elbarik
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 576
- 395
I though ilikuwa ni maji. [emoji23] [emoji23]WAlijipaka jivu eti inafukuza risasi, like seriously!! Kujeni hiyo Zombie style!!
Sisitukija na alligators gunships wao wataja na uteo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I though ilikuwa ni maji. [emoji23] [emoji23]WAlijipaka jivu eti inafukuza risasi, like seriously!! Kujeni hiyo Zombie style!!
Hili limstari lako halipo sawa,limekaa kifisadifisadi tu,limepinda kona na sio straight,tunawasubiri kwa court
Hahaha! wataleta mambo ya Hehe rebellion na Majimaji rebellion!! HHHHI though ilikuwa ni maji. [emoji23] [emoji23]
Sisitukija na alligators gunships wao wataja na uteo.
Iko hivi maji chukueni kisiwa tuachieni.... Hata wakitumia ruler kanyoosha mstaari... Ndio wachukue Pemba....
Hadithi za Abunuasi
Hujaona hiyo, lakini siku ikitokea ndio mtajuwa the power of the people. EU hawakutegemwa kuona binadamu anaweza kutembea mbali na kufika Europe kama ilivyo wakati Syria crisis. Tuchokozeni tuu na sisi tunafunga safari, tena tunawaita SADC wote waje pia.Design mlivyobebwa ufala na kinjikitile "bokero" ngwale huh?? Smh[emoji23] [emoji23]
Your late to think like that, wapemba wenyewe watawapa shida sana more than Somalia trust me.Wapi? South? Yes Pemba is in the south, so the line should go to the south, ulitaka nipeleke north, acha bana Mwanzi1
Zanzibar = Unguja + PembaUkifanya survey, border ikipita hivyo karibu na visiwa viwili, border hupinda kuchukua kisima kimoja!!
Mko na Zanzibar, sasa kesi ikifeli Kenya wanachukua Pemba!
Mstari wa wizi huo, wanaota wataichukuwa Pemba. kama fisi anavyo subiri mkono wa binadamu uanguke.Hili limstari lako halipo sawa,limekaa kifisadifisadi tu,limepinda kona na sio straight,tunawasubiri kwa court
Lakini Wabongo sijui mmekuwaje siku hizi!! Tangu mababu nchi hizi mbili Kenya na Tanzania waliishi kama braza, viongozi, Nyerere na Kenyatta, walikuwa marafiki.
Siku hizi wabongo mmezua wivu na chuki kwa Kenya!!! Sio vizuri
Hata Oil pipeline, mkaenda kubribe Uganda iliwatoe kwetu!!
Aaahhh! Mbona hivi??
Mstari wa wizi huo, wanaota wataichukuwa Pemba. kama fisi anavyo subiri mkono wa binadamu uanguke.
we nyang'au hio red line inyoosheYessssssss!!! Pemba is going the Kenya way!! By the way, is this the island that produces a lot of gloves and perfumes? we gonna turn it into an industrial hub!!!!! Hurrraw
View attachment 466570
yeah ni kweli mkuu kuna hio red line huyo Kikuyu amechora ukinyoosha inabaki kipande kidogo sanaMbona hata kwa macho ya kawaida tu ukichora straight line ni kipande kidogo sana kitabakia upande wa kenya?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Design mlivyobebwa ufala na kinjikitile "bokero" ngwale huh?? Smh[emoji23] [emoji23]
yeah ni kweli mkuu kuna hio red line huyo Kikuyu amechora ukinyoosha inabaki kipande kidogo sana
[emoji23]we nyang'au hio red line inyooshe
mbona mna asili ya wizi sanaa
Hahaaa nimecheka sana mkuuMkija Vita na TZ, wala hatutatumia silaha. Kwa hasira zetu watu million 50 wote wazee watoto kila mtu, tunatembea na kusonga mbele mpaka tunachukuwa Kenya yote. Nyinyi pigeni silaha zenu sisi tunakuja tuu Zombi style.