Ifahamu bangi na madhara yake

Ifahamu bangi na madhara yake

Utoto unahasara gani kama tayari nimeshaitumia bangi na madhara yake nimeyajua na kuacha tayari nimeshaiacha?
Utoto unaingiaje hapo wewe mtu?
Umeanza kutumia 2018 ukaacha Kwa kuwa ilikuwa inakupa wenge! Mwingne kaanza 1998 mpaka Leo na yuko smarter than you. Na si ajabu hata huyo unayemtegemea na kumheshimu anaskwegasi lakin haujui. Alafu bhangi za kuvutia kwenye hayo makaratasi yasiyo rasmi lazima zikutie uchizi!
 
Hii jamii forums ni Ile ya miaka Ile au jamaa wameitaifisha.... Mada hazina uchambuzi wa kina kama enzi ile
 
Attachments

  • images (45).jpeg
    images (45).jpeg
    18.8 KB · Views: 9
Umeiongelea bangi Kwa kuambiwa bangi haipo ivyo......🤓
Too much of everything is harmful
Nimetumia bangi tangu 2018 na kuotesha niliotesha mche mmoja ukakua ukatoa buds kabla ya kutoa mbegu nikaivuna.Sasa wewe unaongea nini?Unadhani ningekurupuka tu kuandika kitu ambacho ni delicate kwenye jamii kiasi hichi?Mimi siko hivyo.
 
Hollyshit habari yako mwananchi mwenzangu? Sehemu kubwa unakosea sana, nitaanza na ukoseaji ktk uwasilishaji wa hii mada yako ya BANGI' Inatakiwa uelezee BANGI ni nini na inatumiwaje kwa matumizi iwe ya kimtaani ama kwa maelekezo ya kidaktari, Pili uelezee madhara ya BANGI kwa kuchambua kila shida yake mfano utasema inapoteza uwezo wa kumbukumbu au inaharibu mfumo wa fahamu(nerves) au mfumo wa upumuaji(inhalation system) inakuaje hasaa, hapo mdio ufafanuzi utahitaji na pia iwapo ina faida zange hiyo BANGI napo uelezee. Haijalishi hii ni LONG-TERM EXPERIENCE OR NOT. Unahitaji namna bora zaidi ya uwasilishaji wa mada zako. Binafsi nimekua mtumiaji wa hii BANGI toka 2004 mpaka hii leo na sikatai ziko changamoto kadhaa za kupambana nazo lkn pia hizi changamoto huletwa na maisha tunayoyaishi.
Hallucinations ziko hata kama hujatumia madawa kulevya ama vilevi.
Kumbukumbu unaweza kuzipoteza na usiwe mtumiaji wa vilevi kulingana na mfumo wa maisha yako.
Mfumo wa nerves (FAHAMU) Unaweza pata changamoto bila madawa kulevya ama vilevi.
Mfumo wa upumuaji(INHALATIONS) Kuna mavumbi na uchafuaji wa hali ya hewa.
Vyote hapo juu vinaweza tokea kwako na hayo madawa ikiwemo BANGI HUJAWAHI KUITUMIA.
Angalia namna ya uwasilishaji wa mada zako na namna kujibizana na wengine.
Wewe unatumia LUGHA ZA MATUSI NA KUDHIHAKI WENGINE NA INAWEZEKANA UKAWA NA SHIDA KUBWA KULIKO WENGINE. YOU MUST KNOW WHERE TO STAND YOUR GROUNDS.
 
Kuna jamaa mmoja huko juu kakuchana,
Kua hujielewi pia una ubishi wa kuchanjia....
(Hutaki kujifunza)
Pia
Amesha kufanyia M&E huna ukijuacho kwenye bangi labda uelewa wa JUU juu (Layman)

Alaf inavyo onyesha wew ni bwana mdogo tena
MSHAMBA MMOJA MCHANGAMFU😂😂🤣🤣

Itoshe kusema Am done with you 👍
 
Nakazia 📌📌📌📌📌📌
 
Kuna jamaa mmoja huko juu kakuchana,
Kua hujielewi pia una ubishi wa kuchanjia....
(Hutaki kujifunza)
Pia
Amesha kufanyia M&E huna ukijuacho kwenye bangi labda uelewa wa JUU juu (Layman)

Alaf inavyo onyesha wew ni bwana mdogo tena
MSHAMBA MMOJA MCHANGAMFU[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]

Itoshe kusema Am done with you [emoji106]
Wengi wa wananchi tuna pambanua mambo ya kwenye jamii kwa kufanya conclusions tunazoziona bila kufahamu vyanzo halisi vya changamoto zetu. Kuna mengi hapa hata historia za magonjwa au tamaduni za familia fulani pia huchangia hizi changamoto.
Kuna mtu nishakuuliza swali' Liko hivi HAPO KALE HATUKUA NA ELIMU NA DINI HIZI ZA SASA, JE HATUKUA TUKIFANYA IBADA??? AKASEMA TUKIFANYA. NIKAULIZA JE HIZO IBADA HAZIKUA KWA AJILI YA MUNGU??? AKAJIBU NI KWA MUNGU. SASA NIKAULIZA JE KUNA UWEZEKANO MUNGU WETU NA HUYU WALIEMLETA KWA IMANI YAO NI TOFAUTI??? AKASEMA HAPANA. NIKAMWAMBIA BASI HAKUNA ULAZIMA WA KUFUATA YAO SABABU YANATURUDISHA NYUMA. AKAJIBU MIMI MPJMBAVU. HAKUJIBU SWALI LANGU AKAANZA KUGOMBANA.
 
