Cecil J
JF-Expert Member
- Oct 12, 2023
- 434
- 1,024
Tuishie hapo kwenye neno "if", Israel anapata msaada wa kifedha na kijeshi kutoka kwa mataifa mbalimbali makubwaa kiuchumi na kijeshi. Uwepo wake pale eneo la Mashariki ya kati si bahati mbaya bali mpango wa hayo mataifa baadhi, waliopanga uwepo wa Israel eneo hilo walipiga hesabu mpaka kwenye hii vita/malumbano/mgogoro kati ya Palestina na Israel.
Unapoamua kusema Israel akishindwa inatakiwa ujiulize je, maslahi ya nchi zilizo nyuma ya Israel yameisha au bado yanaendelea? Kama yanaendelea, basi ujue hizo nchi zipo radhi hata kudaka wa-Afrika wenye ngozi nyeupe (Arabs) kama hao wanaodhaniwa kuwa wa-Israel watapukutishwa na kuwa install hao wa Israel feki ilimradi yatimie matakwa yao.
Planners na Strategists wa eneo la Israel wapo deep sana. Niishie hapa