Ifahamu bangi na madhara yake

Ifahamu bangi na madhara yake

Wewe hujui chochote kuhusu bangi halafu unalazimisha mabishano..
Ngoja tukuachie uzi wako
Wewe mwenye jina lako ni MAWEED,unadhani kuna kupona hapo.Wewe ni mvuta bangi na kua makini sana mkono wa sheria hauko mbali kukishika mjinga mkubwa wewe.
 
Mimi ni mwanaume mjinga mkubwa wewe.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji2960][emoji2960]
JamiiForums-154316549.jpg
 
Mbona marasta ndo watu wenye Akili na utu na Afya njema hapa Tanzania?

Jambo hatari ni ngono na Pombe
Rastas ni siri yao hizo hali za hallucinations mtu hawezi sema ni aibu,wana force tu.Pombe pia na ngono zembe ni chanzo cha kifo kibaya mno cha maumivu.
 
Zwazwa tena mkuu! Utakua umevuta ma pushabu, yanakufanya uonekane shoga[emoji2960] pole sana! Nakushauri uache bangi sio nzuri kwako na kizazi chako
Kushabu ni masalia yanayotoka pale unapoanza kuichambua bangi ili uiweke kwenye rizla ndio uvute. Sasa swala la ushoga linaingiaje hapa. Wewe kama ni mvutaji au mpambe wa ma pusha nakushauri acha bangi haraka sana kabla haujajutia.
 
Rastas ni siri yao hizo hali za hallucinations mtu hawezi sema ni aibu,wana force tu.Pombe pia na ngono zembe ni chanzo cha kifo kibaya mno cha maumivu.
Bangi haina madhara

Hakikisha unakula vizuri hasa maji ya kutosha maziwa na Mboga za majani pia acha kufanya Ngono na usinywe Pombe Wala usifanye punyeto

Kinachowafanya mdate ni Uzinzi na ngono na Pombe na sigara Kali

Futa bangi maana ni ibada inatumika katika Meditation
 
Wewe mwenye jina lako ni MAWEED,unadhani kuna kupona hapo.Wewe ni mvuta bangi na kua makini sana mkono wa sheria hauko mbali kukishika mjinga mkubwa wewe.
Skia we bwabwa,usikadirie watu mchicha mwiba we,wanakukanda et...

Huu mwaka wa 18 navuta bangi,nimeuza miaka 10....
Leo unitishie polisi unaumwa mavi wewe.
 
THC sio kemikali bwege wewe,au hujui kua THC ni kemikali inayoleta hallucinations taahira mkubwa wewe yaani huoni kua nimeitaja THC kwenye thread yangu?
Haya kuhusu sigara ni dhahiri kua inaua mapafu kama bangi mana mapafu ni a very delicate organ isiyotaka moshi uingie ndani yake.
Vilevile kwa pombe zote hasa gin na whisky hizi zinaunguza figo na maini mwisho wake ni kifo cha maumivu makubwa mno.
Jamaaa toka amemezeshwa hyo kemikali THC basi kila baada ya neno moja anaweka THC aiseee.. sorry naomba unifahamishe hyo kemikali ya THC inapatikana kwenye kitu gani tena ukiacha kwenye Bangi.

Sent from my SM-A015F using JamiiForums mobile app
 
Kushabu ni masalia yanayotoka pale unapoanza kuichambua bangi ili uiweke kwenye rizla ndio uvute. Sasa swala la ushoga linaingiaje hapa. Wewe kama ni mvutaji au mpambe wa ma pusha nakushauri acha bangi haraka sana kabla haujajutia.
Wewe ndio nikushauri uiache, rejea reply yangu ya kwanza kabisa, haiwezi ku react sawa kwa watumiaji wote ila kwa wewe ime react ikakufanya shoga hivyo iache haraka, uokoke umrudie Muumba wako! Sawa kinajana
 
Wewe ni taahira na zwazwa yaani huoni kua ubongo wa binadamu wote ni the same,na wote tuna kemikali inayoitwa dopamain ambayo ukivuta bangi huzalishwa kwa wingi na kupelekea ubongo kutekeleza reaction za mwili zaidi ya inavyotakiwa?
 
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115] nilidhani ni mimi tu nimegundua huyu jamaa ni mdada la sivyo ni shoga, sio mzima, nimesadiki
Wewe ni taahira kabisa na unavyoendelea kupost na kureply huu uzi unaendelea kuthibitisha kiasi gani una hasira za kijinga.Mimi ni mwanaume tena dume la mbegu.
 
Jamaaa toka amemezeshwa hyo kemikali THC basi kila baada ya neno moja anaweka THC aiseee.. sorry naomba unifahamishe hyo kemikali ya THC inapatikana kwenye kitu gani tena ukiacha kwenye Bangi.

Sent from my SM-A015F using JamiiForums mobile app
Ni kwenye bangi tu ndugu.
 
Unaijua bangi wewe ? Sema ulikua unavuta makapi A.K.A kushabu unaita ni bangi..

Pole sana!

Sent from my Pixel 3 using JamiiForums mobile app
Nimevuta bangi zote ya Arusha na Kilimanjaro. Pia nimewahi vuta bangi yenyewe bila kushabu na kwa kushabu pia.Reaction ni ile ile ndugu.Trust me.
 
Back
Top Bottom