Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanabodi,
Dr. John Pombe Joseph Magufuli ndiye mshindi wa urais Tanzania kwa mwaka huu wa 2015-2025 and may be more!, anayesubiri tuu kutangazwa rasmi na kuapishwa. Nimesema 2015 -2025 sio kwa bahati mbaya as if hakuna uchaguzi 2020, no!, nimesema 2015-2025 kwa sababu huu ndio ukweli ninaouona mimi muona mbali ni kuwa kwa nature ya siasa zetu na uwepo wa hii dhana ya udikiteta, kama hautakuwa countered through proper channels kupitia instruments zilizopo, then, mwaka 2020 hakutakuwa na uchaguzi wa rais wala uchaguzi wa vyama vingi!, bali litafanyika igizo tuu la uchaguzi, ambao utakuwa ni uchaguzi wa chama kimoja tuu CCM!. Uchaguzi mwingine wa vyama vingi wa rais na wabunge ni 2025 tena only if kama hatautumia udikiteta wake kubadili katiba kwa mlango wa nyuma, by proxy ili aendelee kama Mkuruzinza, Kagame, Museveni na Mugabe!. (Madikiteta hubadili katiba zao by proxty kwa kutumia watu wengine ndio waseme, wao watasema hawabadili, lakini wananchi wakisema na kuandamana, then they they grant the wishes of the people).
Kuna walioshindana nae ndani ya CCM, hawa ni washindani, kati nyao kuna waliopingana nae, hawa ni wapingani, kuna waliopigana nae vikumbo!, hawa ni wapigani, na kuna waliopingana naye kisiasa, hawa ni wapinzani. Kwa vile sasa mshindi ni Dr. John Pombe Joseph Magufuli, hii inamaanisha, hao wengine wote who were fighting, they tried to fight him but couldn't beat him!, as a result they've lost the battle, hivyo as of now, wote walioshindwa, are all are the losses!. Kwenye unrepresentative democracy, the winner takes it all, and the loser standing small!. Kura ni zile milioni 8 tuu alizoshinda Magufuli!, zile milioni 6 za Lowassa are nothing!. Katika mazingira haya, ukiishashindwa unasimama pembeni, ama uendelee kulia na kuugumia maumivu ya kushindwa, au ukubali kushindwa, na kujipanga upya kwa mpambano unaofuata!.
Kuna huu msemo wa wahenga usemao, "if you can't beat them, join them!". Nawashauri makundi hayo yote walioshindwa, kwanza kukubali kushindwa, kwani asiyekubali kushindwa sio mshindani, hivyo natoa mwito kwa washindwa wote, ku surrender kwa kuweka silaha zao chini na to join him, sio kwa kupenda, but they have to join him because, there is no any other way out, or any options but they have either to join him and survive, or to fall out and perish!.
Hivyo hiyo ndio salama yao wakati wa kusikilizia kama atakuwa dikiteta kweli, the real dictator, or a benevolent one!. Ikitokea Magufuli kiwa the real one, yaani ni dikiteta kweli usipomjoin, umekwisha!, hivyo ikitokea Magufuli akawa dikiteta kweli, then Tanzania tunaelekea kwenye utawala wa totalitarian na authoritarian nakurudi kuwa nchi ya chama kimoja!. Ikitokea Magufuli akawa dikiteta kweli, faraja pekee kwa Watanzania itabaki kwa yule aliyemleta, ndiye atakaye mtwaa ili kulisuru taifa la Mungu.
Hata akiwa a benevolent one, bado upinzani hautafurukuta hata kule kwenye ubunge na udiwani, wapinzani wataokarudi bungeni 2020 ni by personal merits only, as of now, namuona mpinzani mmoja tuu mwenye posibility ya kurejea bungeni 2020, huyu ni ZZK pekee, wapinzani wengine wote kurejea bungeni 2020 ni majaaliwa!.
