If Somalia wins Kenya should claim Pemba

Hakuna kitu kama hicho,Pemba itabaki Tanzania bila kujali Somalia inashinda au inashindwa hiyo kesi.
 
In simple we ni mtu huwezi zingatia sheria??? Unataka kufanya vitu kwa kifua tu!! Lakini wewe uko aje?? Usome uerevuke hasa mambo international kama haya!!!
 
Si wakenya wote wabantu kaka. Kuna Nilotes na Cushities pia. Na wabantu waliotoka Tanania ni Eastern Bantus.Lakini that migration pattern ya Bantu is debatable pia si conclusive. Western Bantus walipitia a different pattern hawakuoka Tz.
Yeye kasema watu wa Kilimanjaro na Arusha most of them are bantus ukiondoa the Maasai. Wataita na wakikuyu wa kenya are actually chaggas and wapare walio move up north into Kenya from Tanzania
 
Tell me more. I am curious. Makes a lot of sense why Chaggas are like Kikuyu
 
kitonga+airtel+20170203_114250.jpg
shikamoo tzee
 
Yeye kasema watu wa Kilimanjaro na Arusha most of them are bantus ukiondoa the Maasai. Wataita na wakikuyu wa kenya are actually chaggas and wapare walio move up north into Kenya from Tanzania
Point on [emoji108]
 
mimi Mkenya lakini kipare (chathu) na kipiga chote hata kushinda wale wapare original
 
Hahah mmepatikana na wizi wenu wa mchana kwa Wasomali. Mpaka ya Somalia iliyopita Uhuru 1960 ipo wazi! Na mipaka ya Tanzania pia! Hatujanunua Mombasa sisi toka Sultan wa Oman. Endeleeni kujishaua.. niliweka post humus na ramani zake mkaitoa!
 
Mombasa, Malindi na Lamu ni miji ya Kenya. Kama ni yenu tumeni majeshi mje mchukue Mombasa.
 
Hahah mmepatikana na wizi wenu wa mchana kwa Wasomali. Mpaka ya Somalia iliyopita Uhuru 1960 ipo wazi! Na mipaka ya Tanzania pia! Hatujanunua Mombasa sisi toka Sultan wa Oman. Endeleeni kujishaua.. niliweka post humus na ramani zake mkaitoa!

Geza umeanza kuwa mwehu!!!

Leo hii hapa JF tulikuwa tunajadili Wapemba 6,000 wanaoishi Lungalunga, pwani ya Kenya!!!!

Ina maana kwamba hata watu wapemba wenyewe hawana imani na jumuiya hiyo yenu.

Itakuwa jambo la busara sana kuainisha na kuwaleta nyumbani.

Pemba ni ya Kenya, kwa kweli
 
543021_10151636294595254_291286776_n.jpg

dncoastmrc1402h.jpg

MRC.jpg

mrc-pwani-kenya.jpg
 
Back
Top Bottom