Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Sasa muwapokee kama walivyo hao wenye high self esteem. Msiwabeze iwe wanaself esteem kutokana na mazingira au hata kama ni inborn.
Oh yeah ila wakizidi nyodo tunawaweka kwenye mstari, au vipi Mama? Lol
Notice leo sijakutukana....aren't you proud of me?