Elections 2015 If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him!

Nimerudia kumsoma Paskali, nilisoma nyakati zile nikamuelewa lakini niwe mkweli nimemwelewa kwa ukamilifu sasa.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Mayala nimemwelewa sana, kipinfii kile nilimwelewa kidogo, kwa sasa nimemwelewa sana. Inawezekana jamaa angefanya ya kuongeza muda na kuwa wa kudumu
 
Watu tofauti wana nguvu tofauti tofauti, the most powerful thing is powers of will, "the willpower". Hii will power ikiwa directed mahali ina ji manifest na kugeuka manifestation, hivyo without knowing how powerful one is, hawa people with power kwa kujua au kutokujua kuwa they possess those powers, hivyo statement hii
the likely next president for the next 10 years is hard to bear and unforgivably cringeworthy
Unaweza kukuta imechangia kwenye kuji manifest na kufanya manifestation miaka 10 isifike!, hivyo kuchangia kutupotezea shujaa wetu kwa kujua au bila kujua kwa accumulation ya karma, mwisho wa siku karma took it's toll.
RIP JPM
P
 
Nimerudia kumsoma Paskali, nilisoma nyakati zile nikamuelewa lakini niwe mkweli nimemwelewa kwa ukamilifu sasa.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Kuna vitu watu humu huwa tunavisema kama utani tuu mfano hiki, Voices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Ackson ndiye Spika ajaye! Sauti hiyo imenieleza Ndugai, japo atatamani aendelee lakini...

Hata ile 2014 niliposema hivi Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli sii wengi walielewa ni mpaka ilipotokea!.

Kubwa kuliko ni 2025, Mama alipohojiwa na Kikeke wa BBC kuhusu kugombea urais 2025 aliwajibu vizuri sana. Na aliposema 2025 tutamchagua Mwanamke, kwanza nimejamasisha tumuunge mkono Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye! na ilipokuja hii sauti Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke
Naomba tusubirie 2025 ndipo mtanielewa!.
P
 
Hili bandiko lako umekuwa ukiliedit mara kwa mara ili ionekane ulikuwa na maono.
Jf is not static it's dynamic,
Kuna vitu watu humu huwa tunavisema kama utani tuu mfano hiki, Voices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Ackson ndiye Spika ajaye! Sauti hiyo imenieleza Ndugai, japo atatamani aendelee lakini...

Hata ile 2014 niliposema hivi Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli sii wengi walielewa ni mpaka ilipotokea!.

Kubwa kuliko ni 2025, Mama alipohojiwa na Kikeke wa BBC kuhusu kugombea urais 2025 aliwajibu vizuri sana. Na aliposema 2025 tutamchagua Mwanamke, kwanza nimejamasisha tumuunge mkono Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye! na ilipokuja hii sauti Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke
Naomba tusubirie 2025 ndipo mtanielewa!.
P
 
Nna wasiwasi sana na huu uzi wa paskal inawezekana umeunganishwa kitaalamu
Naomba niulize swali nani aliuona huu uzi? Huu utabiri sio wa kawaida uzi umeeditiwa.
Huu uzi wa pascal nani aliuona wakati huo? Atoe ushahidi !! Uzi huu imetengenezwa maalum kwa sababu maalum. Naweza kuthibitisha.
Jf is not a static forum, it's dynamic with updates every now and then,
Kuna vitu watu humu huwa tunavisema kama utani tuu mfano hiki, Voices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Ackson ndiye Spika ajaye! Sauti hiyo imenieleza Ndugai, japo atatamani aendelee lakini...

Hata ile 2014 niliposema hivi Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli sii wengi walielewa ni mpaka ilipotokea!.

Kubwa kuliko ni 2025, Mama alipohojiwa na Kikeke wa BBC kuhusu kugombea urais 2025 aliwajibu vizuri sana. Na aliposema 2025 tutamchagua Mwanamke, kwanza nimejamasisha tumuunge mkono Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye! na ilipokuja hii sauti Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke
Naomba tusubirie 2025 ndipo mtanielewa!.

2025 nitakukumbusha.
P

P
 
Ni sawa, ila sio kuedit kuendana na jambo la wakati huo, ili ionekane hayo uliyasema toka wakati wa nyuma. Hayo yatakuwa sio maono, bali utakuwa unatoa habari.
 
