Elections 2015 If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him!

Ila wasukuma nao kwa kushambuliana? Sijui kama kuna kabila jingine popote pale dunianani linalofanana na watu hawa!
 

Mnyonge mnyongeni.

Uliona mbali mkuu kwa staili ile ile ya nabii Lema.
 
Ila wasukuma nao kwa kushambuliana? Sijui kama kuna kabila jingine popote pale dunianani linalofanana na watu hawa!

Una maana sukuma dhidi ya sukuma genge?

Tenganisha wawili hao kwani hata wa jalalani, chiroboto, bashiri, katelefoni na wenzao ni sukuma genge lakini si wasukuma.

Hao hata Mh. Diallo alisema na wasambaratishwe tu!
 
Una maana sukuma dhidi ya sukuma genge?

Tenganisha wawili hao kwani hata wa jalalani, chiroboto, bashiri, katelefoni na wenzao ni sukuma genge lakini si wasukuma.

Hao hata Mh. Diallo alisema na wasambaratishwe tu!
Simaanishi sukuma gang, namaanisha wasukuma kama kabila lote kwa ujumla wao.
By the way, sukuma gang haikuwa ya wasukuma, na wala haikuasisiwa na wasukuma, japo kuna uwezekano kuwa kuna baadhi ya wasukuma ambao nao pia walikuwemo, waliingizwa by the way kwa ajili ya kuhalalisha jina la kikundi.
Unajua tena watu wakishaanza pilika pilika za kumhujumu mtu bila kujua kama wanaihujumu nchi! Yeyote aliyekuwa kwenye kundi hili, alikuwepo kwa nia moja tu ya kumhujumu JPM, na chances ni kwamba JPM mwenyewe alikuwa hajui kama alikuwa anahujumiwa na watu hawa.
 
Ila wasukuma nao kwa kushambuliana? Sijui kama kuna kabila jingine popote pale dunianani linalofanana na watu hawa!
Mkuu Makanyaga , it's not necessarily, ni Wasukuma tunashambuliana. Mtu akijisabisha na Wasakuma na kujifanya ni Msukuma, ukiona anashambuliwa na Wasukuma, unaweza kudhani ni Wasukuma wanashambuliana, kumbe sio Wasukuma wanashambuliana bali kuna Wasukuma wanawashambulia impostors fulani, wenye tabia za ajabu ajabu ambazo sio za Kisukuma, ila wamepose kama Wasukuma!, na kuwafanya Wasukuma wote kuonekana kama ni watu wa ajabu ajabu!.

The only people who can detect Wasukuma original from imposters wanaopose kama Wasukuma, ni Wasukuma wenyewe!. Wasukuma wenyewe halisi original ni watu poa sana, ila wamepakana na makabila mengi, na miongoni mwao ni makabila ya watu wenye tabia za ajabu ajabu!, kutokana na kutokuwepo kwa mipaka ya makabila, mtu yoyote kutoka kabila lolote jirani anaweza kuingia Usukumani, akakaa Usukumani, akaoa dada zetu wa Kisukuma, akazaa watoto Usukumani na watoto hao kuhesabika ni Wasakuma, lakini kiukweli sio Wasukuma!.

Namna pekee ya kumbaini nani ni Msukuma halisi na nani sio Msukuma halisi original, ni kwa Wasukuma wenyewe original kuwabaini Wasukuma fake!.

Mfano mzuri, ni Wasukuma sio wakabila, Ila tuna kabila moja fulani la jirani yetu, wao ni wakabila sana!, sasa akitokea mtu wa kabila hilo la jirani, akaoa dada yetu wa Kisukuma na kulowea Usukumani, akabadili jina na kujiita jina la Kisukuma, watoto watakaozaliwa watakuwa ni Wasukuma na wanaongea lugha ya Kisukuma,, watahesabika ni Wasukuma ila sio Wasukuma original, watu wa aina hii, wakipata pesa, madaraka na mamlaka, wataonyesha tabia zao za asili ambazo ni tabia za ajabu ajabu ukiwemo ule ukabila m-baya!. Sasa it's only sisi Wasukuma original ndio tunaanza kupata mashaka na Msukuma huyo kwasababu tunajijua sisi Wasukuma OG hatunaga ukabila wa kihivyo kama wale jirani zetu Nshomile, na ndio akina sisi kizazi cha kuhoji Kauli ya Kakobe "Magufuli atubu", yaibua mambo! Je asili halisi ya Rais Magufuli ni Msukuma, Mhaya au Muha wa Kakonko? na baada ya data kushuka, tukafungua darasa kuwaelimisha wengine kuwa Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!

