Hii ni poor analysis
Hamas bado wapo ila they lost sinwar a leader ila other leader wapo.
Syria they lost government ila watu wapo na taifa lipo ardhi yao ipo still watatumika, rejea mwaka 1982 invasion to lebanon halafu creation ya hizbullah na mpaka leo ni hayo hayo nothing new.
Hizbullah wapo they lost a leader ila structure ipo na power ipo ndio maana syria imefall kwa rebels ila lebanon wameshindwa kuadvance ndani ya nchi kwa kuwa kuna hizbullah na ceasefire ni between the two .
Hii ni vicious cycle ya violence hakuna atakayeahinda ni kuendelea kuuana na kufanyiana visa this generation could be weak and lost next generation could be strong and win again diplomacy na peace deals nipe hiki chukua kile ndio italeta long term peace kwenye region
Falls of Assad regime ni sawa na Iraq waliangushwa akina Saddam matokeo yake ni sawa na wamarekani walimsaidia muiran kufikia objective zake na kumpa faida zaidi na kinacholeta shaka ni kupotea kwa 700,000 military army ya syria wapo mtaani tu tegemea insurgency mambo kama yale ya iraq mpaka mmarekani akakimbia hembe tutajionea wenyewe.