If God knows the future (omniscient), can you change your destiny?

If God knows the future (omniscient), can you change your destiny?

kwa hiyo wewe uoga wa kufa ndiyo kinachokufanya uamini kuna mungu?!!
Wewe ukiniambia kwanini watu wanakufa na sayansi yako imeshindwa kuwafufua, then you will be talking something to me?
 
Kumbe kurukaruka kama kanga wa porini ni kawaida yako?
ni suala la muda tu, hizo takataka za mungu, 1.freemasonry, wicca, 2.satanism, na madudu yote ya kiimani hayatakuwa na nafasi popote, mwanga utarejea miongoni mwa wenye akili timamu!
1,2. Hao wanajua wanachokifanya,wana watu influencial,wana hela,wana control mfumo wote wa utawala wa dunia hii kuliko atheists ambao wengi wao ni mashoga.
 
1,2. Hao wanajua wanachokifanya,wana watu influencial,wana hela,wana control mfumo wote wa utawala wa dunia hii kuliko atheists ambao wengi wao ni mashoga.

did you just say mashoga?!!!...una bahati haujawahi kuwatumikia mapadri na wachungaji ungeshareverse huo usemi wako! btw, hilo ni somo tofauti linahitaji thread yake. Hivi kumbe pesa wanacontrol hao, kuna mtu alikuwa anajinadi humu kwamba those money belongs to you believers (we trust in god), au ni mungu mwingine tena tofauti na wenu, maana nimeambiwa wako wengi!!
 
Wewe ukiniambia kwanini watu wanakufa na sayansi yako imeshindwa kuwafufua, then you will be talking something to me?

death=PERMANENT ending in vital processes in a cell, vipi mungu wako alishawahi kufufua wangapi?!!!!! kuna viumbe wengine hawafi, vipi hao hawajaumbwa na mungu wako?
 
Don't you know that most of gays are atheist and all of the non theist are gays?
images

IN GOD WE TRUST
 
death=PERMANENT ending in vital processes in a cell, vipi mungu wako alishawahi kufufua wangapi?!!!!! kuna viumbe wengine hawafi, vipi hao hawajaumbwa na mungu wako?

Mbona unakimbia hili swali:
Why do Atheists use US Dollars while consciously knowing that the monies carries the word IN GOD WE TRUST, which is against their belief?

My God is resurrecting many. That is why I follow Jesus and not your deity "Allah" who can't even help you.

IN GOD WE TRUST
 
Reaching your destiny ts has got so many options, but our Almight Got knows knows the final destination of each and every path, so watever the path you take God knows the destiny of that path though you still have the free will of which one to take. Hii ni kwa mawazo yangu lakini.
 
Why do Atheists use US Dollars while consciously knowing that the monies carries the word IN GOD WE TRUST, which is against their belief?

CC: Free ideas, housegirl,

hicho ni kipande cha karatasi tu kinachowakilisha value ya goods na services, ukienda arabuni utakutana nazo zimeandikwa hata lugha usioifahamu...all you care is the denomination, siku noti ya Zanzibar zikiandikwa "Allah Karim" utaacha kuzitumia? ukitembelea ugiriki hautatumia pesa zao zenye picha ya Zeus?
Hebu angalia vizuri noti ya Tanzania ya shilingi mia tano, umemuona Asclepius? Kuitumia kwako hiyo pesa kunakufanya kuwa muumini wa Asclepius?!!!!:A S-eek:

500.jpg
 
View attachment 174155

Huyu kakazania hoja ya pesa akidhani ina mashiko...nishamwambia hapo juu kwamba pesa ni means ya exchange tu and has nothing to do with someone's belief bado haelewi!!
 
Ndio maana nyie ni Maskini. MNAWEKA MAJOKA KWENYE FEDHA ZENU.

SIE NI: In God We Trust.

dollar-bill.12860305_std.jpg
 
Huyu kakazania hoja ya pesa akidhani ina mashiko...nishamwambia hapo juu kwamba pesa ni means ya exchange tu and has nothing to do with someone's belief bado haelewi!!

Nani asiye taka pesa hapa DUNIANI. ACHA UONGO NA UKAFIR BANA.

Kwanini Mnatumia pesa zilizo andikwa "IN GOD WE TRUST" na nyie mnasema HAMKUBALI kuwa kuna Mungu? WHY USING OUR MONIES.

dollar-bill.12860305_std.jpg
 
Wewe ukiniambia kwanini watu wanakufa na sayansi yako imeshindwa kuwafufua, then you will be talking something to me?

Mbona unakimbia hili swali:
Why do Atheists use US Dollars while consciously knowing that the monies carries the word IN GOD WE TRUST, which is against their belief?

My God is resurrecting many. That is why I follow Jesus and not your deity "Allah" who can't even help you.