Ni sawa, ila sio kuedit kuendana na jambo la wakati huo, ili ionekane hayo uliyasema toka wakati wa nyuma. Hayo yatakuwa sio maono, bali utakuwa unatoa habari.
Jee una mashaka yoyote na maono yangu?. Karibu pande hizi "Ombeni Mtapewa", "Tafuteni Mtapata", "Bisheni Hodi Mtafunguliwa" Je, Wajua Kuna "Kauli" na "Kauli Umba" Ambazo Huumba? Shuhudia naomba nisijitape kuwa mimi ni mtu wa kauli umba, bali angalia tarehe za mabandiko yangu ya maono uone nilisema nini na nini kikaja kutokea!.
P
 
Sikatai usemacho, nasema kuendelea kuedit mabandiko yako ili kuendana na matukio ya wakati huo ili ionekane ulisema kitu hicho hicho na kinatokea, ni utapeli wa mchana kweupe.
 
Jifunze na upende kuheshimu uamuzi wa watu, usione fahari kuwaamulia ukipendacho wewe.
 
Sikatai usemacho, nasema kuendelea kuedit mabandiko yako ili kuendana na matukio ya wakati huo ili ionekane ulisema kitu hicho hicho na kinatokea, ni utapeli wa mchana kweupe.
Huyu mtu ni tatizo, juzi tu alitutangazia akina Mdee watahudhuria mkutsno Moshi na kurudishwa Chadema, akatoa neno la dharau dhidi ya Chadema, eti waache kushupaza shingo!
 
Sikatai usemacho, nasema kuendelea kuedit mabandiko yako ili kuendana na matukio ya wakati huo ili ionekane ulisema kitu hicho hicho na kinatokea, ni utapeli wa mchana kweupe.
Mkuu Tindo, huku sio kunitendea haki as if mimi ni tapeli!. Sio na edit ili ionekane nilisema kitu hicho na kikatokea bali nafanya update ya nilisema nini na kikatokea nini!.

Wakati naandika mwanzo huwa kuna details huwa nazi mention tuu lakini siziweki in details, tukio likiisha tokea ndipo naweka ile detailed.

Mfano kwenye bandiko hili Voices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Ackson ndiye Spika ajaye! Sauti hiyo imenieleza Ndugai, japo atatamani aendelee lakini... nilisema sauti ile imenieleza na sababu ni kwanini Ndugai japo angetamani aendelee lakini yataendelea, hizo sababu sikuzisema.

Hata katika bandiko hili Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke nimeelewa sababu ni kwanini Mama ampishe mtu mwingine, ila sababu hizo sijazisema hivyo ikitokea kweli hiyo 2025, nitakumbusha nilisema nini na lini, na nini kimetokea na hapo ndipo nitaweka na updates ya sababu.

Hata bandiko hili Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli nilielezwa sababu za kwanini ni Magufuli, lakini sikuzisema!.

Hii ya kupokea taarifa na kutozisema pia nimetoa darasa humu!. Swali la Morality: Je, ni lazima kuusema kila ukweli unaousikia au tutangulize mbele maslahi ya Taifa?
Mfano hai ni kulitokea raia mmoja wa nchi ya jirani, akamchukua dada yetu na kumtoroshea kwao, huko akamzalisha watoto wawili wa kwanza ni wa kike na kidume, wakashindwana dada na wanae wakarudi nchini dada akiwa na umri wa miaka 6 kidume miaka 4, wakarejea nchini na dada yetu na wanaye wakarejea kwa wazazi wao.

Yule mama akaposwa na mchumba mwingine, (kuna wanaume wa kabila fulani wanaoongoza kwa kupenda, akipenda, amependa, haijalishi mwanamke amezalishwa mara ngapi) akaolewa ikabidi Dada na katoto wabaki kwa babu yake na kazi ya wa kike ni jikoni wa kiuke ni kuchunga mbuzi!.

