Ishmael
JF-Expert Member
- Oct 18, 2011
- 15,039
- 6,017
Wewe unaye fahamu. Nipe jibu. Sina muda na ngonjera.Pengine hujui hata maana ya pesa/hela...hiyo ni means ya exchange naona swali lako ni irrelevant na mada iliyopo!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unaye fahamu. Nipe jibu. Sina muda na ngonjera.Pengine hujui hata maana ya pesa/hela...hiyo ni means ya exchange naona swali lako ni irrelevant na mada iliyopo!!
Wewe ukiniambia kwanini watu wanakufa na sayansi yako imeshindwa kuwafufua, then you will be talking something to me?kwa hiyo wewe uoga wa kufa ndiyo kinachokufanya uamini kuna mungu?!!
1,2. Hao wanajua wanachokifanya,wana watu influencial,wana hela,wana control mfumo wote wa utawala wa dunia hii kuliko atheists ambao wengi wao ni mashoga.Kumbe kurukaruka kama kanga wa porini ni kawaida yako?
ni suala la muda tu, hizo takataka za mungu, 1.freemasonry, wicca, 2.satanism, na madudu yote ya kiimani hayatakuwa na nafasi popote, mwanga utarejea miongoni mwa wenye akili timamu!
1,2. Hao wanajua wanachokifanya,wana watu influencial,wana hela,wana control mfumo wote wa utawala wa dunia hii kuliko atheists ambao wengi wao ni mashoga.
Wewe ukiniambia kwanini watu wanakufa na sayansi yako imeshindwa kuwafufua, then you will be talking something to me?
did you just say mashoga?!!!...una bahati haujawahi kuwatumikia mapadri na wachungaji ungeshareverse huo usemi wako! btw, hilo ni somo tofauti linahitaji thread yake. Hivi kumbe pesa wanacontrol hao, kuna mtu alikuwa anajinadi humu kwamba those money belongs to you believers (we trust in god), au ni mungu mwingine tena tofauti na wenu, maana nimeambiwa wako wengi!!
death=PERMANENT ending in vital processes in a cell, vipi mungu wako alishawahi kufufua wangapi?!!!!! kuna viumbe wengine hawafi, vipi hao hawajaumbwa na mungu wako?
Why do Atheists use US Dollars while consciously knowing that the monies carries the word IN GOD WE TRUST, which is against their belief?
CC: Free ideas, housegirl,
hicho ni kipande cha karatasi tu kinachowakilisha value ya goods na services, ukienda arabuni utakutana nazo zimeandikwa hata lugha usioifahamu...all you care is the denomination, siku noti ya Zanzibar zikiandikwa "Allah Karim" utaacha kuzitumia? ukitembelea ugiriki hautatumia pesa zao zenye picha ya Zeus?
Hebu angalia vizuri noti ya Tanzania ya shilingi mia tano, umemuona Asclepius? Kuitumia kwako hiyo pesa kunakufanya kuwa muumini wa Asclepius?!!!!:A S-eek:
View attachment 174155
hicho ni kipande cha karatasi tu kinachowakilisha value ya goods na services, ukienda arabuni utakutana nazo zimeandikwa hata lugha usioifahamu...all you care is the denomination, siku noti ya Zanzibar zikiandikwa "Allah Karim" utaacha kuzitumia? ukitembelea ugiriki hautatumia pesa zao zenye picha ya Zeus?
Hebu angalia vizuri noti ya Tanzania ya shilingi mia tano, umemuona Asclepius? Kuitumia kwako hiyo pesa kunakufanya kuwa muumini wa Asclepius?!!!!:A S-eek:
View attachment 174155
Huyu kakazania hoja ya pesa akidhani ina mashiko...nishamwambia hapo juu kwamba pesa ni means ya exchange tu and has nothing to do with someone's belief bado haelewi!!
Wewe ukiniambia kwanini watu wanakufa na sayansi yako imeshindwa kuwafufua, then you will be talking something to me?
Mbona unakimbia hili swali: Why do Atheists use US Dollars while consciously knowing that the monies carries the word IN GOD WE TRUST, which is against their belief?
My God is resurrecting many. That is why I follow Jesus and not your deity "Allah" who can't even help you.
IN GOD WE TRUST
Ndio maana nyie ni Maskini. MNAWEKA MAJOKA KWENYE FEDHA ZENU.
SIE NI: In God We Trust.
![]()
una muda wa kujibu maswali yangu hapo juu, au unademand majibu kutoka kwangu tu alhali wewe haunamajibu ya maswali yangu?!!!
Ndio maana situmii pesa zao, maana unaweza ukawa initiated kwa kutumia hizo fedha zilizo tambikiwa Majini na Mashietwain ya KIARABU.hicho ni kipande cha karatasi tu kinachowakilisha value ya goods na services, ukienda arabuni utakutana nazo zimeandikwa hata lugha usioifahamu...all you care is the denomination,
I WON'T EVEN Touch it.siku noti ya Zanzibar zikiandikwa "Allah Karim" utaacha kuzitumia?