IN GOD WE TRUST

Ndio maana nyie ni Maskini. MNAWEKA MAJOKA KWENYE FEDHA ZENU.

SIE NI: In God We Trust.

dollar-bill.12860305_std.jpg

una muda wa kujibu maswali yangu hapo juu, au unademand majibu kutoka kwangu tu alhali wewe haunamajibu ya maswali yangu?!!!
 
una muda wa kujibu maswali yangu hapo juu, au unademand majibu kutoka kwangu tu alhali wewe haunamajibu ya maswali yangu?!!!

Vipi unaanza ku punic mapema hii. Wewe ukienda kwa Mganga wa Kienyeji na akikwambia lete Kuku na wewe ukapeleka Kuku unafikiri nini umefanya? Teyari umesha kubaliana na huyo Mganga na wewe unakuwa part ya Uganga. In the same token, nyie wenye hela yenu yenye CHATU mnapo itumia inakuwa umekubalia na kila kitu ambacho kipo kwenye hiyo hela. Period. SASA.

Jibu swali langu unalo likimbia.

KWANINI MNATUMIA HELA YETU YENYE "In God We Trust" Huku ukifahamu kuwa wewe huamini Mungu?

dollar-bill.12860305_std.jpg
 
hicho ni kipande cha karatasi tu kinachowakilisha value ya goods na services, ukienda arabuni utakutana nazo zimeandikwa hata lugha usioifahamu...all you care is the denomination,
Ndio maana situmii pesa zao, maana unaweza ukawa initiated kwa kutumia hizo fedha zilizo tambikiwa Majini na Mashietwain ya KIARABU.

siku noti ya Zanzibar zikiandikwa "Allah Karim" utaacha kuzitumia?
I WON'T EVEN Touch it.

ukitembelea ugiriki hautatumia pesa zao zenye picha ya Zeus?
Nope, I won't use such a diabolical currency.

Hebu angalia vizuri noti ya Tanzania ya shilingi mia tano, umemuona Asclepius?
Sijawai itumie hiyo Hela yenu ya Tanzania na wala sihiitaji hela ya madafu yenye uhusiano na Joka. Katika Biblia JOKA NI SHETANI.

Kuitumia kwako hiyo pesa kunakufanya kuwa muumini wa Asclepius?!!!!:A S-eek:
Yes, you become part of the agreement made in the money, knowingly or unknowingly, Ndio maana Umaskini unakubuhu Tanzania. Jiratibuni na achaneni na UCHAWI mpaka kwenye Fedha zenu.
 
If God knows everything, then you can't really change your future. It's pre-written.
But there's free will. So, you can choose or not to go to hell?
Also, when a man impregnates a woman is he forcing God to produce a new soul?

When God creates us, He already knows how we were going to use that free will, certainly. Free will does not stop being free b'se God knows what 'll happen. Free will is a divine spark. He doesn't simply design us as robots but creates as thinking being able of doing good or evil.
Ref: John 5:29, 'Those who have done good will rise to live, and those who have done evil will rise to be condemned'. In Short we can change our destiny.
 
If God knows everything, then you can't really change your future. It's pre-written. But there's free will. So, you can choose or not to go to hell? Also, when a man impregnates a woman is he forcing God to produce a new soul?
Haha...hizi akili za kuiga logic ya watu wengine zitawasumbua sana.KUJUA HAKUMAANISHI UMEPANGA AU ANI LAZIMA UBADILI. Ndio maana huwa napenda sana phillosophy.Ktk maswali yako partly umejijibu ila intention yako haikuwakujua majibu ila kuleta challenges tuu. Uhuru wa kuchagua kilichopo ndio unaomzuia Mungu kukuingilia ktk anachojua kinaweza kuangamiza.Ila kuna namna anaweza kusaidia ukimpa nasafi akusaidie.Hujaweza mpa mtoto Homework halafu ukaona anaelekea kukosa jibu,mwingine anaweza komaa umwachie aendelee na mwingine akaomba msaada.?Mimba tayari ni process iliyowekwa na kuunganishwa na results zake.Ulichouliza kuhusu souls ni kwamba hujajiuliza kwanza km souls zinaumbwa kipindi gani ndipo swali lako liwe valid.Kujichaguliza tuu kuwa Mungu anatengeneza soul wakati wa mimba hiyo ni issue na kutojua unachouliza.Wenzio wanaoamini huwa wanasema ktk maziko KUWA UNARUDI ULIPOTOKA
 
If God knows everything, then you can't really change your future. It's pre-written.
But there's free will. So, you can choose or not to go to hell?
Also, when a man impregnates a woman is he forcing God to produce a new soul?
There is no such thing as future to God. Future is human's way of comprehending the coming time bound by our frame of reference. Remember time in itself is not absolute, it is a mere creation like you, me, the sun, the earth and everything else.

