Ifahamu bangi na madhara yake

Ifahamu bangi na madhara yake

Alafu eti anavuta lile stick zima kama alivyouziwa bila kuchambua, utaacha kuwa chizi?
Hili jamaa punga_chele hahahaha

Akinunua ile stick anaiwasha kama ilivyo na karatasi lake la khaki!!? Duuh! Walidhamiria wamuue[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] lazima awe hivi alivyo sio bure! Ni kumuonea huruma tu, hamna namna! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960]
JamiiForums-154316549.jpg
 
Haya bwana
Kaangalie nyuzi ulizo anzisha! Fuatilia comment to comment [emoji1787][emoji1787][emoji1787] utajicheka sana! Pia angalia uzi huu watu walivyo kumezesha data taka usitake [emoji1787][emoji1787][emoji2960][emoji2960][emoji2960] na ndio uzi pekee kati ya ulizo anzisha iliyo vuka comment zaidi ya 50!

Leo umekutana na wavuta bhangi wenyewe[emoji2962]
 
Safi umeuliza swali zuri hizo dawa hazina side effects, kiufupi ni nzuri mno na zimenisaidia kupunguza hallucinations na bado nazitumia mpaka dokta atakaporidhika na maendeleo yangu
Upo pabaya sana! Ila ni kwasababu ulikua ukinunua stick unaivuta kama SIGAR[emoji16][emoji16][emoji2960][emoji2960] Lazima bangi iwe mbaya
 
Matusi hayajengi hasa kwa mtu kama wewe huna hoja unatukana tu humu ndani na kukebehi upuuzi wako mwenyewe.Jipange ndio uongee.
Anzia mwanzo kabisa wa huu uzi kisha uangalie ni nani alianza kumtukana mwenzake[emoji1787][emoji1787][emoji1787] bangi inapoteza kumbukumbu[emoji2960][emoji2960] ulikua hujui[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila wewe imekuondoa mpaka kichwa chenyewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
We umedata... Ulijua bange ni kama maji Kila mtu aweza kunywa... Ona Sasa umevuta imekudatisha(kichwa panzi). Ukichaa wako unajithibitisha pale unapotaka kuiadaa jamii kwamba bange ni kitu pekee chenye madhara.... Sikatai bange umevuta ila imekudatisha( u have abused the drug)
Mmemlisha upupu hatari[emoji1787][emoji1787]
 
Habari ya muda huu mwananchi wenzangu? Naomba kuendelea na ufafanuzi wa jambo fulani.........
Wengi wetu tuna imani ambazo hapo kabla labda hatukua nazo ama kuamini kwa asilimia zote tofauti na sasa ambapo naamini ktk imani fulani kwa asilimia zote.
Ni jambo jema kuamini ktk imani, ndo uzima wa kiafya ya mwili na akili.
Suala la BANGI NA MATUMIZI YAKE limekaa na mitazamo tofauti pia kulingana na IMANI ya mhusika na matumizi yake.
IMANI ya RASTAFARIAN hii inahusisha BANGI kwa nia ya kufanya nayo ibada baada ya kutumia na si kuitumia wakati wa IBADA, sababu hufanya kua mtulivu wa kifikra, hallucination hutokea wakati wa ibada yake sababu ni imani hivyo kwake ni kua karibu zaidi na MUNGU WAKE. Huwezi elewa hii HALLUCINATION sababu ni MAONO kwake hivyo kwako itakua ni uchizi huna imani sawa na yake.
IMANI ya mtaa ni kwamba BANGI inatumika kwa aina tofauti, kuna mwenye kunena jambo lake akalifanye, mwingine anatumia ikiwa dawa asizi(uteja) na hii hufanya kupata tabia(akitaka kwa mtumiaji) UOGA, AIBU kuondoka ambavyo huleta janga kubwa sababu hivi ni vitu ambavyo hufanya mwanaadamu aweze kufanana ma wengine. Niamini ukikosa hivi vitu lazima jamii ikuone tofauti na wao sababu utashindwa kutambua na kuchanganua wakati sahihi wa kuchagua maneno au jambo fulani mbele ya hadhara na tabia za hovyo mbele ya jamii.

SABABU ZA KIAFYA- Ni kweli BANGI si salama kwa matumizi ya mwanaadamu, naomba nielewe hapa hii ni GOD CREATION(NOT MAN MADE) hivyo hata viumbe wengine wanatumia.
Sababu hatujuhi kiwango halisi kinacho hitajika mwilini ndo tatizo huanzia hapo, ukisema kiafya kwanza mwanaadamu anatikiwa urefu wake wa mwili ufanane(hapa kuna namna watu wa hospital wanajua zaidi) na uzito wake(mnene kwa mwembamba), pia uweke suala la lishe na namna inavyotumika(ratiba yake), Mazoezi, Kupumzika, Muda wa kufanya kazi.
Ukisoma vyema utagundua kuna sehemu hata mimi sifanyi. Bottom line
Magonjwa yapo na kuna magonjwa huwez sema kesi yake ni BANGI 100% mfano KANSA, UWENDAWAZIMU,PRESSURE, vyanzo vya kupata haya na mengine ni vingi kwa mifumo ya maisha yetu.
UKIWEZA KUFAHAMU KIWANGO CHAKO NI JAMBO JEMA ZAIDI, UKIWEZA KUACHA PIA NI JAMBO JEMA ZAIDI.
Tuache kujipa majibu kwa vitu ambavyo kila mmoja wetu hana muda wa kutaka kujua kwa undani.
Binafsi sipendi jamii yangu itumie BANGI, Sababu kila mmoja anakua hulka yake hapa. Binafsi Hollyshit sina tatizo nae juu ya BANGI isipokua LUGHA anayotumia kwa wengine.
Hollyshit endelea kutafuta hivi mada kuchangamsha bongo za wananchi wengime pia tafuta namna ya kuwasilisha vyema.
 
