Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,282
- 6,303
Hahaa!Mjinga mkubwa wewe tangu lini bangi ikawa chanzo cha kufanyia ibada, yaani hizo dini zenu za mtaani(rastafarians) ndio unaitumia kama hoja?Punguani mkubwa wewe lete fact sio ujinga wa dini za wahuni kama kina Bob Marley za uvutaji wa sumu mwilini.
Haka katoto kanataka kila mtu akubaliane na haya matapishi yake.Hahaa!
Kwa jinsi unavyo-panic haraka sio bangi tu hata pombe ni hatari kwako.
Naona umeanza kuwatukana hadi wasio na hatia
THC sio kemikali bwege wewe,au hujui kua THC ni kemikali inayoleta hallucinations taahira mkubwa wewe yaani huoni kua nimeitaja THC kwenye thread yangu?Umeanzisha thd ya jambo ambalo huna elimu nalo,hujaandika chochote cha maana zaidi ya bla bla tu,
Mbona hujaongelea Sigara? Vipi kuhusu vilevi vinavyounguza maini?
Nimekwambia weka hapa Scientific evidence,hapa ni JF sio Tik tok.
Kama ulikuwa unaiabuse lazima ikushughulikie. Hakuna kitu utaabuse kikakuacha salama. Pole sanaBangi ni hatari na mimi kama mtumiaji niliyeacha imeniacha na athari chache na zingine nakabiliana nazo kwa dawa maalumu kama Haloperidol na Carbamazipine.
Sijapanic kijana halafu unajiita daktari wewe ni taahira au kwa maneno mengine zuzu, yaani daktari unsapoti bangi? kitu hatari kabisa kwa jamii.Huna hadhi yakua daktari wewe ni zwazwa tu usiyejua lolote humu.Hahaa!
Kwa jinsi unavyo-panic haraka sio bangi tu hata pombe ni hatari kwako.
Naona umeanza kuwatukana hadi wasio na hatia
As always kama unaabuse lazima yakupate.Vilevile kwa pombe zote hasa gin na whisky hizi zinaunguza figo na maini mwisho wake ni kifo cha maumivu makubwa mno.
Bangi ni hatari mno ndugu, wewe hujui ndugu yangu ndio maana unaisapoti nimevuta bangi mwenyewe bila ya kuvutishwa naijua bangi inside and out.Hii nguvu ingetumika kueleza athari za pombe na sigara ingekuwa bora zaidi.
Bangi haina hayo madhara.Kama ulivuta kweli sio kuvutishwa basi wewe ndie uliyeleta madhara kwenye bangi
Kweli home boy! wewe ni wa Arusha sio .Kama umevuta na watu wa pande hizi basi kweli bangi ina madharaBangi ni hatari mno ndugu, wewe hujui ndugu yangu ndio maana unaisapoti nimevuta bangi mwenyewe bila ya kuvutishwa naijua bangi inside and out.