Wito huu wa kumjoin rais Magufuli, unatolewa regardless ameshindaje na umeshindwaje!, iwe ni kwa ushindi halali, ushindi haramu, bao la mkono, etc, etc, kwenye uchaguzi, the end will always justify the means!, mshindi ni Magufuli, sasa tumpatie tuu kila aina ya ushirikiano wa kutosha kwa kum join him ili aweze kulitawala vizuri taifa letu hili.
Tena hapa mtawashuhudia baadhi ya wale ma-opportunists waliojiengua CCM kumfuata Edward Lowassa upinzani, wakitumaini Lowassa angeshinda lakini kwa vile Lowassa ameshindwa, na CCM ndio imeshinda, they'll see no more opportunities in Chadema, mtawashuhudia wakipiga magoti na kulamba matapishi yao kwa kurejea CCM!, because walijiunga upinzani just in search of opportunities tuu, now they see no more opportunities they expected kwenye opposition, hivyo watajilambia tuu matapishi yao na kujirejeleza zao nyumbani kwao CCM kama alivyofanya mwana mpotevu, na watapokelewa kwa shangwe hadi wengine kufanyiwa karamu!. Edward Lowassa mwenyewe, ili kuepuka aibu ya kurejea CCM, atastaafu rasmi siasa kisha atarejea CCM kimya kimya, ila akiwa na yeye hana aibu wala haoni kinyaa kulamba matapishi yake, na yeye atatangaza kurejea CCM, kisha soon atatangaza kujiuzulu siasa.
Wakati wa mchakato wa kumpata mgombea wa CCM nilipandisha uzi huu, Yajue Makundi 10 Top Ten wa CCM, Ambamo Watatoa Top 5,
Makundi hayo ni ..."The Top Ten who can make the worst dictators
Kundi la 8: The Top Ten who can make the worst dictators
Nikizungumzia kuhusu baadhi ya wagombea urais wa CCM, wakipita wana hatari ya ku make the worst dictators, John Pombe Magufuli was number 2 ya Rais who can make the worst dictator this country has ever had!.
Hoja kuwa Magufuli ni dictator haina mjadala, kwa watu wenye jicho la tatu, wanaona the fire on his eyes, and then fear is the weapon on his heart kwa kutoa hotuba za ukali kama anagomba!, ambayo ni kiashiria cha seriousness ya hasira ambayo inaweza kugeuka chuki na kupelekea visasi toka moyoni mwake, kwa kila atakayetofautiana naye!, na wenye sikio la tatu wanaisikia tone ya ukali wa ukatili kwenye sauti yake!, hii ni ishara kuwa huyu sio mtu wa masihara, watakao tofautiana nae, wanaweza kuumia au hata ...(God forbid), hili likitokea, kutakuwa hakuna jinsi bali kitu kinachoitwa karma, kitaingilia kati na kurekebisha the situation.
Kitu cha muhimu sana cha kufanya kwa sasa ni sisi Watanzania wote, katika umoja wetu, kwa imani kuwa ni Mungu ndio anaweka tawala za mataifa, Tanzania tumefanya uchaguzi mkuu huru na wa haki, Magufuli ndiye ameshinda kihaki na kihalali, then Magufuli ndio chaguo la Mungu kwa Tanzania, akitenda kinyume cha Mungu ni Bwana ndie ameleta na Bwana ndie atatwa, na Jina Lake Lihimidiwe !.
Hivyo natoa wito kwa Watanzania wote wazalendo wa kweli kwa taifa lao na wenye mapenzi ya kweli na taifa hili, kumuombea tuu Magufuli kwa Mungu, tena kumuombea very seriously, maadamu ni Mungu ndiye aliyetupa Magufuli, then angalau Mungu huyu huyu amfanye kuwa ni a benevolent one ili huo udikiteta wake ulisaidie taifa letu kusonga mbele kiuchumi, kimaendeleo na kiustawi wa jamii japo is at a price of dead democracy!, vinginevyo akiwa the real one, tumekwisha!, tutajuta, mbele ya safari kutakuja kuwa na vilio na kusaga meno!, ila mwisho wa siku ni Mungu atatwaa, watu watapita, lakini Tanzania itabaki.