Hii jamii forums ni Ile ya miaka Ile au jamaa wameitaifisha.... Mada hazina uchambuzi wa kina kama enzi ile
Yaani unaokoteza vipicha vya wazungu huko mtandaoni halafu unakuja kuprove ujinga humu,wewe ni mjinga tu.
 
Madhara ni mwili kudhoofika,mapafu yanaoza kwa kansa taratibu kadiri moshi unavyozidi kumezwa,mwili kukakamaa,kupoteza kumbukumbu na mengine mengi mno hasa ubongo ndio una athirika na kama ubongo ukishindwa kuratibu matendo ya mwili ndio mwanzo wa kuchanganyikiwa na uchizi.
Ndugu mtoa mada ungefanya kama unatueleza athari tano za matumizi ya BANGI kwa kuweka uchambuzi wa kueleweka na ni jinsi gani madhara yake yanatokea mwilin na sio hizo porojo zako
 
Nilishawishika kufuata profile yako! Nimegundua mengi kuhusiana na wewe! Cha kwanza huna utulivu wa kifikra, na haupo tayari kujifunza, nyuzi nyingi unazo zianzisha unapotelea njiani, haswa pale unapo elekezwa na bahati mbaya unajikuta ni mweupe kabisa kuliko uelewa wako! Kuna uzi wa most high, kuna uzi wa damu na kuna maujinga mengine meengi, ambayo hata wewe mwenyewe huyaelewi!

Kwa minajili hiyo, uwezo wa akili yako ni mdogo sana kuhimili matumizi ya bangi, pia hata mwili wako hauwezi kupambana na effects zake kwa ujumla achilia mbali kui control baada ya kuitumia, hivyo ulikua sahihi kuiacha!

Pia kama hutaki kujifunza, kaa na hayohayo unayojua, kwamaana haupo tayari kupokea vitu vipya
Haya bwana
 
Nikuulize kitu! Zile dawa unazo endelea kutumia mpaka sasa kupambana na madhara ya bangi ulizovuta! Sina side effects gani! Tupe experience za ulevi wa dawa hizo na zina tofauti gani na bangi!
Safi umeuliza swali zuri hizo dawa hazina side effects, kiufupi ni nzuri mno na zimenisaidia kupunguza hallucinations na bado nazitumia mpaka dokta atakaporidhika na maendeleo yangu
 
Mbona konde boy mjeshi anatumia na anafanya vuzuri sana kwenye game ya music hapa tz au nakosea ndugu zangu???
Athari zake ni siri ya mtumiaji na kumbuka shetani anafanya kazi bega kwa bega na watu kama hao wenye popularity kubwa.Athari hua wanaficha na kujitutumua hadharani kua wako safi kumbe ni kinyume.Mapafu yanazidi kuoza na athari nyingine nyingi.
 
Hamna mtu hapo! Jitathimini vizuri, una element za kike kama sio[emoji304]
Matusi hayajengi hasa kwa mtu kama wewe huna hoja unatukana tu humu ndani na kukebehi upuuzi wako mwenyewe.Jipange ndio uongee.
 
Habari wapendwa,

Napenda leo tuzungumzie hili zao aina ya bangi ambalo kwa kiasi kikubwa limekuwa likioteshwa kwa siri maporini huko.

Bangi inakemikali hatari mno inayofahamika kwa jina la THC ambayo unapoitumia kwa wale wavutaji basi huleta hallucinations, ambayo ni hali ya kusikia na kuona sauti na vitu ambavyo in real world havina uhalisia.

Bangi pia husababisha kumbukumbu kupotea, kansa ya mapafu na viuongo kukakamaa. Kwa mataifa makubwa kama Marekani katika jimbo la California wameruhusu matumizi ya mmea huu hatari, lakini athari zake zimekua ni siri ya watumiaji, huku drug lords wakiogopwa kutajwa kwa watu kuhofia kuuawa.

Bangi ni hatari na mimi kama mtumiaji niliyeacha imeniacha na athari chache na zingine nakabiliana nazo kwa dawa maalumu kama Haloperidol na Carbamazipine.

Bangi ni hatari mno, inatia huruma kuona jinsi wasanii wa Bongo Fleva wanavyoisapoti katika video zao na wengine kudiriki kuisifia kabisa kitu ambacho ni kosa kubwa mno.

Serikali na jeshi la polisi viingilie kati suala hili ili kukilinda kizazi hichi cha watoto wasio na uelewa wowote juu ya bangi na madhara yake.

Asanteni nakaribisha maswali.

Bangi kama si fani yako achana nayo.... Wanavuta hadi wazee na maisha yanaenda
 
Back
Top Bottom