Tanzania tuna makabila zaidi ya 120, na kuna makabila ni dominant tribes na minor tribes. Ndani kila dominant tribes kuna vikabila vidogo vidogo insignificant ambao hupenda kuji attach na dominant na kujifanya ndilo kabila lao, the biggest and most dominant tribe in Tanzania ni Wasukuma, wako kwenye mikoa 5, na hakuna kabila jingine lolote Tanzania lililo kwenye mkoa mmoja, hivyo vile vikabila vidogo vidogo hupenda kujimasibu na kabila kubwa!.

Mikoa ya mipakani the situation is worse!. Mipaka yetu ni very porous, kuna majirani zetu kibao wamejipenyeza na kupose kama Watanzania!, wako serikalini, majeshini, Bungeni hadI... ( naomba nisimalizie!), hivyo ili kuepuka hatari ya kutawaliwa na wageni, nilishauri Ili kuepuka possibility ya kutawaliwa na wageni, kuna haja kutumia DNA kuthibitisha asili halisi za viongozi wetu wakuu?

P
 
Leo Machi 17 ambayo ni Magufuli Day, nadurusu baadhi ya mabandiko yangu humu kumhusu JPM huku nikitafakari, if I was right or I was wrong.
Haya nilioshauri humu, yote yalikuja kutokea!.
Kwa vile kila zama na zama zake, Pumzika kwa Amani Magufuli wetu huko ulipo.
RIP JPM
Paskali
 
Huzijui siasa za nchi yako wala tume yako ya uchaguzi
 
Sijawai kuuona weledi wa kazi yako. Huna tofauti na TBC.
Sijawahi kuuona ukweli wako

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Los técnicos , Kwa vile mimi ni mwana habari, kazi yangu rasmi ni uhabarishaji umma, weledi wa kazi yetu ni kutoa tuu taarifa za kweli, yaani truthfulness, with objectivity, impartiality and balance.

Ukweli ni hayo ninayo yaripoti humu yanapokuja kutokea ukweli. Mfano mzuri ni hili la uchaguzi wa 2020, limetokea.

P
 
Sijawai kuuona weledi wa kazi yako. Huna tofauti na TBC.
Sijawahi kuuona ukweli wako

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Los técnicos , Kwa vile mimi ni mwana habari, kazi yangu rasmi ni uhabarishaji umma, weledi wa kazi yetu ni kutoa tuu taarifa za kweli, yaani truthfulness, with objectivity, impartiality and balance.

Ukweli ni hayo ninayo yaripoti humu yanapokuja kutokea ukweli. Mfano mzuri ni hili, limetokea

P
 
Nna wasiwasi sana na huu uzi wa paskal inawezekana umeunganishwa kitaalamu
Naomba niulize swali nani aliuona huu uzi? Huu utabiri sio wa kawaida uzi umeeditiwa.
 
Huu uzi wa pascal nani aliuona wakati huo? Atoe ushahidi !! Uzi huu imetengenezwa maalum kwa sababu maalum. Naweza kuthibitisha.
 
Mods mnacheza na akili zetu nyie moderators na paskal kumbukeni humu kuna wenye akili kuwazidi ila huu uzi umeeditiwa hivi karibuni na paskal. Naweza kuthibitisha!!!
 
JF IIinyongwa na Magufuli na mlishangilia sana including you. Wewe ulibaki hai kiuandishi kwa sababu ulikuwa side ya opressor.
Mkuu kamili, hivi kweli mtu aliyeandika bandiko hili alishangilia ?.