Mama kwenye ndoa mpya mambo safi lakini akawa hana amani na watoto wake wale wawili kule kwa babu yao. Akamweleza mumewe, mume akamkubalia, ndipo mtoto wa kiume akachukuliwa na kuandikishwa Shule kwa jina la Baba wa kufikia na ndio akawa Mtanzania!. Baadae akaja kuwa kiongozi!. Ukapata info kama hizi, utazi disclose?. Watu tuna info humu msituone tunanyamaza, ni tunatanguliza maslahi ya taifa.
P
 
Sasa Paskali huu unabii ulirithishwa na nani! Haipendezi kutuaminisha wewe ni nabii, jiweke kwenye kundi Ietu, mbona unabii wako kwa kina Mdee haukutimia japo endapo ikaja kutokea katika mazinvira ya wakati huo nawe utkuja na kuupdate! Hicho ndicho huyo anasema ni utapeli wa kisiasa siyo ule wa hela hiyo.
 
Huyu mtu ni tatizo, juzi tu alitutangazia akina Mdee watahudhuria mkutsno Moshi na kurudishwa Chadema, akatoa neno la dharau dhidi ya Chadema, eti waache kushupaza shingo!
Mkuu elvischirwa "kushupaza shingo" sio neno la dharau ni tamathali za semi kwa watu wanaojifanya vidume, ili mtu uweze kupenya kwenye kitundu kidogo, lazima utangulize kichwa huku umelegeza shingo, na ufanye vivyo hivyo wakati wa kutoka, ukiisha ingiza kichwa hutakiwi kushupaza shingo!.
Chedema ilijifanya kushupaza shingo kuwa hawautambui uchaguzi na kuuita uchafuzi, hawayatambui matokeo, hawamtambui mshindi, hawalitambui Bunge na hawahitaji ruzuku!.

Walipopewa viti 19 vya ubunge wa viti maalum, wakagoma hawavihitaji!. Watu wanaojua kuangazia fursa, wakachangamkia fursa!.

Barua ya utambulisho wa wabunge hao kutoka Chadema ni barua bonafide genuine na imesainiwa na office bearers wenye competent jurisdiction ya kuwa signatories.

Hivyo barua ambayo NEC wamepokea ni genuine letter na kuwapa certificates za uteuzi kwenda Bungeni, hivyo Bunge limepokea uteuzi halali wa NEC.

Sasa angalia ushauri wangu kwao CHADEMA kubalini matokeo na m-survive, or shupazeni shingo. You go to hell 6ft under Hao Makamanda 19 ni mashujaa, kuendelea Ubunge wao sasa angalia na ufuatilie kwa makini, it's only a matter of time kabla hawajawasamehe na kesi kufutwa.

Matumizi ya a kangaroo court hayana maslahi kwa Chadema!. Kama katiba ya Chadema ipo na imeelekeza taratibu zote za nidhamu, kwanini hazifuatwi?.

P
 
Unaposema "wanaojifanya vidume" haudhani ni dharau! "Kujifanya" si kitu halisi na "kidume" si kitu halisi bali vyote ni viigizo havina sifa ya uhalisia, kama unaongea lugha ya kisheria huko siwezi kukukatalia kwani siijui.
 
Naona umeleta story ndefu ili kuhamisha mantiki. Nilichosema kufanya editing kwenye bandiko la zamani kwa matukio yanayotokea sasa, lengo ni kufanya udanganyifu kuwa yote yanatokea sasa ulishayasema toka kitambo. Ni vyema ukaweka post yako kwenye tarehe husika kama updates, kuliko kuweka upadtes kwenye post hiyo hiyo kwa muda tofauti.

Hilo la dhalimu kuwa mtu wa nje linafahamika, na hata tabia zake zilidhihirisha hilo. Ajabu ulikuwa unampamba!
 
Sasa Paskali huu unabii ulirithishwa na nani! Haipendezi kutuaminisha wewe ni nabii,
Mimi sio nabii, mimi trends reader tuu ila humu JF tuna manabii wetu humu Tanzania tulipo Sipo!. Nabii Hakubaliki Nyumbani, JF Tuna Manabii wa Kweli, Tuwatumie Walisaidie Taifa!
jiweke kwenye kundi Ietu, mbona unabii wako kwa kina Mdee haukutimia japo endapo ikaja kutokea
It's just a matter of time.
katika mazinvira ya wakati huo nawe utkuja na kuupdate!
Yes la kina Mdee likitimia nitakuja ku update

P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…