Jakaya Kikwete ukiondoa mambo yake ya uswahili swahili, alikuwa ni mtu wa watu, ni mtu mwenye huruma sana iliyopitiliza kiasi cha kutafsiriwa kuwa Kikwete alikuwa ni Rais dhaifu, hivyo CCM ya Kikwete ilikuwa ni CCM dhaifu! hivyo Kikwete alibezwa, alitukanwa, na kuifanywa CCM, ni CCM ya mchezo mchezo, lakini CCM ya Magufuli itakuwa sio CCM ya mchezo mchezo, au CCM ya huruma huruma, itakuwa hakuna mchezo wala mswalie Mtume, hii ni CCM ya hapa kazi tuu!, CCM imara ni kitu hatari sana kwa majaaliwa ya upinzani!.
Upinzani Tanzania umeweza kushamiri kutokana na CCM lege lege, hivyo Magufuli akijenga CCM imara, huu upinzani lege lege uliopo nchini Tanzania hivi sasa, mwisho wake utakuwa ni 2020, Tanzania tunarudi kule kule kwenye nchi ya chama kimoja!. Ndio maana nimesema 2020 hakuna uchaguzi wa vyama vingi kwa rais na wabunge, kutafanyika tuu igizo la uchaguzi wa vyama vingi, lakini uchaguzi wenyewe haswa ni uchaguzi wa chama kimoja.
Kwenye uzi wangu huu, Miongoni Mwa Mazuri ya Kikwete: "Has Good Sense of Humour!, nilimzungumzia JK kuwa sifa kubwa iliyomfanya CCM impitishe ni cheko na bashasha zake!, hivyo JK tumemchekea, tumemdhihaki, tumembeza, tumemkejeli, hadi kumchezea sharubu kama babu na wajukuu zake huku yeye akicheka tuu na kuyaacha yapite. Lakini kwa Magufuli, sijui kama kutakuwepo kuchekacheka au kuchekeana, kubezana na kuchezeana, na kubembelezana, kwa Magufuli ni mambo serious kwa kwenda mbele na hakuna mchezo mchezo, ni kazi tuu!.
Wajameni japo kwa sasa naongea kama utani au mzaha, lakini hili ni angalizo muhimu sana kwa majaaliwa ya freedom of expression, freedom of speech, na freedom of press ya uhuru huu usio na mipaka tulionao sasa nchini mwetu, tukiwemo sisi humu jf, tulio enjoy wakati wa Kikwete, lakini mbele ya unpredictable dictator kama Magufuli, kiukweli kabisa huko tuendako, kama akiwa ni Magufuli yule yule tuliyemfahamu sisi, na kama hatabadilika, then ni mashaka matupu!, salama yetu hata sisi jf pia ni ili ku survive, inatibidi nasi tumjoin him kwa kumsifu kwa nyimbo na mapambio, vinginevyo....
Thanks God, mimi ni mmoja wa wana jf wachache, waliopata priviledge ya kujua huyu Magufuli aliibukia wapi na ilikuwaje kuwaje hadi yeye akawa ndie akawa mgombea wa CCM na sababu ni zipi zilifanya awe ni yeye. Ukilisoma bandiko hili ukazijua sababu zilizosababisha akawa Magufuli, labda utanielewa nazungumzia nini!.Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli!
Hivyo kwa nature na hulka ya udikiteta wa Magufuli, let's hope, kuwa zile sababu zilizopelekea kuwa mgombea wa urais wa CCM ndizo pekee (the ones and only) zitakazo weza kumcheck and balance him in between being a real dictator and a benevolent dictator vinginevyo hata hao CCM wanaoshangilia ushindi kwa sasa, akitokea kuwa a real one, hata CCM wenyewe nao pia watakuja kujuta!, therefore, to be on a safe side, it's better if you can't beat them, just join them, to be on a safe side!.
