Ifahamu bangi na madhara yake

Ifahamu bangi na madhara yake

Mjinga mkubwa wewe tangu lini bangi ikawa chanzo cha kufanyia ibada, yaani hizo dini zenu za mtaani(rastafarians) ndio unaitumia kama hoja?Punguani mkubwa wewe lete fact sio ujinga wa dini za wahuni kama kina Bob Marley za uvutaji wa sumu mwilini.
Bora umeacha Mzee,kazana na dozi hiyo...inaonekana kweli ilikua inakuathiri maana si kwa panic ulioonesha hapa.matusi ya Nini ?
 
Soma vizuri thread madhara nimeyataja.Kama vile mwili kukakamaa,kuozesha mapafu taratibu(kansa),kupoteza kumbukumbu na hallucinations ile hali ya kusikia sauti na kuona vitu ambavyo in real world havipo.
Haya ndo yalikukuta wewe? Narudia tena, umefanya uamuzi mzuri kuacha, yalikua yakukuye makubwa hata uwezo wa kuandika hapa usingekua nao, hallucination ?🤣.Sasa sikia...watu wanaotumia mmea wanakua wanajua wanatumia kitu gani. Kwenye maisha kitu usichokimudu usitamke kwamba hakifai,hakikufai wewe, tunatofautiana...
 
Upo pabaya sana! Ila ni kwasababu ulikua ukinunua stick unaivuta kama SIGAR[emoji16][emoji16][emoji2960][emoji2960] Lazima bangi iwe mbaya
Kumbuka bangi mimi muda mwingi nimekua nikivuta kavu bila kuchanganyia na sigara,ila muda mchache sana tena sana nimekua nikichanganya na sigara.Mimi bangi hadi kuotesha na kuvuna nimeshafanya usifikirie miaka 6 kama mtumiaji siijui bangi naijua nje ndani.
 
So sad, mshkaj wangu anazidi kuzama ndichii namshauri lakn me mwenyew najua hakuna nachofanya kama tu watu wanaenda hadi sober na wanaendelea sembuse mimi, so anajitetea mpak inabdi nikubali na huwa siwez kumshauri kwa kwenda kinyume directly

Ulichukua mda gan kuacha, uliachaje mkuu[emoji119]
 
Asikudanganye mtu kua bangi haiwezi kuachwa.Bangi inawezekana kabisa kuachwa, kwa kufocus kwenye mambo yako ya msingi,kusali na kunywa maja maji kwa wingi,kupata chakula bora na kikubwa ni kuepukana na marafiki wabaya.Kikubwa ni kujitambua kua unakoelekea siko na kuangalia kua kadri unavyozidi kutumia unazidi kujiangamiza zaidi na mwishowe kuiletea familia yako hasara.
 
Habari wapendwa,

Napenda leo tuzungumzie hili zao aina ya bangi ambalo kwa kiasi kikubwa limekuwa likioteshwa kwa siri maporini huko.

Bangi inakemikali hatari mno inayofahamika kwa jina la THC ambayo unapoitumia kwa wale wavutaji basi huleta hallucinations, ambayo ni hali ya kusikia na kuona sauti na vitu ambavyo in real world havina uhalisia.

Bangi pia husababisha kumbukumbu kupotea, kansa ya mapafu na viuongo kukakamaa. Kwa mataifa makubwa kama Marekani katika jimbo la California wameruhusu matumizi ya mmea huu hatari, lakini athari zake zimekua ni siri ya watumiaji, huku drug lords wakiogopwa kutajwa kwa watu kuhofia kuuawa.

Bangi ni hatari na mimi kama mtumiaji niliyeacha imeniacha na athari chache na zingine nakabiliana nazo kwa dawa maalumu kama Haloperidol na Carbamazipine.

Bangi ni hatari mno, inatia huruma kuona jinsi wasanii wa Bongo Fleva wanavyoisapoti katika video zao na wengine kudiriki kuisifia kabisa kitu ambacho ni kosa kubwa mno.

Serikali na jeshi la polisi viingilie kati suala hili ili kukilinda kizazi hichi cha watoto wasio na uelewa wowote juu ya bangi na madhara yake.

