maxime
JF-Expert Member
- Jun 3, 2016
- 2,231
- 1,315
Kwasababu kabla ya kutungwa mimba yako, pengine ulikuwa kwenye mbegu za maboga. ukifa unarudisha ulivyo-consume katika kipindi chote cha maisha yako, Kiwango cha maji, kiwango cha oxygen n.k havijawahi kupungua kutokana na cycle yake, kumbuka na sisi we are made up of oxygen, carbon, calcium, hydrogen, nitrogen and phosphorous (99% ya uzito wetu wote), hivyo lazima turudishe ili kumaintain balance na kupass kwa new inborn.Maneno matupu hayavunji mfupa, leta ushahidi kwamba ukifa you are done.