujibu anakagua makosa ya uandishi basi anaona diiiili!!
 
SASA jamaa yenu anazungmzia Godhead. Huyu Godhead umemtowa wapi? Maana Mungu hujui kama yupo, sasa umerukia Godhead.

I mean, huku kuchanganyikiwa kutakuisha lini?

PROVE YOUR EXISTENCE

Mtumishi hii iko hivi;

Kama unakana uwepo wa Mungu huhitakiji kujadili uwepo wake kwakuwa hayupo

Kama utatumia uwepo wake kumkana unakuwa unaonesha udhaifu mkubwa sana kwani bila kutumia uwepo wake huna namna ya kukana uwepo wake

Hiyo inakuwa inathibitisha kuwa yupo

Bila kumtumia Mungu huwezi kujenga hoja ya kupinga uwepo wake

Kwakuwa unakana uwepo wake inakuwa na maana kuwa huna cha kukitumia kumpinga!
 
Prove god exists.

Bottom line.

Jamaa anachekesha sana

Akishindwa kujibu anakagua makosa ya uandishi basi anaona diiiili!!

Muonyeshe hilo kosa lake la kiandishi. Halafu watu hawajali kosa la kiandishi, watu wanaangalia point. NDIO MAANA YEYE HUWA NAMWITA MPENZI WA LIGI.

Watu wana MaPhD yao huko Uchina na wala hawajui na hawataki Kiingereza.
 
Mtumishi hii iko hivi;

Kama unakana uwepo wa Mungu huhitakiji kujadili uwepo wake kwakuwa hayupo

Kama utatumia uwepo wake kumkana unakuwa unaonesha udhaifu mkubwa sana kwani bila kutumia uwepo wake huna namna ya kukana uwepo wake

Hiyo inakuwa inathibitisha kuwa yupo

Bila kumtumia Mungu huwezi kujenga hoja ya kupinga uwepo wake

Kwakuwa unakana uwepo wake inakuwa na maana kuwa huna cha kukitumia kumpinga!

Swadakta Mukulu Eiyer
 
Last edited by a moderator:
Muonyeshe hilo kosa lake la kiandishi. Halafu watu hawajali kosa la kiandishi, watu wanaangalia point. NDIO MAANA YEYE HUWA NAMWITA MPENZI WA LIGI.

Watu wana MaPhD yao huko Uchina na wala hawajui na hawataki Kiingereza.

Huyu jamaa ni wa ajabu sana

Ukiona hajaangalia makosa jua ameona pa kujaribu kujibu

Akikosa anatafuta mahali ulipokosea

Akikosa anaipotezea hiyo post

Jamaa ni noma kwa ligi!
 
Mtumishi hii iko hivi;

Kama unakana uwepo wa Mungu huhitakiji kujadili uwepo wake kwakuwa hayupo

Kama utatumia uwepo wake kumkana unakuwa unaonesha udhaifu mkubwa sana kwani bila kutumia uwepo wake huna namna ya kukana uwepo wake

Hiyo inakuwa inathibitisha kuwa yupo

Bila kumtumia Mungu huwezi kujenga hoja ya kupinga uwepo wake

Kwakuwa unakana uwepo wake inakuwa na maana kuwa huna cha kukitumia kumpinga!

Hapana.

Leo hii mtu akianza kutangaza kwamba watu wake na waume wanaweza kujamiiana bila kinga, kwa maana ana dawa ya UKIMWI, ilhali kiukweli hana, wenye akili wote watapinga na kuuliza kuhusu hiyo dawa ya UKIMWI ikoje na inafanya kazi vipi.

Vivyo hivyo, mnavyosema kuna mungu mwenye majibu yote na dawa zote, ni wajibu wa wenye akili kuhoji. Hata kama kwa kweli hayupo.

Kutokuwepo kwa dawaa ya UKIMWI si sababu ya wenye akili kutokuhoji habari ya kuwepo kwa dawa ya UKIMWI.

Kutokuwepo kwa mungu si sababu ya wenye akili kutokuhoji habari ya kuwepo kwa mungu.
 
Swadakta Mukulu Eiyer

Kabisa mukulu

Kama kuna anaeweza aje hapa na hoja zake za kupinga uwepo wa Mungu bila kumtumia Mungu
Mukulu nasikia raha sana kwenye mada kama hizi maana tunapata nafasi ya kuutangaza ukuu wake wa ajabu!
 
Huyu jamaa ni wa ajabu sana

Ukiona hajaangalia makosa jua ameona pa kujaribu kujibu

Akikosa anatafuta mahali ulipokosea

Akikosa anaipotezea hiyo post

Jamaa ni noma kwa ligi!
Mara zote huwa anaanzsiah "opinions zake" NOTE that word.

Halafu anatunga swali kutoka hizo fallacious "opinions". KUMBU HAPA NAKWENDA KWA OPINIONS.
Sasa, anataka wewe ujibu bayana zake kwa ushahid thabit.
Huwa nampa dozi ya kumuumbua halafu namrudishia swali athibitishe opinions zake. Jambo ambalo kamwe hotoliweza. Kwasabau opionions zake zote ni mambo ya kufikirika.
 
Kabisa mukulu

Kama kuna anaeweza aje hapa na hoja zake za kupinga uwepo wa Mungu bila kumtumia Mungu
Mukulu nasikia raha sana kwenye mada kama hizi maana tunapata nafasi ya kuutangaza ukuu wake wa ajabu!

Enhee.

Maana unapo mtumia Mungu tu, basi teyari umesha kubali kuwa yupo.
 
1. Kumpendezesha mwanadamu si rahisi. Kule Middle East sie hatutakiwi, sasa kama naishi kule, na kumfuata Elohim, kivipi nitaweza wapendezesha wale Wapinga Yesu ambaye ni Mungu wangu? Kumbe ndio maana Yesu alifanya mapenzi ya Baba yake na hakuwa pendezesha wale Mafarisayo ma Masadukayo.

2. Cha Muhimu na Cha kwanza ni kumpokea Yesu kama Bwana na Mwokozi wako. PERIOD. That is the KEY. Then the Holy Spirit will enter you na ataanza kukufundisha kuhusu UNLIMITED GOD.

3. Hivi utakatifu unaupataje? Hivi unaweza wewe kwa nguvu zako kujifanya kuwa Mtakatifu? Hili ni swali gumu ingawa ni rahisi kama tutafahamu maana ya Utakatifu na asili yake.
Ya that's Right mkuu kumfurahisha binadamu wenzako hata km ni wakristo wenzako no kazi kubwa., but nafikl mungu alitaka usiwe wa visasi
 
Kabisa mukulu

Kama kuna anaeweza aje hapa na hoja zake za kupinga uwepo wa Mungu bila kumtumia Mungu
Mukulu nasikia raha sana kwenye mada kama hizi maana tunapata nafasi ya kuutangaza ukuu wake wa ajabu!

Nimeisambaratisha objection hii hapo juu.

Ukisema "nina dawa ya UKIMWI". Halafu mtu akakuuliza hiyo dawa ya UKIMWI ikoje na inafanya kazi vipi? Mbona maelezo yako ya kuhusu hiyo dawa ya UKIMWI hayana logical consistency? Huwezi kukataa maswali yake kwa kusema "kama.anayeweza kuipinga dawa hii ya UKIMWI bika kuitaja dawa hii ya UIMWI alete pingamizi.lake,.ukiitaja tu hii dawa ya UKIMWI huwezi kuipinga, kwa maana umeukubali".

Naweza kuitaja kwa kuikataa vilevile.
 
Back
Top Bottom