cassavaleaves
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 1,799
- 2,237
- Thread starter
- #21
Si tuliambiwa humu Israel kakimbia kichapo Lebanon au?
Utawaweza....! Hata ukiwauliza waelezee dynamics za siasa za Lebanon hawajui! Mapigano yangeendelea nguvu ya Hezbollah Lebanon ilianza kupungua! Hawakuwa na uwezo wa kupigana vita mbili! moja na Israel, na nyingine kuishikilia serikali ya Lebanon!
Wameshinda vita wakati wamepoteza uongozi mzima ! Ni vituko mkuu!