If God knows the future (omniscient), can you change your destiny?

If God knows the future (omniscient), can you change your destiny?

kaka km si unaona umeita wenzako mbwa. kwakuwa wakati unaumbwa wewe kulikuwa na extra special ingridients other than mud and God's breath
 
Last edited by a moderator:
Non sequitur.

Kitoto kidogo kilicho a nuisance kinachopost picha za ajabu bila kujibu hoja unaweza kukiweka kwenye ignore list kwa sababu ni.nuisance na huna muda wa kupoteza nacho.

Hamna kukasirika hapo, ni ku apporrion cycles appropriately tu.

na yeye katukana. Mkuu wa chuo kaka km

mtasema ni yeye alianza?
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo ukishapinga evolution tayari umeshathibitisha kuwepo kwa mungu?

No ,that just nesecassary but not sufficient condition. You will see I started with The First Law of Thermodynamics that shows there is someone who is all-powerful.Then I wrap up with The Second Law of Thermodynamics that discredit evolution assumptions.

What is the truth of modern science regarding the origin of all matter in the universe? Do scientists tell us that it has always existed? Or have they determined that there was a moment in time in which all matter came into existence? The answer to the second question is, yes! But what is the proof that this is true?

The First Law of Thermodynamics is stated as follows: Matter and energy can be neither created nor destroyed. There are no natural processes that can alter either matter or energy in this way. This means that there is no new matter or energy coming into existence and there is no new matter or energy passing out of existence. All who state that the universe came into existence from nothing violate the first law of thermodynamics, which was established by the very scientific community who now seem willing to ignore it. In summary, this law plainly demonstrates that the universe, and all matter and energy within it, must have had a divine origin—a specific moment in which it was created by someone who was all-powerful.
 
First thing first.

How does the First Law of Thermodynamics show that there is "someone", let alone "someone who is all powerful".

The First Law of Thermodynamics talks about energy states, not "someone".

How do you go from energy states to "someone"?
 
Non sequitur.

Kwanza sijaandika.kwamba sowezi kukasirika, nimeandika.sinaona mwenye uwezo wa kunikasirisha hapa.

Get it right. I hope you know the difference.

Kitoto kidogo kilicho a nuisance kinachopost picha za ajabu bila kujibu hoja unaweza kukiweka kwenye ignore list kwa sababu ni.nuisance na huna muda wa kupoteza nacho.

Hamna kukasirika hapo, ni ku apporrion cycles appropriately tu.
Kitoto kidogo!!!?
 
kusema group moja linajiona kuliko lingine.

LOL, nafikiri ni thread hii hii, mtu kaja kashusha paragraph yake, akasema "everyobe receives the holy spirit". Ishmael akamjibu "no only those who receive christ get the holy spirit". nilicheka.

mtu anaweza akaja akasema Ishmael anajiona ye ndo kapendelewa saaana hes more closer to God than everyone else etc

Inshort hamna mtu mwenye Imani yake anayejiona sio bora kuliko wengine. atatumia hata maandiko....

maandiko sio matusi mkuu.
 
Last edited by a moderator:
First thing first.

How does the First Law of Thermodynamics show that there is "someone", let alone "someone who is all powerful".

The First Law of Thermodynamics talks about energy states, not "someone".

How do you go from energy states to "someone"?

Why you keep asking questions while there answers in my post you quoted. I just use that Law to proof my point.
Please read and at least tell me is not relevant instead of asking question which I just answered in very same post.
 
Bottom line.

Ukisema mungu yupo, una wajibu wa kuthibitisha.

Sijaona uthibitisho kwamba mungu yupo bado.
 
Ni kosa kutumia "IF" kwa Mungu asiye na Shaka ndani yake. It is spiritually wrong and morally wrong. Kuto kujua sheria hakukufanyi kuto kuhumiwa kama umefanya kosa.

I did Math ndio maana yule God Hater kaniweka kwenye IGNORE LIST, maana anajuwa kuwa mimi nafahamu kuwa yeye hawezi kudebate na mimi. I see things ambazo wengine wanaweza wasione na wakafikiria amepatia. Ndio maana ananikimbia.

1. Logic is for you and not God.
2. God doesn't need Logic.

Ishmael nilivyokuwa Primary nilimpa mwalimu my examination paper kwa mkono wa kushoto. akagoma kuichukua. kacollect makaratasi mengine kafungia ofisini kaondoka. all that time i thought she just hated me b'se I'm prettier. LOL

point is, duniani watu wana principles za ajabu sana. so nakuelewa. we cant all be the same. It was God's idea though for us to be different. otherwise tungekuwa wote kama bacteria (heck even bacterias are different)

If Gravity exists, why do planes fly? utakasirika/goma kujibu kisa nimeonyesha kudought gravity?

If God defies logic you have nothing to tell me about him.

****by the way....niemkuelewa ulivyosema you see things ambazo wengine wanaweza wasione wakafikiri Kiranga kapatia. Ndo maana nimesema ukianzisha kanisa utapata wengi.
 
Last edited by a moderator:
Why you keep asking questions while there answers in my post you quoted. I just use that Law to proof my point.
Please read and at least tell me is not relevant instead of asking question which I just answered in very same post.

Because you and the person you copy pasted from do not understand The First Law of Thermodynamics. Either that or you are just trying to fit it to your religious dogma.

The First Law of Thermodynamics talks about energy states, not "someone".

Again, the question.is, how did you go from "energy states" to "someone"?

In your own words please. Sijaona hilo lilipojibiwa katika hiyo copy paste yako.

Au una copy paste vitu usivyovielewa?
 
Kama hizi ni imani na mambo binafsi.mbona umekuja kutuhubiria hadharani hapa?

Mbona kaanisani wanapiga kengele na msikitini wanapiga adhana?

Ina maana hawajui kwamba ni imani binafsi? Mbona wanafanya mambo in the public sphere?

jambo lolote hata liwe binafsi huwa watu wanatafta ushawishi na kuungwa mkono.

Mahubiri huwa yanafanyika public kutafta uungwaji mkono kwa watu wenye lengo/imani moja lakini pia kushawishi wengine waungane nao.

Haimaanishi kua ambao hawaungani nanyi/nawe hawana akili. Wao wameamua kuangalia mtazamo mwingine.
 
Jambo likishatafutiwa ushawishi wa kuungwa mkono na wengine si la binafsi.

Maana lishahusisha wengine.

Na la binafsi halina haja ya kuhusisha wengine.

You are contradicting yourself.
 
Back
Top Bottom