If our President has more than one wife: The question of human rights

If our President has more than one wife: The question of human rights

Mitala ni makubaliano rasmi ya watu wazima haiwezi hata siku moja kuwa ni udhalilishaji kwa wanawake.

Hili ni jambo la binafsi ikiwa wenyewe wameamua kuwa hivyo tatizo lipo wapi? ndio maana Craig Ewert amesafiri masafa yote kwenda Swiss only kupata "haki" yake ya kujiua.

Umefika wakati tusiwapangie watu maisha yao kwa muanvuli wa haki za binadamu
 
Nina uhakika umu asilimia kubwa wanaopiga kelele kuhusu hili jambo babu zao walikuwa na mke zaidi ya mmoja na usikute mpaka leo wanandugu uko kijijini bado wanaoa wake wengi.


Inawezekana kabisa mkuu, lakini hii haimaanishi kwamba wasipinge yale ambayo wanaona wazazi wao au vizazi vyao vilivyopita vilichemka. This is the same as saying "my dad is always right", which absolutely primitive way of thinking.
 
Mpanda Merikebu...please usiharibu maana ya polygamy/polyginy...Hizi Ndoa..si kuwa na Hawala au Nyumba Ndogo...hao ni MAFUSKA....wasiwashachanganye na wale waliodedicate time, efforts na resources kuwanusuru akina mama na watoto...

Chuma,

Thanks and I stand corrected, at wee hours I wasn't thinking right. However, the basics are the same, having more than one partner at a time.

Shukran mkuu
 
But we are not under Sharia Law. We are a secular state, remember? There are things that are allowed by some religious beliefs (like cutting of the hand of a thief) but are nonetheless forbidden by our national laws.

Mtu yeyote kuamua kuoa au kuolewa ni haki yake binafsi. Hata kama mtu huyo ni Rais. Maana Katiba haimzuii Rais kuwa na wake zaidi ya mmoja. Na ni maisha yake binafsi kabisa, hayalihusu taifa kwa namna yoyote. Mimi nadhani ni kumnyima haki kuingia ndani ya familia ya Rais na kuangalia muundo wake. Maana haiko kwenye mkataba wetu nae, tumuachie yake yabaki kuwa yake.
 
wandugu,

..msitumbukize DINI katika mjadala huu.

..utaratibu wa kuoa mke zaidi ya mmoja upo kwa makabila mengi sana Tanzania. wanaume wanaruhusiwa kuoa wanawake idadi wanayoweza na watakayopenda.

..nendeni vijijini muone Waislamu,Wakristo,na Wapagani, walivyochangamka na kuoa wake wawili,watatu,wanne, saba, na kuendelea.
 
Jokakuu,ahsante kwa maelezo yako.kwanini hii imekuwa tabia sasa ya kila kizaniwacho kibaya kinafanywa na waislamu tu?.je raisi katumia kodi yetu kufanya hayo mnayoyasema?.kama ni hivyo basi ni kosa vinginevyo ni unafiki na uzandiki wa mtoa hoja tu.
 
Ni uchovu wa fikra kujaribu kuangalia kila jambo kwa minajili ya udini. Kijiji ninachotoka mimi almost nusu ya wazee wetu wana wake wawili au zaidi na wote hawa hawana dini yoyote katika hizi dini za kileo-ukristo na uislamu. Tujadili polygamy kama polygamy bila kuigemesha kwenye dini yeyote. Kuna watu wanapenda chokochoko sana, hasa wakiwa hawana hoja.
 
Tuipende-Nchi-Yetu said:
Jokakuu,

ahsante kwa maelezo yako.kwanini hii imekuwa tabia sasa ya kila kizaniwacho kibaya kinafanywa na waislamu tu?.je raisi katumia kodi yetu kufanya hayo mnayoyasema?.kama ni hivyo basi ni kosa vinginevyo ni unafiki na uzandiki wa mtoa hoja
tu.

Tuipende-Nchi-Yetu,

..naomba kusisitiza kwamba suala hili linazungumzika bila kuingiza masuala ya DINI.

..vilevile siamini kwamba kila jambo baya linafanywa na Waislamu, au Wakristo, au Wapagani. zaidi siamini kwamba Waislamu,au Wakristo,au Wapagani, wanafanya mambo mazuri siku zote.