Wapinzani wote wakiwemo wana Chadema, wana UKAWA, na Watanzania wenzangu kwa ujumla, najua wengi wenu mlimtaka Lowassa, mmemkosa kwasababu Mungu hakumpangia!, na badala yake Mungu amempangia Magufuli, hivyo natoa wito wa "If you can't get what you want, just take what you get!", ukikosa ulichotaka wewe, then pokea ulichopewa na Mungu!, Magufuli ni chaguo la Mungu kwa Tanzania, tumkubali Magufuli kwa moyo mkunjufu, hivyo hivyo alivyo na udikiteta wake, tumpokee na kumpatia kila aina ya ushirikiano wote unaohitajika kumuwezesha kuiongoza vema nchi yetu Tanzania yetu. Tanzania sio nchi ya Magufuli wala Tanzania sio mali ya CCM, Tanzania ni ya Watanzania wote, ni nchi yetu sote, hivyo it can be done kama kila mmoja wetu will play his part!.
Sio tumjoin Magufuli kwa sababu sasa ndio tunampenda hivyo tumemkubali, no way, tumjoin Magufuli kwa kumkubali ndie the only one rais tuliyepatiwa na Mungu, hivyo we have duty and a responsibility to join him kwa lazima, tutake tusitake, tupende tusipende, yeye ndie rais wetu hivyo we have to join him and support him because we have to!.
Kwa kuweka tuu kumbukumbu sawa, hata mwaka 2010 Chadema waliposhindwa, walisusia matokeo walijidai kunsusa na kujidai hawamtambui JK, lakini hatima yake ilikuja kuwa hivi
Chadema Yakubali Yaishe! Yamtambua Rais!, Yampongeza!
Bandiko hili liliwaudhi sana Chadema humu jf, Mwana JF, Regia Mtema (RIP) akanitaka niombe radhi
Pasco Tuombe radhi CHADEMA-Umemwelewa Vibaya ....
Radhi iliombwa
Nawaomba radhi wana CHADEMA, nilimwelewa vibaya ...
This same, same scenario inataka kujirudia kwa Chadema na Ukawa kujidai kutaka kumsusia Magufuli!. Kuna vitu mtu unaweza kususa na kuna vitu huwezi kususa!,kwa hata 2010 Chadema walisusa lakini tukawashuhudia makamanda wakifakamia chai, juice na vitafunwa vya ikulu, huku meno 32 nje kwa vicheko, hivyo hata awamu hii ya Magufuli, msije kushangaa Mbowe akiwaongoza tena makamanda, akiwemo Lowassa kubisha hodi ikulu sio tuu kwenda kumpongeza rais Magufuli, bali mtashuhudia makamanda maarufu ambao waliaminiwa sana na upinzani, wakiviacha vyama vyao na kujiunga CCM kumfuata Magufuli, japo wote wanatoa visingizio na kudai wanamfuata Magufuli kwa sababu wanampenda na kumkubali sana, hivyo wanajiunga CCM kuunga mkono juhudi zake, lakini amini usiamini sio wote, watajiunga CCM kwa sababu wanamkubali rais Magufuli au wanajiunga CCM ili kuunga mkono juhudi, wengine watamfuata Magufuli huko CCM, kwa sababu, hawana jinsi, they have too!.
Paskali
Ila wasukuma nao kwa kushambuliana? Sijui kama kuna kabila jingine popote pale dunianani linalofanana na watu hawa!
Simaanishi sukuma gang, namaanisha wasukuma kama kabila lote kwa ujumla wao.Una maana sukuma dhidi ya sukuma genge?
Tenganisha wawili hao kwani hata wa jalalani, chiroboto, bashiri, katelefoni na wenzao ni sukuma genge lakini si wasukuma.
Hao hata Mh. Diallo alisema na wasambaratishwe tu!
Mkuu Makanyaga , it's not necessarily, ni Wasukuma tunashambuliana. Mtu akijisabisha na Wasakuma na kujifanya ni Msukuma, ukiona anashambuliwa na Wasukuma, unaweza kudhani ni Wasukuma wanashambuliana, kumbe sio Wasukuma wanashambuliana bali kuna Wasukuma wanawashambulia impostors fulani, wenye tabia za ajabu ajabu ambazo sio za Kisukuma, ila wamepose kama Wasukuma!, na kuwafanya Wasukuma wote kuonekana kama ni watu wa ajabu ajabu!.Ila wasukuma nao kwa kushambuliana? Sijui kama kuna kabila jingine popote pale dunianani linalofanana na watu hawa!
