If it happens that Israeli is defeated turned into ashes by Iran, what will happen to bible teachings? Will people still believe what is in?

Too long to be read.
 
Hapa ndio mlipochapwa bao na myahudi, mkajaa
 
Kwahiyo baada ya hapo Israel haikushindwa vita na taifa jingine lolote la enzi hizo?
 
Israel walikaa miaka 2000 bila nchi lakini hawakubadili Imani yao wala utamaduni wao, kuna waafrika leo wanaamini mtu asiyevaa hijab hajastarabika, kuna watu kwenye Harusi zao wanavaa visu kama waarabu
 
Hata wachaga na wamasai wako kila mahali acha upimbi ,.dunia ya sasa watu wamezagaa zagaa kila sehem
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…