Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha, nikweli mkuuKuna watu wanaota mchana kweupe
We dada mbona unamatusi hivi? Si vyema kuzoea matusi kiasi hiki!!!Mpumbavu pekee atakubariana na upumbavu wako huu[emoji125] [emoji125] [emoji125]
In simple we ni mtu huwezi zingatia sheria??? Unataka kufanya vitu kwa kifua tu!! Lakini wewe uko aje?? Usome uerevuke hasa mambo international kama haya!!!Hakuna kitu kama hicho,Pemba itabaki Tanzania bila kujali Somalia inashinda au inashindwa hiyo kesi.
Na wa mombasa wanavyokorofishwa na wakenya wanaotokea bara,willingly watajibebisha TZ huku ambako wakija hata kwa matembezi awabaguliwi km wakiingia eldoret,kisumu n.kIla wapemba wanavyokorofishwa na Tanganyika nadhani willingly watajibebisha kenta!
Mshamba wa kikenya yule atawajulia wapi wakingaKwahiyo hata wakinga ambao nao ni wachakarikaji nawao unawaita wakenya inamaana kila mtz ambae ni mchakarikaji lazima awe mkenya au
Yeye kasema watu wa Kilimanjaro na Arusha most of them are bantus ukiondoa the Maasai. Wataita na wakikuyu wa kenya are actually chaggas and wapare walio move up north into Kenya from TanzaniaSi wakenya wote wabantu kaka. Kuna Nilotes na Cushities pia. Na wabantu waliotoka Tanania ni Eastern Bantus.Lakini that migration pattern ya Bantu is debatable pia si conclusive. Western Bantus walipitia a different pattern hawakuoka Tz.
Tell me more. I am curious. Makes a lot of sense why Chaggas are like KikuyuYeye kasema watu wa Kilimanjaro na Arusha most of them are bantus ukiondoa the Maasai. Wataita na wakikuyu wa kenya are actually chaggas and wapare walio move up north into Kenya from Tanzania
Point on [emoji108]Yeye kasema watu wa Kilimanjaro na Arusha most of them are bantus ukiondoa the Maasai. Wataita na wakikuyu wa kenya are actually chaggas and wapare walio move up north into Kenya from Tanzania
Yeye kasema watu wa Kilimanjaro na Arusha most of them are bantus ukiondoa the Maasai. Wataita na wakikuyu wa kenya are actually chaggas and wapare walio move up north into Kenya from Tanzania
Hahahaaamimi Mkenya lakini kipare (chathu) na kipiga chote hata kushinda wale wapare original
Mombasa, Malindi na Lamu ni miji ya Kenya. Kama ni yenu tumeni majeshi mje mchukue Mombasa.Hahah mmepatikana na wizi wenu wa mchana kwa Wasomali. Mpaka ya Somalia iliyopita Uhuru 1960 ipo wazi! Na mipaka ya Tanzania pia! Hatujanunua Mombasa sisi toka Sultan wa Oman. Endeleeni kujishaua.. niliweka post humus na ramani zake mkaitoa!
Hahah mmepatikana na wizi wenu wa mchana kwa Wasomali. Mpaka ya Somalia iliyopita Uhuru 1960 ipo wazi! Na mipaka ya Tanzania pia! Hatujanunua Mombasa sisi toka Sultan wa Oman. Endeleeni kujishaua.. niliweka post humus na ramani zake mkaitoa!
Geza umeanza kuwa mwehu!!!
Leo hii hapa JF tulikuwa tunajadili Wapemba 6,000 wanaoishi Lungalunga, pwani ya Kenya!!!!
Ina maana kwamba hata watu wapemba wenyewe hawana imani na jumuiya hiyo yenu.
Itakuwa jambo la busara sana kuainisha na kuwaleta nyumbani.
Pemba ni ya Kenya, kwa kweli
Miaka ya kitambo hii. haimo tena humu!!
Hahahaaa
Mkuu usifanye nikuanzie hapa sasaiv
kweli kabisa mkuu, mimi kipare na piga utadhani mpare wa kweli, kichagga pia hunisengenyi.