Elections 2015 If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him!

Masikini msaka tonge
 
Si kweli
 
Mkuu Pascal naheshimu kichwa chako na mkono wako unaoandika. Unaweza kuchukiwa humu kwa itikadi zako but to be real your the best one if not a genius one.
Hili andiko ni kama ulipiga picha ya kitakachotokea 5 yrs to come ..

Sent from my Android using JamiiForums mobile app
 
 
Mkuu @bratinicca, huu ni uchokozi!, please acha uchokozi wa kufukua makaburi, mimi sasa ni kada mzalendo, hivyo please acha kabisa uchokozi wako huu, mbona mimi sikuchokozi tena kumhusu yule Katto wako?, au nilianzishe ili tarehe 28 October watu wachinje?...
P
 
Kato pale Uswahilini BUKOBA ndugu zake woote wamekuwa matahahira sijui yeye aliepukaje hilo, sitanii fika Bukoba Uswahilini uliza kwa Machalila zamani, kuna dada mmoja taahira, na ndugu fulani
 
Kaka, kwani uliandika uwongo? AU kuwa kada kunabadili ukweli?
 
Kato pale Uswahilini BUKOBA ndugu zake woote wamekuwa matahahira sijui yeye aliepukaje hilo, sitanii fika Bukoba Uswahilini uliza kwa Machalila zamani, kuna dada mmoja taahira, na ndugu fulani
Mkuu britanicca , heshima kitu cha bure, tumia lugha za staha, taahira ni upungufu wa akili kutokana na deformities, ni kama ulemavu mwingine wowote.
P
 
jingalao 😍😍😍😍😍
 
Mkuu britanicca , heshima kitu cha bure, tumia lugha za staha, taahira ni upungufu wa akili kutokana na deformities, ni kama ulemavu mwingine wowote.
P
Hizo lugha zao chafu ndio zinafanya wanazidi kudharaulika kaka P
Watabaki na wajinga kama wale wanaojaribu kutengeneza shot kwenye mikutano wa Magufuli nao watashughulikiwa na vyombo stahiki
 
Hii inaitwa point blank, na the jf spirit, where we dare talk openly. Nimeipokea hoja yako, maneno yako japo ni makali, lakini ndio ukweli wenyewe, na mtu unapoambiwa ukweli, hata kama ukweli huo utakuuma vipi, inakubidi, uupokee na uukubali. Hivyo nimepokea na nimekubali.

P.
 
Mkuu Masanja , kwanza asante na karibu pande hizi.
P.
 
Edited version
 
Ndo maana unakosa teuzi. You talk too much.
Wacha tujiambie tu ukweli kmya kimya, haya madaraka, mali na sifa vitapita lakini matendo yetu ndio yatapima uwepo wetu duniani..

Kwa hakika Pascal Mayalla ni mkubwa kuzidi cheo cha DC au hata RC hawa wa sasa, kwa wanaomjua tangu enzi zile wanajua hili. Naye naamini anatamani kuingia kwenye list ya waandishi nguli wa nyakati hizi kama ilivyo kwa akina Stanslaus Katabalo (R.I.P)

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…