If Somalia wins Kenya should claim Pemba

If Somalia wins Kenya should claim Pemba

Iko hivi maji chukueni kisiwa tuachieni.... Hata wakitumia ruler kanyoosha mstaari... Ndio wachukue Pemba....
Hadithi za Abunuasi
 
Hili limstari lako halipo sawa,limekaa kifisadifisadi tu,limepinda kona na sio straight,tunawasubiri kwa court

Lakini Wabongo sijui mmekuwaje siku hizi!! Tangu mababu nchi hizi mbili Kenya na Tanzania waliishi kama braza, viongozi, Nyerere na Kenyatta, walikuwa marafiki.

Siku hizi wabongo mmezua wivu na chuki kwa Kenya!!! Sio vizuri

Hata Oil pipeline, mkaenda kubribe Uganda iliwatoe kwetu!!

Aaahhh! Mbona hivi??
 
Iko hivi maji chukueni kisiwa tuachieni.... Hata wakitumia ruler kanyoosha mstaari... Ndio wachukue Pemba....
Hadithi za Abunuasi

Ukifanya survey, border ikipita hivyo karibu na visiwa viwili, border hupinda kuchukua kisima kimoja!!
Mko na Zanzibar, sasa kesi ikifeli Kenya wanachukua Pemba!
 
Design mlivyobebwa ufala na kinjikitile "bokero" ngwale huh?? Smh[emoji23] [emoji23]
Hujaona hiyo, lakini siku ikitokea ndio mtajuwa the power of the people. EU hawakutegemwa kuona binadamu anaweza kutembea mbali na kufika Europe kama ilivyo wakati Syria crisis. Tuchokozeni tuu na sisi tunafunga safari, tena tunawaita SADC wote waje pia.
 
Wapi? South? Yes Pemba is in the south, so the line should go to the south, ulitaka nipeleke north, acha bana Mwanzi1
Your late to think like that, wapemba wenyewe watawapa shida sana more than Somalia trust me.
 
Ukifanya survey, border ikipita hivyo karibu na visiwa viwili, border hupinda kuchukua kisima kimoja!!
Mko na Zanzibar, sasa kesi ikifeli Kenya wanachukua Pemba!
Zanzibar = Unguja + Pemba

U can't devide Pemba by 2...

Maana ukinyoosha kwa mstaari utapita kwa juu kidogo... Kwa mahesabu yenu

Never On Earth
 
Hili limstari lako halipo sawa,limekaa kifisadifisadi tu,limepinda kona na sio straight,tunawasubiri kwa court
Mstari wa wizi huo, wanaota wataichukuwa Pemba. kama fisi anavyo subiri mkono wa binadamu uanguke.
 
Lakini Wabongo sijui mmekuwaje siku hizi!! Tangu mababu nchi hizi mbili Kenya na Tanzania waliishi kama braza, viongozi, Nyerere na Kenyatta, walikuwa marafiki.

Siku hizi wabongo mmezua wivu na chuki kwa Kenya!!! Sio vizuri

Hata Oil pipeline, mkaenda kubribe Uganda iliwatoe kwetu!!

Aaahhh! Mbona hivi??

Shida yenu nyie manyang'au mmekaa kimagendo magendo tu ndio maana tunawaona nyie sio,kwani hapa anayetaka kupora ardhi ya mwenzie ni yupi,ulitaka tukae kimiya,we vp wewe,mjitathmini nyie wakenya,mbona waganda tupo nao fine tu?
 
I dont get why we are disputing with failed states like somalia....we should let them win this case....i mean we should act like the mature one here....they need it more than we do these poor terrorists
 
yeah ni kweli mkuu kuna hio red line huyo Kikuyu amechora ukinyoosha inabaki kipande kidogo sana

Hawa ni wehu mkuu,alshabaab wanawachanganya sana wanataka na ss tuwachanganye then mradi wao wa SGR udode waje kutulaumu
 
Mkija Vita na TZ, wala hatutatumia silaha. Kwa hasira zetu watu million 50 wote wazee watoto kila mtu, tunatembea na kusonga mbele mpaka tunachukuwa Kenya yote. Nyinyi pigeni silaha zenu sisi tunakuja tuu Zombi style.
Hahaaa nimecheka sana mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom