There has never been something like that. All stories about him or her are made up stories.
God is for us believers, since you are not among of us, you will not let it sink into your head even if we argue a whole day.
GOD IS FOR US BELIEVERS. THERE IS NO GOD IS FOR YOU NON BELIVERS.
You don't have to get annoyed when someone praise or mention our God.
But naweza nikabadili msimamo kama utanithibitishia pasi na shaka Mungu hayupo huku ukifafanunua haya mambo.
1. Kwanini sayari yetu ya Dunia isingekaa ilipo Mecury? Coincedence?
2. Kwanini binadamu ana vidole vitano na sio kimoja? Coincedence?
3. Kwanini ukikata kucha inaota ila kidole hakioti? Coincedence?
4. Kwanini tuna mdomo haukuwekwa mgongoni? Coincedence?
5. Kwanini kuna usiku na mchana? Coincedence?
6. Kwanini kuna masika na kiangazi? Coincendence?
7. Kwanini hatuwezi kumuasha aliyekufa? Coincedence?
8. Kwanini unahisi kiu? Coincedence?
9. Ingekuaje tungeishi na ile mijusi mikubwa? Kwanini baada ya mijusi kuuwawa na binadamu akaanza maisha? Ilitokea tu?
.....
Nakubali kumuweka Mungu pembeni kwenye sayansi ili tusikutane na ukomo wa mawazo. Kwasababu ukisema hii ni kazi ya Mungu maana yake umefunga mjadala huwezi kufikiri zaido ya hapo kitu ambacho kwangu sio sahihi naamini Mungu alitupa hizi akili ili tuweze kutenda na kuhoji.
Anyway kama utanipa majibu pasi na shaka kwanini hivyo vitu vmepangiliwa hivyo bila makosa yoyote ya kimahesabu. Kwamba hayupo aliyeengineer hayo mambo nyuma yake? Vimetokea tu?