MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 5,736
- 18,648
Ohhh, kwa bahati mbaya nimeivuta tangu nikiwa chaliiBangi ni hatari mno,narudia mno ndugu yangu usije ukalogwa ukaivuta.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ohhh, kwa bahati mbaya nimeivuta tangu nikiwa chaliiBangi ni hatari mno,narudia mno ndugu yangu usije ukalogwa ukaivuta.
Hoja zenu dhaifu na hazihalisiki ukilinganisha na za upande wa pili.Habari wapendwa,
Napenda leo tuzungumzie hili zao aina ya bangi ambalo kwa kiasi kikubwa limekuwa likioteshwa kwa siri maporini huko.
Bangi inakemikali hatari mno inayofahamika kwa jina la THC ambayo unapoitumia kwa wale wavutaji basi huleta hallucinations, ambayo ni hali ya kusikia na kuona sauti na vitu ambavyo in real world havina uhalisia.
Bangi pia husababisha kumbukumbu kupotea, kansa ya mapafu na viuongo kukakamaa. Kwa mataifa makubwa kama Marekani katika jimbo la California wameruhusu matumizi ya mmea huu hatari, lakini athari zake zimekua ni siri ya watumiaji, huku drug lords wakiogopwa kutajwa kwa watu kuhofia kuuawa.
Bangi ni hatari na mimi kama mtumiaji niliyeacha imeniacha na athari chache na zingine nakabiliana nazo kwa dawa maalumu kama Haloperidol na Carbamazipine.
Bangi ni hatari mno, inatia huruma kuona jinsi wasanii wa Bongo Fleva wanavyoisapoti katika video zao na wengine kudiriki kuisifia kabisa kitu ambacho ni kosa kubwa mno.
Serikali na jeshi la polisi viingilie kati suala hili ili kukilinda kizazi hichi cha watoto wasio na uelewa wowote juu ya bangi na madhara yake.
Asanteni nakaribisha maswali.
Sasa kwa taarifa yako mimi bangi nimelima 2018 hadi ikazaa buds hazikutoa mbegu nikaivuna just one mche kama hiyo hapo,kiukweli inafuta kumbukumbu na inaleta uzezeta.Nashauri tuache yale makapi sio salama, mjani wa manabii na mitume huo umependeza bustanini karibia mwaka wa 30 huu naburudika roho na nafs hayo ya majani ya maboga yakiwekwa karanga kwa ugali wa dona msosi wa nyota tano
View attachment 2572368
Sasa nitasema nini juu yako? Ibaki kuwa hivyo ikufurahishavyo ndugu.Wewe ni zwazwa kwelikweli halafu unasapoti bangi uchafu huu unaoitesa jamii na familia za watu kila siku.Jitafakari
Wewe hujui chochote kuhusu bangi halafu unalazimisha mabishano..Mjinga mkubwa wewe tangu lini bangi ikawa chanzo cha kufanyia ibada, yaani hizo dini zenu za mtaani(rastafarians) ndio unaitumia kama hoja?Punguani mkubwa wewe lete fact sio ujinga wa dini za wahuni kama kina Bob Marley za uvutaji wa sumu mwilini.
Muhuni kabisa huyu, kaelezea matatizo yake sio ya bangiNikadhani wazi kabisa wewe ni Daktari kumbe muhuni tu.
hakuna ulichozungumza hapo.
Binti ungepumzika kwanza,maana sio kwa povu.THC sio kemikali bwege wewe,au hujui kua THC ni kemikali inayoleta hallucinations taahira mkubwa wewe yaani huoni kua nimeitaja THC kwenye thread yangu?
Haya kuhusu sigara ni dhahiri kua inaua mapafu kama bangi mana mapafu ni a very delicate organ isiyotaka moshi uingie ndani yake.
Vilevile kwa pombe zote hasa gin na whisky hizi zinaunguza figo na maini mwisho wake ni kifo cha maumivu makubwa mno.
Sukari inaua wengi kuliko Bangi. Do your own research and come back here with your report.Wewe nawe unanena nini humu,yaani sukari unaifananisha na dawa ya kulevya aina ya bangi. Wewe ni mjinga tu.
Madhara yake ni nini?Bangi ni mbaya mno mimi nimetumia toka mwaka 2018 nikianza kwa kuvuta bila rizla nilikua nakula stick nzima,mpaka hatua ya kunyonga mwenyewe kwenye rizla.Bangi nimbaya mno nakushangaa wewe ndugu yangu unaisifia ulishawahi itumia ukaona madhara yake?
Wewe zwazwa tangu lini moshi mkali kama wa bangi inhaling yake ikawa normal to a human body?Haina madhara, kinachotokea ni kwamba kuna wengine haiwataki pia haiwezi kureact sawa kwa watumiaji wote! Kila mtu anakutana na lake ila wengi wana enjoy! Ukiona haikutaki acha sio lazima wote muwe wavuta bangi[emoji2959][emoji2959][emoji41]View attachment 2572393View attachment 2572396