Ifahamu bangi na madhara yake

Ifahamu bangi na madhara yake

Mjinga mkubwa wewe tangu lini bangi ikawa chanzo cha kufanyia ibada, yaani hizo dini zenu za mtaani(rastafarians) ndio unaitumia kama hoja?Punguani mkubwa wewe lete fact sio ujinga wa dini za wahuni kama kina Bob Marley za uvutaji wa sumu mwilini.
Hahaa!
Kwa jinsi unavyo-panic haraka sio bangi tu hata pombe ni hatari kwako.

Naona umeanza kuwatukana hadi wasio na hatia
 
Umeanzisha thd ya jambo ambalo huna elimu nalo,hujaandika chochote cha maana zaidi ya bla bla tu,
Mbona hujaongelea Sigara? Vipi kuhusu vilevi vinavyounguza maini?

Nimekwambia weka hapa Scientific evidence,hapa ni JF sio Tik tok.
THC sio kemikali bwege wewe,au hujui kua THC ni kemikali inayoleta hallucinations taahira mkubwa wewe yaani huoni kua nimeitaja THC kwenye thread yangu?
Haya kuhusu sigara ni dhahiri kua inaua mapafu kama bangi mana mapafu ni a very delicate organ isiyotaka moshi uingie ndani yake.
Vilevile kwa pombe zote hasa gin na whisky hizi zinaunguza figo na maini mwisho wake ni kifo cha maumivu makubwa mno.
 
Hahaa!
Kwa jinsi unavyo-panic haraka sio bangi tu hata pombe ni hatari kwako.

Naona umeanza kuwatukana hadi wasio na hatia
Sijapanic kijana halafu unajiita daktari wewe ni taahira au kwa maneno mengine zuzu, yaani daktari unsapoti bangi? kitu hatari kabisa kwa jamii.Huna hadhi yakua daktari wewe ni zwazwa tu usiyejua lolote humu.
 
Hii nguvu ingetumika kueleza athari za pombe na sigara ingekuwa bora zaidi.

Bangi haina hayo madhara.Kama ulivuta kweli sio kuvutishwa basi wewe ndie uliyeleta madhara kwenye bangi
Bangi ni hatari mno ndugu, wewe hujui ndugu yangu ndio maana unaisapoti nimevuta bangi mwenyewe bila ya kuvutishwa naijua bangi inside and out.
 
Bangi ni hatari mno ndugu, wewe hujui ndugu yangu ndio maana unaisapoti nimevuta bangi mwenyewe bila ya kuvutishwa naijua bangi inside and out.
Kweli home boy! wewe ni wa Arusha sio .Kama umevuta na watu wa pande hizi basi kweli bangi ina madhara
 
Mada uliyoanzisha ipo sahihi lakini kuna mapungufu mengi sana sababu hujafafanua kwa kina madhara yake zaidi ya kueleza hallucinations pekee. Hujui kuwa kuna muda unaweza kusikia sauti ambazo kiuhalisia hazipo hata kama hujatumia chochote (sober mind)? Mfano sauti za mlango kusukumwa au kufungwa hata kama Hali ya tukio haijatokea??

Ili kupanua mada iwe yenye mashiko ungeeleza madhara na athari ambazo umekumbana nazo, na ni muda gani umepita tangu uache pamoja na Hali yako ya ku-recover. DAWA unazotumia ni kwaajili ya nini n.k

KARIBU
 
Madaktari katika ripoti zao hua wanaandika hivyo kua so and so ame abuse cannabis lakini kiuhalisi madaktari ni wahanga wa pharmaceutical druglords hasa western medicine industry
As always kama unaabuse lazima yakupate.
 
Back
Top Bottom