Leo Machi 17 ambayo ni Magufuli Day, nadurusu baadhi ya mabandiko yangu humu kumhusu JPM huku nikitafakari, if I was right or I was wrong.Wanabodi,
Dr. John Pombe Joseph Magufuli ndiye mshindi wa urais Tanzania kwa mwaka huu wa 2015-2025 and may be more!, anayesubiri tuu kutangazwa rasmi na kuapishwa. Nimesema 2015 -2025 sio kwa bahati mbaya as if hakuna uchaguzi 2020, no!, nimesema 2015-2025 kwa sababu huu ndio ukweli ninaouona mimi muona mbali ni kuwa kwa nature ya siasa zetu na uwepo wa hii dhana ya udikiteta, kama hautakuwa countered through proper channels kupitia instruments zilizopo, then, mwaka 2020 hakutakuwa na uchaguzi wa rais wala uchaguzi wa vyama vingi!, bali litafanyika igizo tuu la uchaguzi, ambao utakuwa ni uchaguzi wa chama kimoja tuu CCM!. Uchaguzi mwingine wa vyama vingi wa rais na wabunge ni 2025 tena only if kama hatautumia udikiteta wake kubadili katiba kwa mlango wa nyuma, by proxy ili aendelee kama Mkuruzinza, Kagame, Museveni na Mugabe!. (Madikiteta hubadili katiba zao by proxty kwa kutumia watu wengine ndio waseme, wao watasema hawabadili, lakini wananchi wakisema na kuandamana, then they they grant the wishes of the people).
Hoja kuwa Magufuli ni dictator haina mjadala, kwa watu wenye jicho la tatu, wanaona the fire on his eyes, and then fear is the weapon on his heart kwa kutoa hotuba za ukali kama anagomba!, ambayo ni kiashiria cha seriousness ya hasira ambayo inaweza kugeuka chuki na kupelekea visasi toka moyoni mwake, kwa kila atakayetofautiana naye!, na wenye sikio la tatu wanaisikia tone ya ukali wa ukatili kwenye sauti yake!, hii ni ishara kuwa huyu sio mtu wa masihara, watakao tofautiana nae, wanaweza kuumia au hata ...(God forbid), hili likitokea, kutakuwa hakuna jinsi bali kitu kinachoitwa karma, kitaingilia kati na kurekebisha the situation.
Kitu cha muhimu sana cha kufanya kwa sasa ni sisi Watanzania wote, katika umoja wetu, kwa imani kuwa ni Mungu ndio anaweka tawala za mataifa, Tanzania tumefanya uchaguzi mkuu huru na wa haki, Magufuli ndiye ameshinda kihaki na kihalali, then Magufuli ndio chaguo la Mungu kwa Tanzania, akitenda kinyume cha Mungu ni Bwana ndie ameleta na Bwana ndie atatwa, na Jina Lake Lihimidiwe !.
Hivyo natoa wito kwa Watanzania wote wazalendo wa kweli kwa taifa lao na wenye mapenzi ya kweli na taifa hili, kumuombea tuu Magufuli kwa Mungu, tena kumuombea very seriously, maadamu ni Mungu ndiye aliyetupa Magufuli, then angalau Mungu huyu huyu amfanye kuwa ni a benevolent one ili huo udikiteta wake ulisaidie taifa letu kusonga mbele kiuchumi, kimaendeleo na kiustawi wa jamii japo is at a price of dead democracy!, vinginevyo akiwa the real one, tumekwisha!, tutajuta, mbele ya safari kutakuja kuwa na vilio na kusaga meno!, ila mwisho wa siku ni Mungu atatwaa, watu watapita, lakini Tanzania itabaki.