P
 
Kitu pekee Mayalla ulicho nacho , wewe ni storyteller , Na unajua ku flow na upepo. Sitegemei kama ungeweza kutamka kuwa JPM is a dictator wakati wa Uhai wake
JF is very interactive social forum, people always, came and go!, kila siku kuna members wapya, hivyo kwa faida yako, angalia tarehe za hoja hizi ujue kama zilipandishwa akiwa hai au amelala!
P
 
Na mbaya zaidi kaanza kuwa "prophet of doom" he always wishes doomsday to come in Tanzania for his devilish foresight about someone the "damned"

Na wote tuseme Amina ,
Mkuu The imp, kuna kitu umekisema hapa, Pascal Mayala kazeeka haoni mbele tarehe 25 mwezi 9, mwaka 2019 kunihisu mimi, halafu kilikuja kutokea kweli!. Nikisoma hapa ulisema nini kunihusu na nikipima na kilichokuja kutokea, kiukweli, naanza kujiogopa!.
Nakupitisha kwenye baadhi ya mabandiko yangu uangalie tarehe ya mabandiko hayo, nilisema nini lini na nini kimekuja kutokea kuhusu hicho nilicho kisema!.

The most powerful thing in this world is the power of will!.
Japo kuna msemo kuwa kauli huumba, kumbe kiukweli, kinachoumba sio kauli, bali the will ikiyoko ndani ya hiyo kauli.
If the will is strong enough, you can wish anything and it will happen or materialize!

P
 
Wanabodi,

Leo siku ya Machi 17 ndio siku Taifa tulipotangaziwa kifo cha Shujaa wetu JPM, hivyo katika kumkumbuka, na kumuenzi, mnaonaje tukijikumbusha baadhi ya mabandiko ambayo tulimshauri JPM na ushauri huo ukafanyiwa kazi, kwa kutaja Bandiko, ulishauri nini, na nini kilikuja kufanyika kwa ushauri huo, na jee kulisaidia JPM? Kulisaidia nini?

Kwa vile JPM alikuwa ni mbabe kwa kufanya baadhi ya mambo kibabe, hadi kutafsiriwa ni dikiteta, hivyo baadhi ya ushauri kwa JPM pia ulitolewa kibabe kwa kumpiga Spana za kutosha, ila tukubali tukatae, Spana za JF zilimsaidia sana JPM na kulisaidia taifa.

Kumuenzi JPM, naomba tujikumbushe baadhi ya mabandiko, tuliwahi kushauri nini kwa kuandika nini na kutoa ushauri wa nini kifanyike, na kufuatia ushauri huo, nini kilifanyika na jee kilimsaidia JPM?kilimsaidia kivipi?. Jee kililisaidia taifa?, kililisaidia kivipi?

Hili ni moja ya mabadiliko hayo ambalo limemsaidia sana na kulisaidia taifa.

Na mwisho kwa vile sasa Samia ndie Rais wetu, JF tunapaswa kuendelea kutimiza wajibu wetu kwa kumsaidia Samia, kwa vile JPM alikuwa ni rais mbabe vivyo hivyo ushauri ulitolewa kibabe, lakini Samia no Mtaratibu, mstaarabu, jee licha ya utaribu na ustaarabu, Mama Nate tumpige Spana kama za JPM? au twende naye taratibu kama alivyo, kwa Mama iwe ni kumkuna tuu, na tusimpare kama alivyo shauri mwenyewe, kuwa ukinikuna vizuri nitakukuna ila ukinipara, nitakuparua?

Mabandiko mengi ya kuwakumbuka marehemu huishia kwa RIP kumuomba Mungu aiweke roho ya marehemu mahala pema peponi kwavile wanakuwa hawajui marehemu yuko wapi,, lakini mimi kwa vile tayari nimeisha kulishwa JPM yuko wapi Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani bado kuna haja ya kuendelea kumuomba Mungu aiweke roho ya marehemu mahala pema peponi huku tayari najua yuko peponi?.

Pumzika Magufuli Pumzika! Tutakukumbuka Daima!

Paskali!
 
Ulikua mbele ya wakati bro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…