hapa ndo tunapoachana.
kuna sehemu hatuelewani.
sijui nikupe mfano gani. the fact that vitu vizito (higher density) huzama na vyepesi huelea juu ni kwasababu Mungu katengeneza hivyo. angeweza kutengeneza ulimwengu ambamo vizito ndo huelea juu!!!!!
LOL. nimekumbuka movie ya the invention of lying. can u imagine dunia ambamo watu hawajui kudanganya?? mtu aliyekuja kugundua, wakati anamwambia mwenzake, akaulizwa "how can u say something that is not?
dada mmoja alipata a date. kaja kuchukuliwa nyumbani. jamaa akawa anamsubiri. alivyotoka kasema "sorry for keeping u waiting, i was masterbating". HAHA sorry if this analogy haikufai mchungaji.
MY POINT: God could have created a world ambamo there is nothing as death!! yani hata ufanyaje. the same day kamwambia Adam angekufa means he had created the possibility. he created the law "wakila tu, death comes".
kwakweli sidhani kama nimeeleweka. nimejaza paragraph tu
Unazunguka tu na kurudi kule kule na ndio maana nilikuambia kuwa natilia mashaka uwezo wako wa kuelewa
Tatizo lako wewe ni kuumbwa ulimwengu ambao mabaya yanawezekana
Nilikuuliza sababu za wewe kutaka ulimwengu au kuhoji ulimwengu ambao mabaya hayawezekani,hukujibu
Hapa unarudia kule kule ambako hukujibu kwa kuhoji jambo lile lile na mfano wako wa vitu vizito unathibitisha hilo
Halafu unarudia tena kuhoji sababu ya kutokuumbwa ulimwengu ambao kifo hakiwezekani bila kusema sababu ya wewe kuhoji hivyo ni ipi
Tatizo lako lingine ni wewe ktokujua sababu ya mabaya kuwepo duniani na aliyefanya yakawepo
Fikiria kuwa umewekewa chupa mbili za maji
1;Ina sumu na umeambiwa hivyo
2;Haina sumu na umeambiwa hivyo
Ukaambiwa kuwa ukinywa yale maji yenye sumu utakufa,halafu akaja mwendawazimu mmoja akakuambia kuwa huwezi kufa wakati huo huo aliyekuambia kuwa utakufa ni yule aliyesababisha wewe uwepo,halafu ukaamua kumsikiliza huyo mwendawazimu na ukanywa,unadhani kosa hapo ni la nani?
Yule amekuwa muungwana na amekupa uwezo wa kuchagua kwakuwa hataki wewe uwe kama robot,lakini akakuambia kuwa utakachokifanya kina madhara kwako,ukaamua kutokumsikiliza na ukaamua kumsikiliza ambae hata hujui katokea wapi,bado kweli utaendelea kumlaumu aliyekupa taarifa ya madhara ya sumu?
Hebu elewa basi kuwa,hapa tatizo ni Adam kutumia uhuru wake vibaya na sio kitu kingine
Halafu pia Mungu hakuumba kifo!