..tuna matatizo ya Waislamu na Wakristo kuwa too sensitive wakati wanapokosolewa. Mkristo/Muislamu anapokosolewa anafikiri anayefanya hivyo ni Muislamu/Mkristo.

..zaidi Mkristo/Muislamu anapokosolewa kwa matendo yake mabaya anasingizia kwamba kilichotolewa kasoro ni Ukristo/Uislamu.

..tufike mahali tutofautishe kati ya DINI/IMANI na WAUMINI. tusisahau kwamba practioners wa imani hizi mbili[actually imani zote] ni wanadamu, siyo malaika wasiokuwa na kasoro.
 
Ni uchovu wa fikra kujaribu kuangalia kila jambo kwa minajili ya udini. Kijiji ninachotoka mimi almost nusu ya wazee wetu wana wake wawili au zaidi na wote hawa hawana dini yoyote katika hizi dini za kileo-ukristo na uislamu. Tujadili polygamy kama polygamy bila kuigemesha kwenye dini yeyote. Kuna watu wanapenda chokochoko sana, hasa wakiwa hawana hoja.

Heheheheheee....na wewe dizaini umefuata au unataka kufuata nyayo zao. Nimekustukia wewe....
 
Shida yetu waAfrika, kila kipangwacho na wazungu ndio inakuwa standard yetu!!!!!

Kusema tumerogwa, hapana!!! nadhani ni uzuzu wa asili!!!! Kurogwa gani kusikoisha????
 
Hivi issue nini, morale au haki za binadamu ? kiwa marale, tangu lini JK ni kigezo chetu, si bhati huyo aliemuowa kamficha, mbona huwataji hivyo vimada vyake vinavyotemwa kila kukicha? Ikiwa issue ni haki za mwanamke, short cut, tukubali pia kuolewa nao sio tuwaowe tu !
 
Hivi issue nini, morale au haki za binadamu ? kiwa marale, tangu lini JK ni kigezo chetu, si bhati huyo aliemuowa kamficha, mbona huwataji hivyo vimada vyake vinavyotemwa kila kukicha? Ikiwa issue ni haki za mwanamke, short cut, tukubali pia kuolewa nao sio tuwaowe tu !
 
Hivi issue nini, morale au haki za binadamu ? kiwa marale, tangu lini JK ni kigezo chetu, si bhati huyo aliemuowa kamficha, mbona huwataji hivyo vimada vyake vinavyotemwa kila kukicha? Ikiwa issue ni haki za mwanamke, short cut, tukubali pia kuolewa nao sio tuwaowe tu !
 
Hivi issue nini, morale au haki za binadamu ? ikiwa morale, tangu lini JK ni kigezo chetu, si bahati huyo aliemuowa kamficha, mbona hatuwataji hivyo vimada vyake vinavyotemwa kila kukicha? Ikiwa issue ni haki za mwanamke, short cut, tukubali pia kuolewa nao sio tuwaowe tu !
 
Kuna mijitu mingine ikikosa kazi ya kufanya kuboresha maisha yao na familia zao basi kutafuta Udini kujaribu kuharibu JF..Nyie nyote wadini na hamna lolote zaidi ya Upofu wa akili na ulimbukeni...
Mada hii haina Kikwete wala sijui haki ya haki ya wanawake isipokuwa ni ulimbukeni ambao siku zote umerudisha mtu mweusi nyuma kwa kufikiria kwamba akifanana kidogo na mzungu ndio maendeleo yenyewe..
Mkapa ambaye alikuwa rais na kaoa mke ambaye alikuwa akitembea naye akiwa bado ndani ya ndoa ya kwanza hazungumzwi.. Mkapa ambaye hakuwahi kusafiri na mkewe zaidi ya wakati inapobidi tena huwezi kuziweka mkononi hazungumzwi., Nyerere ambaye hakuwahi kuonekana na Mama Maria mara zote ktk misafara yake hazungumwi tena huyo mke mmoja tu wameshindwa..
Na nyuma ya misafara yao wamekuwa wakitembea na wake za watu wengine, wasichana na kudhalika...Leo kusafiri na mke imekuwa sheria ya Uongozi!...damn..
Kama kweli mna uchungu na wanawake hivi imekuwaje Polygamy iwe ni uchafu na dhambi kubwa kuliko mme anayetembea nje ya ndoa mkaita ati ni having an Affair, na haina adhabu zaidi ya talaka!
Ikiwa mnaitazama polygamy kwa mtazamo wa sex inakuwaje mnashindwa kutazama watu ambao wanatembea nje ya ndoa!..Yes nimezaliwa ktk ndoa ya pili na namshukuru sana baba na mama yangu kwa maamuzi hayo iwe walifanywa kwa kufuata dini ama mila za kiafrika..
Hata hivyo mjadala huu ni sawa na kuzungumza na vipofu wale waliokumbatia Udini na kuamini chupa badala ya kile kilichomo!...
Mijitu mingine jamani....

