If Somalia wins Kenya should claim Pemba

If Somalia wins Kenya should claim Pemba

Okay tu assume Kenya mka win so kupata pemba inahitaji wana pemba waridhie Kwa njia ya kura za maoni. CCM wanafanya hila zote na hamtaichukua
 
Shida yenu nyie manyang'au mmekaa kimagendo magendo tu ndio maana tunawaona nyie sio,kwani hapa anayetaka kupora ardhi ya mwenzie ni yupi,ulitaka tukae kimiya,we vp wewe,mjitathmini nyie wakenya,mbona waganda tupo nao fine tu?
Majina mnayo tumia kutufafanua ndio ya shida, eti tunakaa kimagendo magendo, unaona mlivyo na madharau!!!?
Hata hapa hakukuwa na shida, koti ilisema nchi border yake iende kwa mtindo ilivyo ingia kwenye bahari, na wakipatia Somalia, Basi na sisi pia tunapeleka hivyo upande wa chini!!

Watu wa pembe wamefanya Biashara na Mombasa na Kwale hata sioni wakiwa na shida, hasa kwa minajili ya kuimarisha biashara ya gloves na marashi!!
yeah ni kweli mkuu kuna hio red line huyo Kikuyu amechora ukinyoosha inabaki kipande kidogo sana
 
Kuona hiyo map, Pemba ni ndogo sana, Kidogo tu Kubwa kwa Mombasa Island, hiyo ina maana kwamba ikija kuchukua, hatuwezi gawana, eti tuchukue sehemu iliyo pande ya juu na nyinyi ya chini ilhali tayari mna Zanzibar!!
 
Kuona hiyo map, Pemba ni ndogo sana, Kidogo tu Kubwa kwa Mombasa Island, hiyo ina maana kwamba ikija kuchukua, hatuwezi gawana, eti tuchukue sehemu iliyo pande ya juu na nyinyi ya chini ilhali tayari mna Zanzibar!!
We mbona u aongea usenge?yani unaigawa JMT hivihivi?Kwanza kama hujui Hakuna Znz bila Pemba na Unguja.
By the way tumepata CDF mpya ana hamu na kukomandi
 
I do not think Kenya has an interest in Pemba but rather trying to show how a Somalia win would bring repercussions. The formula should be consistently applied and would lead to redrawing of borders all the way to Mozambique
 
ICJ rejects Kenya’s bid, says it will hear dispute over ocean boundary
Feb. 03, 2017, 1:00 am
By DAVID MWERE @davidmwere
FACEBOOK
  • EMAIL

The UN’s highest court yesterday ruled against Kenya, saying The Hague-based tribunal has the authority to adjudicate a maritime boundary dispute with Somalia.

At stake are vast stretches of the Indian Ocean, rich in oil and gas deposits.

Siding with Somalia, the International Court of Justice rejected Kenya’s argument that existing agreements between the two countries amounted to a commitment to settle their boundary disputes outside the court.

The ruling means a boundary case brought by Somalia against Kenya can continue, a process that may take years.

Kenya, through attorney general Githu Muigai, had filed two objections that the case filed by Somalia in 2014 be dismissed based on grounds that the ICJ has no jurisdiction to hear the matter.

The other objection filed by the Kenyan government banked on the existing Memorandum of Understanding entered between the two countries in 2009 and deposited at the United Nations in 2011 after the matter arose.

However, Judge Ronny Abraham, the court’s president, dismissed the two applications setting the stage for the full hearing that is likely to take years before it is fully determined.


The ruling is a blow to Kenya that had argued because the country is committed to solving the dispute peacefully, the case should not proceed to full trial.

Kenya had also argued that the existing MoU between the two neighbouring countries be the determinant of how the matter proceeds.

The attorney general had argued that the court should only come in if the negotiations based on the MoU fail to bring any solution on the table.

Muigai led delegation of Kenya’s legal team to The Hague-based court to defend the Kenyan case in which the government sought to have Somalia’s application thrown out.

The ruling now means that Kenya will have to file a response to the dispute before the hearing starts.

The other members of Kenya’s legal team included Ambassador Makena Muchiri, High Commissioner to the Netherlands Justa Nkoroi, who is the head of Kenya’s International Boundaries Office; and Njeri Wachira, the head of international law division at the attorney general’s chambers.
 
347228426d37c976bf8da91434f97f59.jpg

Why wakenya mnapenda sana uongo? according to the ICJ website the ruling was only on preliminaries not on the merits, which kenya lost.
upload_2017-2-2_23-2-25.png

Contentious Cases | International Court of Justice

In the preliminaries kenya lost.
The case will be decided on merit next Thursday.
 
Wanapemba mpoooo
Kwanza Wanapemba wengi hukamatwa na polisi wa Tanzania kila wakijaribu kuleta mazao yao Mombasa maana huko wanapata hela nyingi ukilinganisha na wanapowauzia wabahili wa Dar.

Wana undugu sana na Mambasa raha.
 
Hawajui kuwa Zanzibar ni nchi na pia kwa pamoja na Tanganyika wakaunda Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Tan-Zan-ia). Ina maana mipaka ya nchi ya Zanzibar kabla ya kujiunga na Tanganyika iliyotambuliwa kimataifa mpaka United Nations majirani zetu Kenya haitambui?

Je, tukileta masuala ya ''kihistoria pwani ya Kenya inaweza kutambulikana kama ''Pwani si Kenya'' bali ni Zanzibar ya Sultani na hivyo Mombasa inaweza kurudishwa chini ya himaya ya Zanzibar na kujumuishwa ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kubwa!.
 
Hivi mkoloni Tanganyika na mkoloni Kenya yupi afadhali?
 
Hawajui kuwa Zanzibar ni nchi na pia kwa pamoja na Tanganyika wakaunda Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Tan-Zan-ia). Ina maana mipaka ya nchi ya Zanzibar kabla ya kujiunga na Tanganyika iliyotambuliwa kimataifa mpaka United Nations majirani zetu Kenya haitambui?

Je, tukileta masuala ya ''kihistoria pwani ya Kenya inaweza kutambulikana kama ''Pwani si Kenya'' bali ni Zanzibar ya Sultani na hivyo Mombasa inaweza kurudishwa chini ya himaya ya Zanzibar na kujumuishwa ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kubwa!.

Leo hii nenda ukawaulize Wanapemba nini wanachokitaka, kwanza wengi huwa hawapendi kuitwa Wazanzibari bali hupenda kujiita Wanapemba. Ni wachakarikaji balaa maana wana asili ya Kikenya, wamewekeza sana kote kote, yaani Mombasa na Dar.

Mazao yao wanapata faida kubwa sana wakiuza Mombasa, sema wanakamatwa sana na askari wa forodhani. Ni watu wenye bidii, ni kama tu Watu wa Arusha na Kilimanjaro ambao wana asili ya Kikenya na ndio wenye hubeba Tanzania kiuchumi.
 
United Republic of Tz ita-do?
Get this, Tz is like our kid sister; we therefore won't molest u.
You all know well what we can do to you,its only that nyang'au's nature embodied into you that makes you talk like an isolated granny
 
Back
Top Bottom