Asanteni nakaribisha maswali.

Huna jipya
 
Bora umemwambia maana hajielewi huyu kaanza kumoka bhange changa anajiona kavuta dah
Ndugu sikia ni hivi,bangi ni mbaya kwa mwili wa binadamu pamoja vilevi vingine vyote namaanisha sigara,pombe nk.Majuto hayako mbali ndugu hakuna faida yoyote unayopata kwa uvutaji wa huu uchafu(bangi).Kansa ya mapafu,kukonda kunakoambatana na mwili kukakamaa,kupoteza kumbukumbu,hallucination namengine siwezi yataja lazima vikupate.Kwani huyu shujaa mpumbavu Bob Marley aliisha wapi kama sio kansa ya ubongo.Maliza uzee wako kwa amani na maisha yako hapa duniani kwa kuepuka inhaling of toxics like weed smokes.Utanishukuru baadae kama utatilia maanani haya niliyokuelekeza ila kama nawe ni mpumbavu utapuuzia.
 
Huna jipya
Jipya ni lipi kujivuna kua unavuta bangi! Inasikitisha sana.Hivi kwa akili yako timamu unaweza sifia bangi?Kitu ambacho hata mke wako,mtoto hata wazazi wako wakijua kua unatumia ni aibu na fedheha kubwa.Yaani unasifia bangi!,bado madhara hayajakupata utakuja juta ndugu kua makini sana.
 
Ndugu sikia ni hivi,bangi ni mbaya kwa mwili wa binadamu pamoja vilevi vingine vyote namaanisha sigara,pombe nk.Majuto hayako mbali ndugu hakuna faida yoyote unayopata kwa uvutaji wa huu uchafu(bangi).Kansa ya mapafu,kukonda kunakoambatana na mwili kukakamaa,kupoteza kumbukumbu,hallucination namengine siwezi yataja lazima vikupate.Kwani huyu shujaa mpumbavu Bob Marley aliisha wapi kama sio kansa ya ubongo.Maliza uzee wako kwa amani na maisha yako hapa duniani kwa kuepuka inhaling of toxics like weed smokes.Utanishukuru baadae kama utatilia maanani haya niliyokuelekeza ila kama nawe ni mpumbavu utapuuzia.
Katafute kazi za kufanya unakutana na watu wenye njaa unasema bhangi zimewakondesha 😆😆😆😆😆 usiongee vitu usivyovijua
 
Katafute kazi za kufanya unakutana na watu wenye njaa unasema bhangi zimewakondesha 😆😆😆😆😆 usiongee vitu usivyovijua
Kwahiyo bangi ni kitu kizuri sio?
 
Ww unaonaje au ulipovuta nanfamilia yenu ina historia ya uchizi basi unadhani familia zinafanana 😆😆😆😆😆😆
Ninaonaje? Ni hivi kwa ushauri wangu bangi ni kitu kibaya mno ndugu,haya maisha usipoishi kwa hekima basi utaharibu mno siku zako hasa uzee, pale unapoendekeza vitu kama hivyo bangi,sigara,pombe nk. Shuhuda ni nyingi mno jinsi mwisho wa watu waliokua wakitumia hivi vitu maisha yao yalipoishia, ni vifo vya aibu na mateso makali.Acha bangi kijana utakuja kujuta.
 
Bangi ni mbaya mno mimi nimetumia toka mwaka 2018 nikianza kwa kuvuta bila rizla nilikua nakula stick nzima,mpaka hatua ya kunyonga mwenyewe kwenye rizla.Bangi nimbaya mno nakushangaa wewe ndugu yangu unaisifia ulishawahi itumia ukaona madhara yake?
Kiuhalisia huijui bangi kabisa kimatumizi.,..zaidi ya kuiskia na kuiona....acheni hii mihemko ya kufuata upepo...kama ungekuwa umewahi kuitumia kwa usahihi ...naamini kabisa usingekuwa hapa unaongea maneno ya namna hii..!
 
Hawa watoto wanakuja kupigia kelele wazoefu
 
Back
Top Bottom