Kwa nini wewe watu wakiongelea polygamy unaingiza uzungu na udini? How weak you're? Polygamy wali-practise watu duniani kote, sio africa tu; ila tu katika civilization watu wakaanza kuona heshima ambayo mtu kama human lazima aishi kwa heshima zaidi. Unajua tunachukua yote yafanywayo na waafrica as collective for Africans, hata kama baba yangu alifanya makosa basi is correct; please we must live as human beings; we should not hobbilize sex (making sex as an hobby) from our own sex drives!
 
Naomba kujibu hoja kama ifuatavyo:

Kuna wanaosema “Korani inaruhusu uoaji wa wake wengi, kwa hivyo hatupashwi kukataza”. Udhaifu wa hoja hii utaonekana wazi kama ningeijibu ifuatavyo: “Biblia inakataza kuoa wake wengi kwa hivyo hatupashwi kuruhusu ndoa za wake zaidi ya mmoja”. Hoja zote mbili ni za makosa kwani zimejikita kwenye dini, wakati serikali yetu haina dini.

Mkandara kakasirika kweli kweli. Anasema mbona hatuzungumzii Marais Nyerere na Mkapa ambao walikuwa na mke mmoja mmoja lakini walikuwa hawaonekani nao? Sijui kama ni kweli walikuwa hawaonekani nao. Lakini hilo si sababu ya kutufanya tuache kuzungumzia huyu Rais wa sasa mwenye wake wawili lakini anaonekana na mmoja tu.

Hoja nyingine ni eti maisha ya familia ya Rais ni ya binafsi, na hayahusu taifa. Si kweli. Rais anaongoza, si kwa maneno tu bali na kwa mifano pia. Familia ya Rais ni First Family, ya taifa! When a president is promiscuous, the whole nation is embarrassed! Familia ya (au za) Rais hugharamiwa na taifa.

Kuna hoja toka kwa Nungu kwamba mimi niliandika kumshutumu Rais alipoteua mabalozi sita, wote wakiwa Waislamu. Ni kweli nilifanya hivyo. Niliona angeweza kuanzisha hisia kwamba anateua watumishi kwa upendeleo wa kidini. Nina haki ya kumshutumu kila anapokosea. Sasa naona amekosea sana kuwa Rais mwenye wake wengi. Ni kitu cha aibu, ndio maana hata yeye mwenyewe anaficha. It makes him look primitive.
 
In order to counter polygamy, polyandry be in place and to have fair deal males introduce there brothels to satisfy female flock. No polygamy nor prostitution!
 
Augustine Moshi, I comprehend your good intention in advocating gender equality. That is commendable!

But sadly, I would liken your good intetion to that of a good bird that saw a small fish swimming in a pond and thought "that fish is drowning I have to act swiftly to save it". Out of goodwill the bird jumped from the tree branch and lifted the fish out of the pond to the sand shores of the pond. I think you can finish this tale.

People enter into conjugal relations for obvious and non-obvious motives. When she chooses to be a fifth wife in a polygomous marriage it is not because there are't single men around; afterall most of them leave their boyfriends to opt for the polygamous marriages. It's not because she does not want a husband of her and her alone. The reason is Hapendwi mtu eti!!

In the same vein, if a 20-years old girl, out of her conset, marries a 50-years old man (hope you won't push for their rights too in the next move) it is not because of the shortage of potential equal-age spouses. The reasons are obvious.

What you are advocating may well turn out to be like that incidence in which the government of Namibia moved the Bushmen from the desert into villages and supplied them with essential necessities such as water, health care etc. only not be sued 40 years later that the government interferred with their traditional lives. The message is: Good intention is not necessarily good.
 
Kiukweli tunawaoneya wanawake , kwanini tuwe sisi sikuzote suitors, tuwape haki yao. na kwakufanya hivyo tutakuwa tumefuata west au east, never mind if their rights obtained by any means neccesary!
 
Back
Top Bottom