Huyo mwenye nywele nyingi na amekenua mimeno ni wapenzi wachangiaji wenye comments zao[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hako kaliko lala hapo chini ni mwenye mada yake ya bangi[emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wanamuelimisha

Kikao kimeishia hapa[emoji2959][emoji2959][emoji2959][emoji2959][emoji1787][emoji1787]
JamiiForums-1631632541.jpg
 
Habari wapendwa,

Napenda leo tuzungumzie hili zao aina ya bangi ambalo kwa kiasi kikubwa limekuwa likioteshwa kwa siri maporini huko.

Bangi inakemikali hatari mno inayofahamika kwa jina la THC ambayo unapoitumia kwa wale wavutaji basi huleta hallucinations, ambayo ni hali ya kusikia na kuona sauti na vitu ambavyo in real world havina uhalisia.

Bangi pia husababisha kumbukumbu kupotea, kansa ya mapafu na viuongo kukakamaa. Kwa mataifa makubwa kama Marekani katika jimbo la California wameruhusu matumizi ya mmea huu hatari, lakini athari zake zimekua ni siri ya watumiaji, huku drug lords wakiogopwa kutajwa kwa watu kuhofia kuuawa.

Bangi ni hatari na mimi kama mtumiaji niliyeacha imeniacha na athari chache na zingine nakabiliana nazo kwa dawa maalumu kama Haloperidol na Carbamazipine.

Bangi ni hatari mno, inatia huruma kuona jinsi wasanii wa Bongo Fleva wanavyoisapoti katika video zao na wengine kudiriki kuisifia kabisa kitu ambacho ni kosa kubwa mno.

Serikali na jeshi la polisi viingilie kati suala hili ili kukilinda kizazi hichi cha watoto wasio na uelewa wowote juu ya bangi na madhara yake.

Asanteni nakaribisha maswali.

Aisee, we umetokea cha wapi mkuu? Ni uliambiwa au umeshuhudia ww (experiance) mwenyewe? We ulivuta ipi? Ni hayo tu.
 
Mjinga mkubwa wewe tangu lini bangi ikawa chanzo cha kufanyia ibada, yaani hizo dini zenu za mtaani(rastafarians) ndio unaitumia kama hoja?Punguani mkubwa wewe lete fact sio ujinga wa dini za wahuni kama kina Bob Marley za uvutaji wa sumu mwilini.
Mkuu, kwa majibu haya ni wazi ganja ilikutenda
 
Huyo mwenye nywele nyingi na amekenua mimeno ni wapenzi wachangiaji wenye comments zao[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hako kaliko lala hapo chini ni mwenye mada yake ya bangi[emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wanamuelimisha

Kikao kimeishia hapa[emoji2959][emoji2959][emoji2959][emoji2959][emoji1787][emoji1787]View attachment 2573319
Wewe mchaga una matatizo makubwa mno ya akili.Unahitaji tiba ya haraka.
 
Indica,skanka naya kuchanganyia na sigara.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!
 
Habari wapendwa,

Napenda leo tuzungumzie hili zao aina ya bangi ambalo kwa kiasi kikubwa limekuwa likioteshwa kwa siri maporini huko.

Bangi inakemikali hatari mno inayofahamika kwa jina la THC ambayo unapoitumia kwa wale wavutaji basi huleta hallucinations, ambayo ni hali ya kusikia na kuona sauti na vitu ambavyo in real world havina uhalisia.

Bangi pia husababisha kumbukumbu kupotea, kansa ya mapafu na viuongo kukakamaa. Kwa mataifa makubwa kama Marekani katika jimbo la California wameruhusu matumizi ya mmea huu hatari, lakini athari zake zimekua ni siri ya watumiaji, huku drug lords wakiogopwa kutajwa kwa watu kuhofia kuuawa.

Bangi ni hatari na mimi kama mtumiaji niliyeacha imeniacha na athari chache na zingine nakabiliana nazo kwa dawa maalumu kama Haloperidol na Carbamazipine.

Bangi ni hatari mno, inatia huruma kuona jinsi wasanii wa Bongo Fleva wanavyoisapoti katika video zao na wengine kudiriki kuisifia kabisa kitu ambacho ni kosa kubwa mno.

Serikali na jeshi la polisi viingilie kati suala hili ili kukilinda kizazi hichi cha watoto wasio na uelewa wowote juu ya bangi na madhara yake.

Asanteni nakaribisha maswali.

Mbna hujatja madhar mm niliifuta Mara ya mwisho 2003 mkp leo inafany kazi vzr snaaa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mbna hujatja madhar mm niliifuta Mara ya mwisho 2003 mkp leo inafany kazi vzr snaaa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Soma vizuri thread madhara nimeyataja.Kama vile mwili kukakamaa,kuozesha mapafu taratibu(kansa),kupoteza kumbukumbu na hallucinations ile hali ya kusikia sauti na kuona vitu ambavyo in real world havipo.
 
Back
Top Bottom