Wajameni japo kwa sasa naongea kama utani au mzaha, lakini hili ni angalizo muhimu sana kwa majaaliwa ya freedom of expression, freedom of speech, na freedom of press ya uhuru huu usio na mipaka tulionao sasa nchini mwetu, tukiwemo sisi humu jf, tulio enjoy wakati wa Kikwete, lakini mbele ya unpredictable dictator kama Magufuli, kiukweli kabisa huko tuendako, kama akiwa ni Magufuli yule yule tuliyemfahamu sisi, na kama hatabadilika, then ni mashaka matupu!, salama yetu hata sisi jf pia ni ili ku survive, inatibidi nasi tumjoin him kwa kumsifu kwa nyimbo na mapambio, vinginevyo....
Thanks God, mimi ni mmoja wa wana jf wachache, waliopata priviledge ya kujua huyu Magufuli aliibukia wapi na ilikuwaje kuwaje hadi yeye akawa ndie akawa mgombea wa CCM na sababu ni zipi zilifanya awe ni yeye. Ukilisoma bandiko hili ukazijua sababu zilizosababisha akawa Magufuli, labda utanielewa nazungumzia nini!.Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli!
Hivyo kwa nature na hulka ya udikiteta wa Magufuli, let's hope, kuwa zile sababu zilizopelekea kuwa mgombea wa urais wa CCM ndizo pekee (the ones and only) zitakazo weza kumcheck and balance him in between being a real dictator and a benevolent dictator vinginevyo hata hao CCM wanaoshangilia ushindi kwa sasa, akitokea kuwa a real one, hata CCM wenyewe nao pia watakuja kujuta!, therefore, to be on a safe side, it's better if you can't beat them, just join them, to be on a safe side!.
eti lets pray for him!!! for what? MUNGU afanye nini? ili hali majority mmemuhitaji huyo dictator.MUNGU awasaidie kwa lipi. Watu wa israel walichoka uongozi wa manabii wakatata wafalme pamoja na MUNGU kuwaambia ukweli juu ya mambo watakayofanyiwa na mfalme ambaye MUNGU angewapa bado wao wakataka huyo huyo. MUNGU aliwaeleza Sauli atawatesa,atawabaka binti zenu na wake zenu,atawauwa,atawatumikisheni bado wakamtaka huyo. taifa la israel lina historia nzuri sana. wana wa israeli walipokuwa wanatolewa utumwani misri kwenda kaanani kijografia safari yao ingewachukua muda wa wiki moja hadi mbili. lakini kwa kuwa walikuwa vichwa nazi na ujinga wao ukawagharimu miaka 40 safarini. Na sisi ndo hivo hivo. wewe unasema mtu dictator wengi mmemchagua hivi MUNGU afanye nini? do you think huyu hadi anakuwa dictator MUNGU alikuwa likizo? au mlikuwa hamjaanza kumwombea kama mlianza kumwombea na bado akabaki kuwa dictator unafikiri kwa kuwa kapata urais basi sala zenu zitafanya kazi? kuna akili hazichunguziki kweli
Wanabodi,
Nimesema 2015 -2025 sio kwa bahati mbaya as if hakuna uchaguzi 2020, no!, nimesema 2015-2025 kwa sababu huu ndio ukweli ninaouona mimi muona mbali ni kuwa kwa nature ya siasa zetu na uwepo wa hii dhana ya udikiteta, kama hautakuwa countered through proper channels kupitia instruments zilizopo, then, mwaka 2020 hakutakuwa na uchaguzi wa rais wala uchaguzi wa vyama vingi!, bali litafanyika igizo tuu la uchaguzi, ambao utakuwa ni uchaguzi wa chama kimoja tuu CCM!. Uchaguzi mwingine wa vyama vingi wa rais na wabunge ni 2025
Paskali
Mkuu Los técnicos , Kwa vile mimi ni mwana habari, kazi yangu rasmi ni uhabarishaji umma, weledi wa kazi yetu ni kutoa tuu taarifa za kweli, yaani truthfulness, with objectivity, impartiality and balance.Sijawai kuuona weledi wa kazi yako. Huna tofauti na TBC.
