cassavaleaves
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 1,799
- 2,237
Maneno haya aliyazungumza aliyekuwa kiongozi wa Hezbollah, Hassan Nasrallah, May 25th, 2013. Yeye hayupo, na kwa maana halisi huo muhimili wa Iran hapo mashariki ya kati ndio umevunjika! Yahya Sinwar alianzisha vita ambayo hakujua kabisa mwisho wake! Hakuna chochote cha maana walichokipata Iran na maswaiba yake!
Hakuna hata kipande cha ardhi hata futi moja walichokipata! Kama walivyokuwa 1948, wamebakia kama walivyo! Sana sana wana mateka 100 wa Israel mikononi mwao! Wakiwa wamepoteza zaidi ya watu 45,000, na Gaza ikiwa magofu!
Utabiri wa Nasralla umetimia!