Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Sasa muwapokee kama walivyo hao wenye high self esteem. Msiwabeze iwe wanaself esteem kutokana na mazingira au hata kama ni inborn.
..hakuna excuse yeyote ya kuvumilia mtu kupigwa au kuwa abused kwa namna yeyote kwenye relationship,sana sana vipigo...thats no no,abusive nyingine kama mind game,cheating hizo zina namna ya kudeal nazo na ni case by case maana hazifanani,ila usipige mwanamke ndugu yangu maana naturally nita react!
Khaa! shemeji yako nae hamnazo utampigaje mwanamke bana....labda sijaelewa alimpigaje maana kuna vipigo vingi........nakumbuka kuna mme wa cousin yetu alikuwa na tabia ya kumdunda cousin wetu,tukampa warning mara kibao bila kusikia,one day cousin wetu katupigia simu kapigwa,tulimfuata huko huko kwake na tulimpa kipigo ambacho hatasahau maishani mwake,tukabeba na cousin wetu...alikuja kumpata mke wake baada ya vikao kama 10 hivi na message akimpiga tuu atapata kibano alichopata mara 100 na jela ataiona,siku hizi kawa baba mzuri sana...dawa ukiona dada yako,cousin etc wanapigwa na wanaume zao dawa ni kuwageuzia kibao na kuwatandika kisawasawa na unahakikisha unavunja mkono au mguu!
Khaa! shemeji yako nae hamnazo utampigaje mwanamke bana....labda sijaelewa alimpigaje maana kuna vipigo vingi.....
Mwanamke ni kiumbe dhaifu hapaswi kupigwa ni wa kubembeleza na kuliwazana.......sipigi mwanamke kwa kipigo cha ngumi na mateke wana vipigo vyao....labda sijaelewa kipigo gani mkuu Koba cousin wako alipigwa
Kuhani nae ni genge la TGNP? watanisameheWewe wewe wewe...ngoja JF Inspector General of Morality aka Kuhani au msaidizi wake aka Mama (The Professor) aione hiyo...utakoma ubishi....
Sikujua kama mimi ni Professor, nani alinitunuku ? Mbona sikujulishwa ? Duh...kwangu hii ni kali ya mwaka 2008!!
Sijui chochote avhia mbali kila kitu, hata namba ya simu ya mezani ya mkuu wangu wa wilaya siijui. Sio sifa nzuri hiyo kwani sitaki sifa za uongo kama kina maji marefu na wazee fulani wa .....Usinipake mafuta kwa mgongo wa chupa.
Oh no..wewe hauko katika league za kina maji marefu...wewe ni profesa wa mafizikia na kemia na mambo kama hayo. Ni sifa nzuri hiyo Mama, haki ya Mungu tena.
Na ningependa kweli kukupaka samli mgongoni..hehehehehee...kwa kutumia chupa....very enjoyable...u should try it one day..lol
Duh hapa mkuu umenimaliza.. samli tena..ama kweli wewe mtaalam..Na ningependa kweli kukupaka samli mgongoni..hehehehehee...kwa kutumia chupa....very enjoyable...u should try it one day..lol
Oh no..wewe hauko katika league za kina maji marefu...wewe ni profesa wa mafizikia na kemia na mambo kama hayo. Ni sifa nzuri hiyo Mama, haki ya Mungu tena.
Na ningependa kweli kukupaka samli mgongoni..hehehehehee...kwa kutumia chupa....very enjoyable...u should try it one day..lol
Okay, apia Miungu yote na majina pia utataja. Kula maganda tu wenyewe wala ndizi na ku-own mgomba wanakusare tu humu.
Haaa! haaa! haaa!Mi ntaishia ku-visualize tu....mmmh...mmmmhhh...wewe Mama wewe
, utasema anavunjiwa haki zake za ubinadamu ingawa kwa makusudi kabisa anachanganya ushoga na uongozi wa kanisa? au HAKI ndio 'maendeleo' haya mnayoyaita Civil partnership, ndoa baina ya watu wa jinsia moja?The ordination of gay Bishop Gene Robinson divided Anglicans
Nimejuiliza na sikupata jibu lake humo. Wewe ulipojiuliza ulipata jibu gani?...ukishajiuliza kwanini watu wanaoana, utapata jibu kwanini watu wanaamua kuoa mke wa pili, wa tatu mpaka wa nne.
Hayo yaweza kuwa matunda ya ndoa. lakini si maana a ndoa.Ndoa maana yake nini? inawezekana ikawa kuanzisha familia, kuimarisha familia, kuendeleza familia, kupata warithi, wasaidizi uzeeni, yawezekana pia ikawa ni kudumisha amani na upendo...
Hapana. Haki za binadamu zinatokana na HADHI yake ya kuumbwa kwa mfano wa Mungu. Hata kama hajui hilo, lakini bado hilo ndilo chimbuko la haki zake. Kwa mantiki hiyo basi, hakuna binadamu mwenye ruhusa ya kutunga sheria zinazomwondolea binadamu mwenziye haki zake.Haki za binadamu ni sheria za kidunia, zilizotungwa na binadamu