Sijawahi kuuona ukweli wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanabodi,
Kitu cha muhimu sana cha kufanya kwa sasa ni sisi Watanzania wote, katika umoja wetu, kwa imani kuwa ni Mungu ndio anaweka tawala za mataifa, Tanzania tumefanya uchaguzi mkuu huru na wa haki, Magufuli ndiye ameshinda kihaki na kihalali, then Magufuli ndio chaguo la Mungu kwa Tanzania, akitenda kinyume cha Mungu ni Bwana ndie ameleta na Bwana ndie atatwa, na Jina Lake Lihimidiwe !.
Hivyo natoa wito kwa Watanzania wote wazalendo wa kweli kwa taifa lao na wenye mapenzi ya kweli na taifa hili, kumuombea tuu Magufuli kwa Mungu, tena kumuombea very seriously, maadamu ni Mungu ndiye aliyetupa Magufuli, then angalau Mungu huyu huyu amfanye kuwa ni a benevolent one ili huo udikiteta wake ulisaidie taifa letu kusonga mbele kiuchumi, kimaendeleo na kiustawi wa jamii japo is at a price of dead democracy!, vinginevyo akiwa the real one, tumekwisha!, tutajuta, mbele ya safari kutakuja kuwa na vilio na kusaga meno!, ila mwisho wa siku ni Mungu atatwaa, watu watapita, lakini Tanzania itabaki.
Paskali
Mkuu Los técnicos , Kwa vile mimi ni mwana habari, kazi yangu rasmi ni uhabarishaji umma, weledi wa kazi yetu ni kutoa tuu taarifa za kweli, yaani truthfulness, with objectivity, impartiality and balance.Sijawai kuuona weledi wa kazi yako. Huna tofauti na TBC.
Sijawahi kuuona ukweli wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Nna wasiwasi sana na huu uzi wa paskal inawezekana umeunganishwa kitaalamuMkuu Los técnicos , Kwa vile mimi ni mwana habari, kazi yangu rasmi ni uhabarishaji umma, weledi wa kazi yetu ni kutoa tuu taarifa za kweli, yaani truthfulness, with objectivity, impartiality and balance.
Ukweli ni hayo ninayo yaripoti humu yanapokuja kutokea ukweli. Mfano mzuri ni hili, limetokea
P
Wanabodi,
Wajameni japo kwa sasa naongea kama utani au mzaha, lakini hili ni angalizo muhimu sana kwa majaaliwa ya freedom of expression, freedom of speech, na freedom of press ya uhuru huu usio na mipaka tulionao sasa nchini mwetu, tukiwemo sisi humu jf, tulio enjoy wakati wa Kikwete, lakini mbele ya unpredictable dictator kama Magufuli, kiukweli kabisa huko tuendako, kama akiwa ni Magufuli yule yule tuliyemfahamu sisi, na kama hatabadilika, then ni mashaka matupu!, salama yetu hata sisi jf pia ni ili ku survive, inatibidi nasi tumjoin him kwa kumsifu kwa nyimbo na mapambio, vinginevyo....
Hivyo therefore, to be on a safe side, it's better if you can't beat them, just join them, to be on a safe side!.
Mungu amempangia Magufuli, hivyo, Magufuli ni chaguo la Mungu kwa Tanzania, tumkubali Magufuli kwa moyo mkunjufu, hivyo hivyo alivyo na udikiteta wake, tumpokee na kumpatia kila aina ya ushirikiano wote unaohitajika kumuwezesha kuiongoza vema nchi yetu Tanzania yetu. Tanzania sio nchi ya Magufuli wala Tanzania sio mali ya CCM, Tanzania ni ya Watanzania wote, ni nchi yetu sote, hivyo it can be done kama kila mmoja wetu will play his part!.
Sio tumjoin Magufuli kwa sababu sasa ndio tunampenda hivyo tumemkubali, no way, tumjoin Magufuli kwa kumkubali ndie the only one rais tuliyepatiwa na Mungu, hivyo we have duty and a responsibility to join him kwa lazima, tutake tusitake, tupende tusipende, yeye ndie rais wetu hivyo we have to join him and support him because we have to!.