Second what makes you think impregnating a woman is outside God's control?
 
Hakuna kipya hapa!,Nitaujibu huu uzi kwa kifupi ka ifuatavyo.
1.Kwanza kuwepo kwa neno"IN GOD WE TRUST",katika noti ya marekani halisababishi mimi(Atheist )nisiitumie.Kwanza lazima ujue Atheism sio DINI,ukishajua hivyo hutauliz aswali kama hilo.

Hapa namaanisha kwamba mfano,mwislam niarufuku kwenda kanisani na kusali ama mkrito kwenda mskitin kusali.Sisi hatuko hivyo .Atheism IS THE COMMON SENSE.

2.Kutumika kwa bandiko lile halituondolei chohote maana sisi sio dini na hatuko kurumbana ama kugombea kitu(afuasi wala maslahi,We are the best thinkers).Na ndio maana 96% ya kila kitu duniani tunaendesha sisi(scientists ).

3.Ukitaka tusitumie dola ya marekani eti kwa sababj ina neno,"IN GOD WE TRUST",Basi mwambie Papa(baba yenu mtakatifu) atoe zile mike zote pale Vatican,na pia atumie majani ya migomba kuhifadhi Documents zake badala ya Laptops ambayo ni kazi ya scientists mnaowapinga.Kisha mwambie akitaka kwenda kwao Argentina ama popote katika safari ya kikazi asitumie ndege bali aende kwa miguu ama ngamia au mwanapunda.

Pia mwambie shekhe mkuu wa pale mecca ama medina,awe anatumia ngamia kwenda misri sio ndege!.
Mbona mnataka kukata tawi mlilokalia? Nyie wazima kweli?

Kuna siku niliwauliza swali kwba mnbie matatizoatatu ambayo dini imeyatatua mapaka sasa hakuna aliyenijibu zaidi ya blah blah!!,
 
A type of God who cares about sinn!,a god who care about what i Free ideas do!.Such a god who created us with his love but planing to burn us!.Hii aina gani ya mungu huyu,""Ninachojua mimi,kama kuna mungu basi sio huyo mnaemtambulisha nyie,mungu wa Waislamu,wakristo,ma-budha,Hindu na kadhalika.""
Kama kuna mungu hakuna anayemjua na hakuna anayeweza kumuelezea! Na hawezi kamwe kuwa na sifa hizi mnazompa kila siku hapa.Huyu mnaekesha kumuelezea humu.
Nontheism Lies, Misconception, Misrepresenting BUSTED AND DEBUNKED

NON THEISTS COMMON ARGUMENT
By Kiranga
Kabla ya kuniambia mungu ananipenda, tafadhali thibitisha kwamba yupo.

HERE IS THE ANSWER FROM THE SAME PERSON
By Kiranga
Hujaelewa/ unakwepa swali, siulizi mungu wangu, nauliza mungu wako.

ANOTHER REPLY FROM A NON THEIST
By Free ideas
God is a complicated entity which requires a much more certificated explanation ..........
It can't be better than this.

ARGUMENT THAT NON THEISTS DON'T APPLY FAITH IN THEIR LIFE
By Kiranga

Sitaki kuamini, nataka kujua.

Sijashindwa kuthibitisha uwepo wangu, wewe ndiye umeshindwa kutaja framework na margin of error.

Uthibitisho wowote ambao hauna defined domain/ framework and margin of error ni ubatili.

HAPA SASA ANAONYESHA KUKUBALI IMANI KWA KUPINGA MADAI YAKE YA AWALI
By Kiranga
I can barely tolerate it for practical reasons linked to it's current inescapable nature as pointed above. That is, in order to eradicate it, one has to barely accommodate it, and converge towards it's gradual eradication methodically.

Experimentation, peer review and observation in a corrective and critically reflective culture (the opposite of faith) would eventually converge towards less belief and more knowledge.

That is how science advances.

HAPA ANASEMA KUWA YUPO ALLERGIC NA BELIEF
By Kiranga
I am allergic to belief.

I would rather know, thank you very much.
HUYOOOOO kesha anza kuonyesha tatizo katika UONGO WAKE WA ALLERGY

HAPA CHINI ANAFANYA FLIP FLOP NA KUKUBALI FAITH
By Kiranga
Inherently I do not have a problem with faith.

....

Here is where some choose to have total faith in an invisible god while others choose to have only a minimal amountn of faith based on.rationality and gradually converge towards knowledge.

NDUGU ZANGUNI,

Mimi sina la zaidi au la kuongeza, leo mmesha muelewa kuwa jamaa ni FLIP FLOP na SI MALI KITU, Ndio maana anatumia IGNORE LIST katika Debate.

Majibu mmesha yapata kuwa huyo Non Theist si Mali kitu
 
Back
Top Bottom