Nope, I won't use such a diabolical currency.ukitembelea ugiriki hautatumia pesa zao zenye picha ya Zeus?
Sijawai itumie hiyo Hela yenu ya Tanzania na wala sihiitaji hela ya madafu yenye uhusiano na Joka. Katika Biblia JOKA NI SHETANI.Hebu angalia vizuri noti ya Tanzania ya shilingi mia tano, umemuona Asclepius?
Yes, you become part of the agreement made in the money, knowingly or unknowingly, Ndio maana Umaskini unakubuhu Tanzania. Jiratibuni na achaneni na UCHAWI mpaka kwenye Fedha zenu.Kuitumia kwako hiyo pesa kunakufanya kuwa muumini wa Asclepius?!!!!:A S-eek:
If God knows everything, then you can't really change your future. It's pre-written.
But there's free will. So, you can choose or not to go to hell?
Also, when a man impregnates a woman is he forcing God to produce a new soul?
Haha...hizi akili za kuiga logic ya watu wengine zitawasumbua sana.KUJUA HAKUMAANISHI UMEPANGA AU ANI LAZIMA UBADILI. Ndio maana huwa napenda sana phillosophy.Ktk maswali yako partly umejijibu ila intention yako haikuwakujua majibu ila kuleta challenges tuu. Uhuru wa kuchagua kilichopo ndio unaomzuia Mungu kukuingilia ktk anachojua kinaweza kuangamiza.Ila kuna namna anaweza kusaidia ukimpa nasafi akusaidie.Hujaweza mpa mtoto Homework halafu ukaona anaelekea kukosa jibu,mwingine anaweza komaa umwachie aendelee na mwingine akaomba msaada.?Mimba tayari ni process iliyowekwa na kuunganishwa na results zake.Ulichouliza kuhusu souls ni kwamba hujajiuliza kwanza km souls zinaumbwa kipindi gani ndipo swali lako liwe valid.Kujichaguliza tuu kuwa Mungu anatengeneza soul wakati wa mimba hiyo ni issue na kutojua unachouliza.Wenzio wanaoamini huwa wanasema ktk maziko KUWA UNARUDI ULIPOTOKAIf God knows everything, then you can't really change your future. It's pre-written. But there's free will. So, you can choose or not to go to hell? Also, when a man impregnates a woman is he forcing God to produce a new soul?
There is no such thing as future to God. Future is human's way of comprehending the coming time bound by our frame of reference. Remember time in itself is not absolute, it is a mere creation like you, me, the sun, the earth and everything else.If God knows everything, then you can't really change your future. It's pre-written.
But there's free will. So, you can choose or not to go to hell?
Also, when a man impregnates a woman is he forcing God to produce a new soul?
A type of God who cares about sinn!,a god who care about what i Free ideas do!.Such a god who created us with his love but planing to burn us!.Hii aina gani ya mungu huyu,""Ninachojua mimi,kama kuna mungu basi sio huyo mnaemtambulisha nyie,mungu wa Waislamu,wakristo,ma-budha,Hindu na kadhalika.""
Kama kuna mungu hakuna anayemjua na hakuna anayeweza kumuelezea! Na hawezi kamwe kuwa na sifa hizi mnazompa kila siku hapa.Huyu mnaekesha kumuelezea humu.
By Kiranga
Kabla ya kuniambia mungu ananipenda, tafadhali thibitisha kwamba yupo.
By Kiranga
Hujaelewa/ unakwepa swali, siulizi mungu wangu, nauliza mungu wako.
By Free ideas
God is a complicated entity which requires a much more certificated explanation ..........
It can't be better than this.
By Kiranga
Sitaki kuamini, nataka kujua.
Sijashindwa kuthibitisha uwepo wangu, wewe ndiye umeshindwa kutaja framework na margin of error.
Uthibitisho wowote ambao hauna defined domain/ framework and margin of error ni ubatili.
By Kiranga
I can barely tolerate it for practical reasons linked to it's current inescapable nature as pointed above. That is, in order to eradicate it, one has to barely accommodate it, and converge towards it's gradual eradication methodically.
Experimentation, peer review and observation in a corrective and critically reflective culture (the opposite of faith) would eventually converge towards less belief and more knowledge.
That is how science advances.
By Kiranga
I am allergic to belief.
I would rather know, thank you very much.
HUYOOOOO kesha anza kuonyesha tatizo katika UONGO WAKE WA ALLERGY
By Kiranga
Inherently I do not have a problem with faith.
....
Here is where some choose to have total faith in an invisible god while others choose to have only a minimal amountn of faith based on.rationality and gradually converge towards knowledge.