Paskali
Mkuu kamili, hivi kweli mtu aliyeandika bandiko hili alishangilia ?.JF IIinyongwa na Magufuli na mlishangilia sana including you. Wewe ulibaki hai kiuandishi kwa sababu ulikuwa side ya opressor.
Wanabodi,
Dr. John Pombe Joseph Magufuli ndiye mshindi wa urais Tanzania kwa mwaka huu wa 2015-2025 and may be more!, anayesubiri tuu kutangazwa rasmi na kuapishwa. Nimesema 2015 -2025 sio kwa bahati mbaya as if hakuna uchaguzi 2020, no!, nimesema 2015-2025 kwa sababu huu ndio ukweli ninaouona mimi muona mbali ni kuwa kwa nature ya siasa zetu na uwepo wa hii dhana ya udikiteta, kama hautakuwa countered through proper channels kupitia instruments zilizopo, then, mwaka 2020 hakutakuwa na uchaguzi wa rais wala uchaguzi wa vyama vingi!, bali litafanyika igizo tuu la uchaguzi, ambao utakuwa ni uchaguzi wa chama kimoja tuu CCM!. Uchaguzi mwingine wa vyama vingi wa rais na wabunge ni 2025 tena only if kama hatautumia udikiteta wake kubadili katiba kwa mlango wa nyuma, by proxy ili aendelee kama Mkuruzinza, Kagame, Museveni na Mugabe!. (Madikiteta hubadili katiba zao by proxty kwa kutumia watu wengine ndio waseme, wao watasema hawabadili, lakini wananchi wakisema na kuandamana, then they they grant the wishes of the people).
Paskali
JF is very interactive social forum, people always, came and go!, kila siku kuna members wapya, hivyo kwa faida yako, angalia tarehe za hoja hizi ujue kama zilipandishwa akiwa hai au amelala!Kitu pekee Mayalla ulicho nacho , wewe ni storyteller , Na unajua ku flow na upepo. Sitegemei kama ungeweza kutamka kuwa JPM is a dictator wakati wa Uhai wake
Wanabodi, !. Ikitokea akiwa the real one, yaani ni dikiteta kweli usipomjoin, umekwisha!, hivyo ikitokea akawa dikiteta kweli, then Tanzania tunaelekea kwenye utawala wa totalitarian na authoritarian nakurudi kuwa nchi ya chama kimoja!. Ikitokea akawa dikiteta kweli, faraja pekee kwa Watanzania itabaki kwa yule aliyemleta, ndiye atakaye mtwaa ili kulisuru taifa la Mungu.
Paskali
Mkuu The imp, kuna kitu umekisema hapa, Pascal Mayala kazeeka haoni mbele tarehe 25 mwezi 9, mwaka 2019 kunihisu mimi, halafu kilikuja kutokea kweli!. Nikisoma hapa ulisema nini kunihusu na nikipima na kilichokuja kutokea, kiukweli, naanza kujiogopa!.Na mbaya zaidi kaanza kuwa "prophet of doom" he always wishes doomsday to come in Tanzania for his devilish foresight about someone the "damned"
Na wote tuseme Amina ,
Duh sikuiona hii comentMagufuli si dictator!! ni mtu duni mno kifikra labda ungesema tutapata mfalme juha ungeeleweka....
Nukuu kauli yangu huyu jamaa atakuwa ni kilaza kupita wote waliomtangulia....
Ulikua mbele ya wakati broLeo Machi 17 ambayo ni Magufuli Day, nadurusu baadhi ya mabandiko yangu humu kumhusu JPM huku nikitafakari, if I was right or I was wrong.
Haya nilioshauri humu, yote yalikuja kutokea!.
Kwa vile kila zama na zama zake, Pumzika kwa Amani Magufuli wetu huko ulipo.
RIP JPM
Paskali
Haukuwepo.Hivi 2020 hakuna uchaguzi tena?